Chuo Kikuu cha Maseno kimefungwa kutokana na kutokea kwa mgomo wa wanafunzi ambao unadaiwa kusababishwa na kukithiri kwa matukio na kesi za ubakaji ndani na nje ya Chuo.
Aidha, kutokana na tukio hilo, Makamu Mkuu wa Chuo Profesa Julias Nyabundi amesema kuwa "kutokana na kutokea kwa mgomo huo...