Habari wana jamii Forum
Mimi bado najifunza coding sijaiva sana wala sio mtupu nimejifunza vitu vingi sana katika coding na nashukuru mungu mambo yanaenda vizuri sasa katika kujifunza nikaona itakuwa vyema km nikianza kudownload code za watu na kuzipitia ili niwe na ufahamu mpana zaidi maana sioni km kuna sababu mtu kuandika code zote mwenyewe unaweza kusoma kazi za watu na kucopy baadhi ya vitu kisha wewe unaoendeleza
Sasa katika kudownload code za watu nimekuta source code zina folders
Sasa apa nikawa nimebaki naduwaa je main code ipo wapi ? Apa namaanisha code kuu ambayo nikiirun nitapata output ya whole Project maana nikiexplore humo ndani code ni nyingi mno
Hata nilipojaribu kurun baadhi nilipata errors tu najua wengi mnajua huko Github code zipo kibao tu cha msingi ni kujua kuzisoma na kuzirun ili kuongeza maarifa