Wakuu habarini za jioni, poleni na hekaheka na mihangaiko ya siku..
Samahani naomba wajuzi mniambie je inawezekana kwa mtu aliechaguliwa chuo mfano amechaguliwa TIA campus ya Dar es salaam akataka kuhamia TIA campus ya mbeya?
na kama inawezekana anatakiwa kufuata utaratibu upi?
Wahitimu wa Diploma Chuo cha DIT hatujapata AVN Namba, tunashindwa kuomba Mkopo, tunaomba Bodi iongeze muda wa maombi
KUONGEZWA KWA MUDA WA MAOMBI YA MIKOPO 2024/2025
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo na Umma kwa ujumla kuwa muda wa...
Mimi ni mwanafunzi nimemaliza Diploma katika chuo cha CBE, changamoto yangu kubwa hawataki kupeleka matokeo yangu NACTE ili niweze kuapply AVN namba niweze kuendelea na degree.
Nimejaribu kwenda mara nyingi lakini jibu nalojibiwa tunafanyia kazi, sasa ni miezi miwili nahangaika maana mimi ni...
Je, kati ya MUST (Mbeya University of science and technology) na Arusha Technical ni kipi chuo bora ambacho unamshauri mdogo wako asome kwa masomo ya Computer?
Sawa Azam walishika nafasi ya pili sisi tukaumia sana lakini tukumbuke sisi tulijiumiza wenyewe, sisi hatukuwa watu wa kushika nafasi ya pili, hata sasa hivi tunakwenda vizuri lakini mbeleni huko tutakorofisha tena mtani abebe ndoo na Injinia kashasema Simba haimnyimi usingizi, anajua...
Suala la kuingiliwa kwa mfumo wa matokeo wa chuo kikuu, kama ilivyodaiwa kutokea katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), ni jambo la kusikitisha na lenye madhara makubwa kwa uaminifu wa taasisi za elimu. Hili linaweza kudhoofisha uaminifu wa vyuo vikuu na kuathiri vibaya mfumo mzima wa...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida wanafunzi wengi kuanzia kidato cha tano na Sita wanadhani Maisha ya Chuo ni ya Starehe sana bila kujua undani wake.
Baadhi ya wanafunzi huenda Chuo wakiwa na matumaini makubwa sana ya kutimiza ndoto zao.
Lakini Ndoto hizo hukwamishwa na vitu vingi hasa kwa wale...
Hakikisha Angalau amesafiri nje ya nchi Angalau nchi mbili.
Elimu matembezi ( exposure) ndio elimu kubwa kuliko elimu ya chuo.
Vyuo sasa ni vyanzo vya mapato vya wamiliki sio vyanzo vya elimu. Ndio maana bado shahada na stashshada za elimu Zina Endelea kutolewa wakati kunamafuriko ya walimu...
Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam ni Moja kati ya Vyuo nchini Tanzania ambacho unaweza kusoma na kujitolea kufanya kazi pia.
Kwa wale waliosoma UDSM-SJMC watakuwa wananielewa kuwa kutokana na ile Televisheni,Radio na Gazeti wanafunzi wanaojitolea kufanya kazi hapo huwa wanapata kipato...
Salam WanaJF!
Kama kichwa cha Habari hapo juu. Nimehitimu First Degree ya ICT miaka michache ilopita. Tayari nilifanikiwa kuajiriwa. Sasa nimeamua kwenda kuongeza kitabu kwa ngazi ya Masters Degree.
Hata hivyo nina Interest na fani mbili;-
1.Masters of Science in Project Planning and...
Mgogoro wa madaraka Katika kanisa la Biblia Tanzania Kanda ya Kaskazini ,Sasa umefikia pabaya baada ya kundi linaloongozwa na Legius Nchimbi kuwasilisha nyaraka za kughushi za mabadiriko ya watia saini kwenye benki moja hapa Moshi na kuchota kiasi kikubwa cha fedha.
Kundi hilo kwa kumtumia...
Habarii....... Nilifanya application kupitia nacte sasa nimechaguliwa chuo nisichokipenda na ada yake Iko juu tofauti na kwenye guidebook
Sasa Nikawa nataka wanifute ili niende chuo kingine affordable. Mara ya kwanza wamenizungusha sana ila sasa hivi baada ya kuwakazia wananiambia niwatumie code...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi Chuo cha VETA cha Mkoa wa Rukwa kilichopo katika Kijiji cha Kashai, Kata ya Momoka, Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa, Julai 16, 2024, ikiwa ni sehemu ya ziara yake mkoani Rukwa.
Rais amesema kwa sasa mkoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.