chuo

  1. Mcheza Piano

    JamiiForums Tanzania Yanga Ifungue Chuo Kikuu cha Soka

    Najua maboss wa Yanga mko humu, tafadhali fungueni chuo kikuu cha soka ili kuzisaidia club mbalimbali za soka duniani kama vile Arsenal na Simba. Asante
  2. J

    JamiiForums Tanzania MWENYEKITI CCM MANYARA KUJENGA CHUO CHA WASICHANA.

    Katika kuendelea kuunga mkono jitihada za serikali, wadau wa Maendeleo Shirika lisilo la kiserikali linalojiuhusisha na masuala ya elimu -ECLAT Development Foundation wameanza ujenzi wa chuo cha Mafunzo,ujuzi na malezi kwa wasichana. Jiwe la msingi la Ujenzi wa Chuo hicho kinachojengwa Kijiji...
  3. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdogo wangu wa kike ndiyo kamaliza Form 6, safari ya chuo imekaribia. Nawaza ataukwepa vipi "Ukware" wa vyuoni?

    Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo" na vijana 4 kwa siku. Sasa itakuwaje kwa mdogo wangu huyu asiyejua chochote ktk umri wake huu...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini JK asiuze nyumba aliyojengewa na serikali akajenge chuo, shule au hospitali kule Chalinze?

    JK amejilimbikizia majumba ambayo hakuna kiumbe anayeyatumia ipasavyo. Yapo utilized kwa less than 20%. Katika kuwasaidia wananchi wa kijijini kwao kwanini asiuze nyumba yake aliyopewa na serikali then ajenge chuo au hospitali pale Chalinze watoto wapate elimu? Naona hali hiyo pia ipo kwa...
  5. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Upo chuo au hauna ajira ila unamiliki simu ya laki tatu na kuendelea? Tumia mbinu hii kupata pesa ya kujikimu kimaisha (nunua camera)

    Biashara ya kupiga picha inafaa sana kwa mtu yeyote anayepitia changamoto ya kukosa pesa ya kujikimu iwe mtaani au chuoni. Kama unamiliki simu inayoanzia laki tatu na kuendelea ila hauna ajira, ni kheri kuuza simu na kununua DIGITAL CAMERA ya kisasa ambayo utapiga picha za aina zote kwa gharama...
  6. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Ukimaliza chuo ukakaa mtaani miaka mitano bila ajira, mifumo ya ajira serikalini inakutema

    Chukulia mfano umemaliza chuo mwaka 2015, 2016, 2017, 2018 na 2019 kishuka chini alafu jaribu kuomba ajira serikalini. Pitia vigezo vyote kabla ya maombi 😀 kivyovyote vile lazima kuna kigezo kimoja utakuwa haukidhi hasa hasa umri. Mfano Tangazo la ajira za polisi la juzi. Watu wamesoma...
  7. msomi duni

    JamiiForums Tanzania Tanzania ukisoma hadi chuo ni kama laana mtaani

    Nisikuchoshe usinichoshe, bila kumsifu mama wala chama hata kama una masters, degree au diploma of honor Yani GPA ya nne ma straight A's huku mtaani ni laana tu kwanza unakuwa case study pili hupati michongo maana kila mtu anaona unaenda kumuovertake kwenye ugali wake ukienda kujiajiri ndio...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira (kazi) ni mwanafunzi wa chuo lakini najisomesha mwenyewe

    Mimi kijana wa miaka 24 nasoma degree mwaka wa kwanza Dar es salaam. Naomba mnisaidie kazi kwa sababu najisomesha mwenyewe. Mimi hata nikipatiwa kazi ya kuingia kwa zamu sawa ila iwepo Dar es Salaam Nitawashukuru sana jamani naomba mnisaidi namb zangu +255 772 525 607 hizo naomba mnisaidie...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kati ya Matibabu, Intaneti na Elimu ya Msingi hadi Chuo, huduma ipi unadhani inapaswa kupatikana Bure?

    Kuna huduma muhimu zinapaswa kupatikana kwa gharama ndogo sana kwasababu ya unyeti wake na athari zake kwa Nchi na Uchumi. Mfano huduma ya Intaneti, Matibabu na Elimu kwa ujumla wake. Hizi huduma zilipaswa kuwa zinagharamiwa na Serikali kwa asilimia kubwa sana kupitia rasilimali za nchi. Mfano...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Maafisa Uhamiaji kutoka Chuo cha Uhamiaji huwa wanasoma kozi gani?

    Naomba kujua tafadhari hawa Maafisa Uhamiaji huwa wanasoma course gani? Vyuo pia ni vipi? Pamoja na vigezo vyao.🙏🏻🙏🏻🙏🏻
  11. Umkonto umsizwe

    JamiiForums Tanzania Chuo Gani tofauti na veta chang'ombe wanatoa course ya generator service and repair

    Habari members Naomba kufahamu kama kuna chuo chochote tofauti na veta chang'ombe ambacho wanatoa course ya generator service and repair na vigezo vyao Asante 🙏
  12. mamsindo

    JamiiForums Tanzania KERO Usumbufu kwa wananchi kutoka kwa Wanajeshi Chuo cha Jeshi CTC Mapinga ni kero kubwa, TPDF shughulikieni hili

    Kuna kero kwa wakazi tunaotumia barabara iliyopo mbele ya Chuo cha Jeshi la wananchi wa Tanzania CTC Mapinga, kitongoji cha Kiembeni, Kiharaka Bagamoyo. Ni barabara kubwa kutokea Mingoi kwenda Mbweni (kuvuka daraja la Mpiji). Wanawafyekesha wananchi majani nje la lango lao kuu na pembeni ya uzio...
  13. Ritz

    JamiiForums Tanzania Polisi Marekani wawapiga maafisa, Profesa katika Chuo Kikuu cha Washington St. Louis, wamewavunja mbavu

    Wanaukumbi. Picha za kushtua zinaonyesha maafisa kadhaa wa Chuo Kikuu cha Washington St. Profesa wa historia wa SIUE Steve Tamari anaripotiwa kulazwa hospitalini akiwa amevunjika mbavu na kuvunjika mkono. Daktari mmoja alimwambia kuwa ana bahati ya kuwa hai. Ikiwa haya yangekuwa matukio ya...
  14. chlorine gas

    JamiiForums Tanzania Serikali kichunguzeni hiki chuo Cha Mwanza Youth Center kimekuwa mwiba kwa wanafunzi kwa Sheria kandamizi ?

    Ndugu wananzengo habari ya asubuhi , Jamani wazazi tunatakiwa kuwa makini sana pale linapofikia suala la kuwatafuti watoto wetu vyuo kwa ajiri ya kupata ujuzi mbali mbali haya ninayoyasikia kutoka kwa wanafunzi ni hatari sana,wanafunzi wamekuwa wakilalamika kunyimwa uhuru wa kuhoji na mbali...
  15. Webabu

    JamiiForums Tanzania Waandamanaji wanaoiunga mkono Hamas wateka jengo chuo kikuu cha Columbia

    Katika hali inayoonekana kuongezeka kwa maandamano ya kuiunga mkono Hamas na kuilaani Israel huko chuo kikuu cha Columbia nchini Marekani,waandamanaji hao wameteka moja ya jengo la chuo kikuu hicho. Utekaji huo ulifanyika muda mfupi kabla ya onyo lililotolewa na kuondoka kwenye mahema...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa tawi la chuo Kikuu cha Al Mustapha , Ali Taghavi awataka waislam kuipenda quraan kwani imetoka kwa Mungu

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: Al Mustapha ambaye ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Al Taghavi Tawi la Tanzania amewaomba Waislamu wote duniani kukipenda kitabu kitakatifu cha Quraan akisistiza ni kitabu pekee ambacho waumini wote wamekubaliana kukitumia na kimetoka kwa Mungu...
  17. Outsiders

    JamiiForums Tanzania Shinikizo la kuongezewa ada katika chuo cha afya na sayansi Shirikishi Tabora (TCOHAS)

    Wadogo zetu na ndugu zetu wanaosoma Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Tabora TCOHAS hususa waliorudia masomo waliyofeli wanapitia changamoto ya ongezeko la Ada, tofauti na kiasi kilichokua kimewekwa mwanzoni. Wakati vyuo vingine vya serikali kama hiki hakuna ongezeko hilo la Ada, jambo ambalo...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ubovu wa miundombinu ya vyoo Chuo Kikuu cha Dodoma Ndaki ya Sayansi ya Kompyuta na Elimu Angavu

    Mimi ni mwanafunzi wa UDOM college of informatics and virtual education(CIVE). Hali ya miundombinu ya college hii ni mibovu sana na hatarishi kwa afya hususani vyoo. College ya CIVE ina jumla ya blocks 6, tatu katika hizo sita ni mbovu kupindukia. Block moja zima unaweza kukuta vyoo(matundu)...
  19. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Sioni haja ya kwenda chuo

    Ajira ngumu, Kupoteza muda, Kupoteza pesa ambayo kiuhalisia ungepata mtaji wa kuanzisha biashara. Kuingia madeni yasio ya lazima, (mikopo) Elimu haikidhi viwango vya mabadiliko ya kiuchumi na kisayansi. Walio na vyeti mtaani hawahesabiki. High school is a necessity, but collage is a...
  20. daizouh

    JamiiForums Tanzania Chuo Gani Tanzania kinatoa Master degree in electrical engineering by coursework and dissertation

    Jamani nahitaji kujua chuo kilichopo Tanzania kinachotoa master degree in electrical engineering by coursework and dissertation
Back
Top Bottom