A
Anonymous
Guest
Tangu mwaka wa masomo ulipoanza mwezi November 2025, baadhi ya wanafunzi TUNAOTUMIA MFUMO wa ZAMANI wa chuo hicho, tumekumbana na changamoto kadhaa na hatupati msaada kokote tunakokwenda.
Kwanza kabisa, Account zetu za uanafunzi zimezuiliwa, huwezi kuiona account yako kwenye kifaa chako kama ilivyokuwa awali au Kwa wanautumia mfumo wa sasa.
Inakulazimu kwenda maktaba ya chuo ukaione Kwa kutumia computer za chuo.
Hatuwezi kuitengeneza control number kwa ajili ya kulipia ada. Hatuwezi kuona matokeo ya test zetu Wala ya final exam.
Pia tumekuwa tukisahaulika kwenye Kila kitu. Hata wakati wa KUFANYA mitihani ya muhula, hatukupewa darasa. Tulijikuta muda mchache kabla ya mtihani hatujui tuende wapi. Namba zetu tulizopewa zipo kwenye darasa la tahsusi nyingine. Tukachelewa kuanzia mitihani Kwa saa nzima.
Wengine Hadi sasa hatujapata matokeo yetu, hawajaweka. Tukifuatilia tunaambiwa tujaze complain form tupeleke Ofisi ya serikali ambako nao hawafanyi chochote.
Tumekuwa kama mayatima na Ada zetu tumelipa. Hali hii ni Kwa Campus zote, DSM, Mwanza, Mtwara, Singida Tanga na Zanzibar.