Katika karne hii ya sayansi na teknolojia imekuwa karne ya mapinduzi mengi ya kimaendeleo na maisha ya binadamu vijana mojawapo ya kundi tegemewa sana kwenye karne hii, kwa wakati huu pia ndio tumeshuhudia mapinduzi makubwa ya kielimu hasa katika nchi zetu zinazoendelea ikiwemo Tanzania...