chuo

  1. J

    JamiiForums Tanzania Chuo cha uhasibu na vigezo vyake ili mtu ajiunge vipoje?

    Wakuu kuna mshikaji ananiambia anasoma chuo cha uhasibu (TIA) pale mitaa ya Temeke,ila mara nyingi usiku ndio anakuwa chuo,je pale wanasoma usiku? Na vigezo vyake ili mtu ajiunge vipoje? Nataka mwanangu asome mwakani
  2. N

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wanafunzi wa Chuo cha Takwimu Mashariki Mwa Afrika (EASTC) hatujapata malipo ya Fedha za Kujikimu wiki ya tatu sasa

    Mimi ni mmoja wa Wanafunzi wa Chuo cha Takwimu Mashariki Mwa Afrika (EASTC), tumepokea Disbursement ya Boom na Tuition Fee tangu Desemba 6, 2024. Mpaka hivi sasa (leo Desemba 30, 2024) tumepewa cheque No ya Tuition Fee imepita wiki mbili (02) lakini hadi hivi sasa hatujawekewa Cheque No ya Boom...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwalimu Farida Washokera wa SAUT-MWANZA Atoe incomplete kwenye matokeo ya (BASIC ENGLISH) kwa Wanafunzi wa Course ya mass Communication

    Na sio Kuwazungusha kwani Wanafunzi Hawa wamekuwa wakilalamika kutoshughulikiwa changamoto Yao ya kutokujaziwa matokeo Yao toka mwaka wa masomo 2023/2024 Semister ya kwanza. Aidha Wanafunzi Hawa wamefatilia kwa viongozi mbalimbali wa chuo akiwemo HOD ya Journalism and Mass Communication lakini...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Changamoto ya usimamizi wa michango ya fedha za wanachuo, Chuo cha Mifugo Kikulula

    Chuo cha Mifugo Kikulula kimekuwa na tabia ya kupokea pesa za wanachuo kwa ajili ya bima ya afya lakini usimamizi wake una changamoto kubwa. Mara kadhaa msimamizi anayepewa hilo jukumu amekuwa akila hela za michango, hivyo kuleta usumbufu kwa wahitaji wanapotaka kupatiwa huduma za afya Vile...
  5. M

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya kutoka Tengeru kuelekea Chuo cha mifugo(LITA), Chuo cha maendeleo ya jamii (TICD) ni kero

    Jamani barabara ya kutoka Tengeru kuelekea Chuo cha mifugo(LITA), Chuo cha maendeleo ya jamii (TICD) ni mbaya Sana. Hii ni barabara muhimu Sana kwani inaenda kwenye taasisi muhimu za serikali. Pia husaidia wakazi mbalimbali kuleta bidhaa zao hasa siku za soko la Tengeru jumatano na jumamosi...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ucheleweshaji wa pesa za refund Mbeya University of Science and Technology (MUST)

    Hii changamoto imetokea tangu mwaka 2022 ikatulazimu tuendelee kusubiri maana bado tulikuwa tunasoma , hivyo hela iliyokuwa imezidi ikawa inatumika kwa michango mingine kama direct cost na tuition fees hii haikupelekea hiyo hela iliyozidi kutokana na uongezewaji wa Ada kipindi ambacho Sisi...
  7. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Baadhi ya wanafunzi waliopata Samia scholarship UDSM wakumbana hali ngumu kufuatia kutopata fedha za kujikimu na ada ya masomo

    Changamoto za Wanafunzi Walionufaika na Samia Scholarship – Ombi la Msaada Tunapenda kuwasilisha changamoto zinazowakumba baadhi ya wanafunzi walionufaika na Samia Scholarship katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Wanafunzi hawa wanakumbana na hali ngumu kufuatia kutopata fedha za kujikimu wala...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Balozi Hoyce Temu ahitimu Phd chuo kikuu SAUT

    Hoyce Anderson Temu, aliyezaliwa Machi 1978 katika Hospitali ya Mount Meru mjini Arusha. Alianza safari yake ya masomo katika Shule ya Msingi Matemboni Old Moshi mkoani Kilimanjaro na kuhamia Arusha katika shule ya Msingi Uhuru na baadaye kujiunga na Shule ya Sekondari Arusha, ambako alifanya...
  9. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Mahafali ya Chuo Kikuu cha Saut Kufanyika Leo

    Adhimisho la Ibada ya Misa takatifu katika mahafali ya 27 ya Chuo Kikuu cha Mt. Agustino cha Tanzania, yanafanyika leo Desemba 21, 2024 katika Viwanja vya Raila Odinga, chuoni hapo Ibada hiyo imeongozwa na Askofu Mstaafu Method Kilaini, wa Jimbo Katoliki la Bukoba Kabla ya mahafali Zoezi la...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu vitano vya tanzania vya shika mkia mashindano ya 13 ya Afrika Mashariki: Wanafunzi wa Kitanzania tunaosomea chuo Kenya mumetuacha na aibu

    Wanabodi heshima mbele. Kuanzia tarehe 15/12/2024 mpka tarehe 20/12/2024.Kulikuwa na MASHINDANO ya michezo ya VYUO VIKUU VYA AFRIKA MASHARIKI (13Th Eastern African Universities sport) yaliyo fanyika katika chuo kikuu cha MASENO nchini Kenya. Nchi zilizo shiriki ni pamoja na Tanzania,Uganda...
  11. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Wazo: Je, tunaweza kuifuta form six? Yaani Mwanafunzi akianza form one (Non-stop) aende mpaka form five, alafu anajiunga na chuo?

    Good Afternoon my dear brothers and sisters out there. Eti wadau, tunaweza kufuta form six?? Mwanafunzi akianza form one, aende mpaka form five (Non stop) alafu chuo?? Yaani tunaua mitihani ya form four pamoja form six. Mtihani mkuu wa Secondary unakuwa mmoja tu wa form five. Karibu kwa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo cha ICOT-Morogoro cha Wizara ya Ujenzi kinatoa elimu dhaifu na hakilipi wakufunzi

    Habari ndugu zangu, kuna chuo kimoja kinaitwa ICOT hapo mjini Morogoro kipo chini ya wizara ya ujenzi kinatoa course za diploma kwa electrical, mechanical na civil engineering aisee kina changamoto kubwa sana. Chuo hakina wakufunzi wakutosha kwaio wanatumia wakufunzi wa part time ila cha ajabu...
  13. P

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanazuoni na Mwanasayansi Prof. Anselm Biseko Lwoga afariki dunia

    Aliyekuwa makamu mkuu wa Chuo cha kilimo Sokoine SUA kuanzia mwaka 1989 mpaka 2006 na Mwenyekiti BODI ya MIKOPO kuanzia 2008 mpaka 2016...amefariki DUNIA hapo Jana tarehe 18dec2024 mkoani Morogoro...! Ikumbukwe marehemu alifanya kazi na Marais wastaafu Mwl Julius Kambarage Nyerere, Ally Hassan...
  14. M

    JamiiForums Tanzania STORI YANGU; Nilimsomesha mpaka chuo lakini bado wakataka kunimaliza yeye na Mama yake!

    Wakati mimi namlipia ada ya chuo, kuna mwingine alikuwa anamsaidia kujenga kwao. Kumbuka, nilishajitambulisha kwa mama yake, ambaye alikuwa anajua kila kitu – kwamba binti yake hana kazi yoyote, lakini alikuwa anahudumia familia na kusomesha wadogo zake. Mimi sikuwa nikijua hilo mpaka...
  15. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Nilimsomesha mpaka chuo lakini bado wakataka kunimaliza yeye na mama yake

    Wakati mimi namlipia ada ya chuo, kuna mwingine alikuwa anamsaidia kujenga kwao. Kumbuka, nilishajitambulisha kwa mama yake, ambaye alikuwa anajua kila kitu – kwamba binti yake hana kazi yoyote, lakini alikuwa anahudumia familia na kusomesha wadogo zake. Mimi sikuwa nikijua hilo mpaka...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Debora Tluway Afika Tunguu, Chuo cha UVCCM

    DEBORA TLUWAY AFIKA TUNGUU, CHUO CHA UVCCM Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UVCCM Mkoa, Komredi Debora Joseph Tluway tarehe 15 Desemba 2024 ametembelea Chuo cha Umoja wa Vijana wa CCM Tunguu Zanzibar na kuona miradi na mikakati mbalimbali inayotekelezwa ikiwemo Ufugaji wa Kuku wa Mayai na ujenzi...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Debora Tluway Atembelea Chuo cha Vijana Kaskazini Unguja, Azindua Bananza la Utamaduni

    Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UVCCM Taifa, Komredi Debora Joseph Tluway tarehe 14 Desemba 2024 ametembelea Chuo cha Vijana Kaskazini Unguja na kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na Chuo hicho Aidha, Mhandisi Debora Joseph Tluway amezindua Bonanza la Utamaduni Kaskazini Unguja...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya usajili wa wanafunzi chuo cha NIT baada ya mfumo wa ulipaji ada kubadilishwa

    Chuo cha Taifa cha Usafirishaji kimekuwa na changamoto kwenye suala la usajili kutokana na kubadilishwa kwa mfumo wa ulipaji ada kutoka mara 4 kwa mwaka wa masomo mpaka mara 2 kwa mwaka wa masomo Wanafunzi wengi tunapata shida kufanya usajili kwasababu ya hali ngumu za kimaisha za familia zetu...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Kibabage ananikumbusha timu yetu ya darasa Chuo.

    Nakumbuka timu yetu ya darasa miaka hiyo tukiwa Chuo, Ile timu tulikuwa na wachezaji 10. Hatukuwa na Subs, Ili tutimie 11 kwa mjibu wa utaratibu, ilikuwa tunalazimika kumuweka mtu Ili tu kutimiza idadi ya wachezaji. Inashangaza timu kama yanga wanafanya kile tulichokuwa tunafanya, Kibabage...
  20. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Wakati tunasoma naye Chuo alikuwa na akili, lakini sasa nimekuja kutana naye.... Inasikitisha.

    Wakati tunaanza chuo mwaka 2002 the guy alikuwa smart mpaka tunamaliza 2005. Nlikuwa naona ni moja ya watu ambao watakuja kufanya makubwa sana nchini. Nimekuja kutana naye mwaka jana...kwanza nlishtuka. Amevaa tshirt ya chama na kofia. Nikamuuliza xxxx ni wewe au naota. Akaniambia ni mimi xxxx...
Back
Top Bottom