PHP project nawezaje kurun php code ioneshe website na sio index of site?

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
2,118
3,004
Habari wadau !!

Hope mpo poa sisi tupo bado tunapambana na maisha sasa naomba kujuzwa niwezaje kuload au kurun site as site in PHP using XAMPP nota s index of site

Niliwahi kusoma coment moja ya mdau kuna wakati ni lazima usome code za watu ili uwe improved na kurahisisha kazi sasa hio php Project nimeiokota huko mtandaoni mm nataka ni miirun ioneshe website

1635844532846.png

1635844557884.png
 
View attachment 1995649

View attachment 1995650
Hii sio PHP project hauwezi tumia Apache http

Angalia vizuri kama umefanya configuration ya tomcat add-on ndani ya xampp server kama haipo nenda kwenye official site idownload fuata maelekezo ya namna ya kuitumia ndani ya xampp.

Kama ni mvivu download netbeans inakuja na Tomcat moja kwa moja kazi yako itakuwa kuacces db na kurun via netbeans.

In PHP unaweza access file kwa kufuata mtindo huu

Mfano

Si lazima NIANDIKE hivi

Localhost/jamiiforums/index.php

Endapo nimerewrite engine kwenye htaccess file

Naweza andika hivi

Localhost/jamiiforums/index

By defaul kama ni index file hata ukiandika hivi

Localhost/jamiiforums/

Inaleta page husika na sio mafolder na mafile kwenye browser

Kama hapo kwako

Solved.
 
Habari wadau !!

Hope mpo poa sisi tupo bado tunapambana na maisha sasa naomba kujuzwa niwezaje kuload au kurun site as site in PHP using XAMPP nota s index of site

Niliwahi kusoma coment moja ya mdau kuna wakati ni lazima usome code za watu ili uwe improved na kurahisisha kazi sasa hio php Project nimeiokota huko mtandaoni mm nataka ni miirun ioneshe website

View attachment 1995649

View attachment 1995650
index.php

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Habari wadau !!

Hope mpo poa sisi tupo bado tunapambana na maisha sasa naomba kujuzwa niwezaje kuload au kurun site as site in PHP using XAMPP nota s index of site

Niliwahi kusoma coment moja ya mdau kuna wakati ni lazima usome code za watu ili uwe improved na kurahisisha kazi sasa hio php Project nimeiokota huko mtandaoni mm nataka ni miirun ioneshe website

View attachment 1995649

View attachment 1995650

Bila kujali kama ni PHP au HTML , ila kama ukiweka kwenye Root folder na ukaitafuta kwenye localhost inatakiwa kufunguka kama project. Ila kama inaleta index of,,,, basi inawezekana hii project haijakamilika au haina index.php au index htm
 
Hiyo sio php ni jsp na ili ifanye kazi inaitaji tomcat tatizo la jamaa wanapenda mteremko hapo kaokota mfupa kaacha nyama
Kwel mjomba ni jsp na sio ph io tomcat naidownload sasa hv ila nikitaka kurun jsp nafanyaje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom