Ninashindwa kufikia menu ya M-Pesa

Mtafiti77

JF-Expert Member
Oct 31, 2011
1,843
2,272
Ndugu wanajopo,

Kuanzia juzi hadi sasa sijaweza kuingia menu ya MPESA inayofunguliwa kwa code hii *150*00#. Kikawaida nikibofya, ninapata maelezo haya: "USSD code is running" kisha menu inafunguka.

Lakini, kuanzia jana mambo yamegeuka, kanakuja kabox kanachohitaji nijaze "carrier info." Hiki kitu sikijui. Tazama kiambatisho.

Ninatumia android

Ninaomba shule hapa.

inbound5896947738091559696.jpg
 
Back
Top Bottom