Tanzania tumekuwa na vyuo vikuu mbali mbali lakini bado hatufanyi vizuri kimataifa na kuzalisha wanasayansi ambao wanategemea kusubiri ajira na sio kugundua mambo.
Hivyo serikali inatakiwa kuhakikisha inasimamia kikamilifu namna ambavyo elimu hiyo hutolewa. Mfano. Mwalimu anapotoa assigment kwa...
Naomba uongozi wa chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy muanze kumtazama lecturer Anayeitwa Majura anayefundisha masomo ya kiswahili.
Lecturer huyu hana maadili ya ualimu ni mbabe , anatumia hasira na kiburi katika kuwahudumia wanafunzi na kuwatisha.
Chuo cha Mwalimu Nyerere memorial...
Utangulizi 1.0 Utangulizi Tangu kuzinduliwa kwa ripoti kamili ya Mradi wa Ubora wa Vyombo vya Habari Tanzania “Yearbook on Media Quality in Tanzania” mwaka 2018, tayari ripoti tatu zimeshachapishwa.
Ripoti zote tatu, zimeelezea kwa kina ubora wa uripoti wa habari nchini na kwa hiyo ripoti hizo...
Hivi course ya COMMUNITY HEALTH ipo na inatolewa kweli? Nimejaribu kufatilia vyuo vingi sijaiona.
Naomba kama kuna mtu anajua chuo kinachotoa hii course tafadhali.
Nauliza ni lini wanafunzi kutoka chuo cha mtakatifu Augustine Tanzania SAUT watasaini hela zao za kujikimu awamu ya nne angali wenzao kutoka vyuo vingine washasaini pia huu ucheleweshaji kuna changamoto gani?
Wakuu Habari za Majukumu.
Imekuwa ndoto yangu kuanzisha na Kuendesha Chuo cha Elimu ya Kati,kinachotoa Elimu ya stashahada na astashahada hasa kwenye Kada ya Afya.Tayari Nina Eneo la Kutosha Kujenga Majengo.Kwa ambao tayari wanaendesha hii Shughuli nini cha kuzingatia?
Sijawahi kuwa Mwalimu...
habari vijana.
nauza brand new machine ya kuprint tshirts fasta fasta.
bei ni laki nane tu ( 800,000/=) manufacture anaitwa ADKINS.
ukihitaji piga namba 0616 577 289 mashine ipo kimanga Dar es salaam, ni brand new haijawai tumika.
kwa kijana uliyopo mazingira ya chuo itakusaidia sana...
Ninaguswa sana na jinsi ya elimu yetu Tanzania, vitu tunavyofundishwa darasani sio vitu unavyokutana navyo kazini. Kuna umuhimu wa kuboresha ufundishaji wa elimu ya chuo kikuu.
Ninaamini elimu tunayopewa chuo inatupa maarifa lakini tukiangalia baadhi ya vitu nadhani kuna haja ya kubadilisha...
Kama ikitokea siku mtu akakuhitaji umuweke bayana kati ya Life la Chuo na la Kitaa ni lipi lina songombingo nyingi basi vuta pumzi kisha mwambieee 'hakuna Embe litakaloweza kuota kwenye Mnanasi na hakuna Nanasi litakaloota kwenye tawi la Muembe'
Hali kadhalika ukiwachukua watu wawili. Mmoja awe...
Technical Education in Engineering ni course inakuwa offered hapa chuo cha must Mbeya lakini mtaani haitambuliki marketing yake ni ndogo mno ni ngumu kupata ipo kwa wanafunzi wanaosoma Technical Education tunaomba marketing associations zisaidie wanafunzi wamekata tamaa kabisa.
UFAFANUZI KUHUSU MALIPO YA FEDHA ZA KUJIKIMU KWA ROBO YA NNE
Ijumaa, Mei 17, 2024
Tunapenda kuwafahamisha wanafunzi wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu na umma kuwa tunakamilisha malipo ya fedha za kujikimu (Chakula na Malazi) kwa robo ya nne (Quarter IV) na wanafunzi watarajie kupokea fedha...
Najua maboss wa Yanga mko humu, tafadhali fungueni chuo kikuu cha soka ili kuzisaidia club mbalimbali za soka duniani kama vile Arsenal na Simba.
Asante
Katika kuendelea kuunga mkono jitihada za serikali, wadau wa Maendeleo Shirika lisilo la kiserikali linalojiuhusisha na masuala ya elimu -ECLAT Development Foundation wameanza ujenzi wa chuo cha Mafunzo,ujuzi na malezi kwa wasichana.
Jiwe la msingi la Ujenzi wa Chuo hicho kinachojengwa Kijiji...
Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo" na vijana 4 kwa siku.
Sasa itakuwaje kwa mdogo wangu huyu asiyejua chochote ktk umri wake huu...
JK amejilimbikizia majumba ambayo hakuna kiumbe anayeyatumia ipasavyo. Yapo utilized kwa less than 20%.
Katika kuwasaidia wananchi wa kijijini kwao kwanini asiuze nyumba yake aliyopewa na serikali then ajenge chuo au hospitali pale Chalinze watoto wapate elimu?
Naona hali hiyo pia ipo kwa...
Biashara ya kupiga picha inafaa sana kwa mtu yeyote anayepitia changamoto ya kukosa pesa ya kujikimu iwe mtaani au chuoni.
Kama unamiliki simu inayoanzia laki tatu na kuendelea ila hauna ajira, ni kheri kuuza simu na kununua DIGITAL CAMERA ya kisasa ambayo utapiga picha za aina zote kwa gharama...
Chukulia mfano umemaliza chuo mwaka 2015, 2016, 2017, 2018 na 2019 kishuka chini alafu jaribu kuomba ajira serikalini.
Pitia vigezo vyote kabla ya maombi 😀 kivyovyote vile lazima kuna kigezo kimoja utakuwa haukidhi hasa hasa umri. Mfano Tangazo la ajira za polisi la juzi.
Watu wamesoma...
Nisikuchoshe usinichoshe, bila kumsifu mama wala chama hata kama una masters, degree au diploma of honor Yani GPA ya nne ma straight A's huku mtaani ni laana tu kwanza unakuwa case study pili hupati michongo maana kila mtu anaona unaenda kumuovertake kwenye ugali wake ukienda kujiajiri ndio...
Mimi kijana wa miaka 24 nasoma degree mwaka wa kwanza Dar es salaam. Naomba mnisaidie kazi kwa sababu najisomesha mwenyewe. Mimi hata nikipatiwa kazi ya kuingia kwa zamu sawa ila iwepo Dar es Salaam
Nitawashukuru sana jamani naomba mnisaidi namb zangu +255 772 525 607 hizo naomba mnisaidie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.