chumvi

Maji ya Chumvi is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Ukiogea chumvi ya mawe kila mtu hukuona ni mtu mwenye amani

    Moja ya athari za kuogea chumvi ya mawe ni kila mtu hukuona ni mtu wa amani, hata wahuni hawawezi kuhangaika na wewe😎
  2. DAWASA, mmeanza rasmi kutoa maji ya chumvi?

    Wasalam, Huu uzi naomba mods muwa tag DAWASA ili waje watupe jibu la swali letu. Je, DAWASA mmeanza kutoa maji ya chumvi rasmi? Malalamiko ya upatikanaji wa maji safi na salama yamekuwepo kwa muda mrefu sasa hali imebadilika baada ya kuanza kusambaziwa maji ya chumvi au yenye magadi makali...
  3. Yani tuna import hadi chumvi?

    Ndio naona hapa nashangaa. Hadi chumvi? Wakati kuna sehemu hadi tunaita uvinza? Mtwara, pwani yote chumvi ipo. Ununio huko naona chumvi. Nani katuloga? Ifike sehemu hawa vuingozi wetu watuheshimu na wajiheshimu. Ifike wakati aje kiongozi apige marufuku imports za yafuatayo: 1. Maji 2. Chumvi...
  4. Waziri Mkuu, Majaliwa aagiza wazalishaji wa Madini ya Chumvi, kuzalishwa Chumvi yenye Ubora

    Ahitimisha Maonesho ya Kwanza ya Madini na Fursa za Uwekezaji Mkoani Lindi #Aelekeza Halmashauri nchini kuandaa Mpango wa Uchimbaji madini endelevu Ruangwa - Lindi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amewaagiza wazalishaji wa Madini ya Chumvi nchini kuzalisha...
  5. Je chumvi huzuia mvua ?

    Wanajamvi habarini, nimekutana na kisanga kutoka kwa dada wa kazi, yeye ni mzaliwa wa Dodoma na alikuja kufanya kazi nyumbani kwangu hapa Chugastan. Siku moja tumeanika maharage baada ya kuvuna na tukaona kuna dalili za mvua mvua vimanyunyu kwa mbali tukaanza kutapa hofu kwamba mvua inaweza...
  6. Serikali Yapiga Marufuku Kuingiza Malighafi ya Chumvi Kutoka Nje kwa Viwanda vya Ndani

    SERIKALI YAPIGA MARUFUKU KUINGIZA MALIGHAFI YA CHUMVI KUTOKA NJE KWA VIWANDA VYA NDANI "Mkakati wa Serikali kuvutia wawekezaji katika sekta ya Chumvi unaendelea ikiwa ni pamoja na kutenga eneo lenye ukubwa wa Hekari 168 katika Wilaya ya Kilwa kwaajili ya wawekezaji Wenye nia ya kuchakata...
  7. Waziri Biteko asema Tanzania ipo tayari kwa kongamano kubwa la Madini, aelezea kinachokwamisha biashara ya Chumvi

    Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kuelekea Kongamano la Uwekezaji katika Sekta ya Madini Mwaka 2023 linalojulikana kwa jina la Tanzania Mining & Investment Forum 2023, Waziri wa Madini, Doto Biteko amesema wamepanga kutoa elimu kubwa zaidi kuelekea shughuli hiyo itakayofanyika baadaye mwaka huu...
  8. Chumvi iliyozidi kwenye chakula ni hatari kwa afya, wapishi tuwe makini

    Chumvi ni kiungo muhimu katika vyakula, na ina athari zake kwenye chakula tunachokula. Hapa kuna baadhi ya athari za chumvi kwenye chakula hasa chumvi ile ya kuunga wakati wa kula kama kuongeza ikiwa imepungua au kuchovya chumvi wakati wa kula kama maembe mabichi nk. Mzunguko wa maji mwilini...
  9. Madaktari na wataalamu wa chakula, kwanini haishauriwi kuongeza chumvi baada ya chakula kuiva?

    Hili swali nimekuwa nikijiuliza bila kuelewa, nimekuwa nikisikia majibu kama chumvi mbichi na chumvi iliyoiva, sielewi ni namna gani chumvi inaitwa imeiva wakati yenyewe ni kemikali. Tuchukulie mifano hii: Nimepika maharage kilo moja bila kutia chumvi halafu nikaja kuongeza vijiko vitatu vya...
  10. Madaktari na wataalamu wa chakula, kwa nini haishauriwi kuongeza chumvi baada ya chakula kuiva?

    Hili swali nimekuwa nikijiuliza bila kuelewa, nimekuwa nikisikia majibu kama chumvi mbichi na chumvi iliyoiva, sielewi ni namna gani chumvi inaitwa imeiva wakati yenyewe ni kemikali. Tuchukulie mifano hii: Nimepika maharage kilo moja bila kutia chumvi halafu nikaja kuongeza vijiko vitatu vya...
  11. Chumvi kupanda bei kuanzia kesho, Aprili 15, 2023

    Tukiwa tumebakiza Juma moja kuelekea sikukuu za Eid,sasa kuanzia kesho bei ya Chumvi inakwenda kupanda bei Wanapoelekea majirani zetu sasa hata sindano za kushomea zitapanda bei ===== The price of salt is set to increase from tomorrow, April 15 as indicated in a memo by a salt manufacturing...
  12. Mwita Waitara, jiwe la chumvi

    Kwako bwana Mwikwabwe Mwita, kiranja mkuu wa Azania zamani, mwenyekiti wa kitivo cha sayansi UDSM zamani, Rais wa DARUSO zamani, mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa TANGA zamani, mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa kivule CHADEMA zamani. Mbunge wa ukonga CHADEMA zamani, mbunge wa Ukonga CCM na sasa wa...
  13. Ripoti WHO: 73% ya Nchi duniani hazina Sera ya kupunguza Matumizi ya Chumvi, Vifo Milioni 5 vinatokea kila mwaka

    Ripoti mpya ya Shirika la Afya Duniani (WHO) iliyotoka leo Machi 9, 2023 kuhusu Udhibiti wa Matumizi ya #Chumvi hasa ya kuongeza wakati wa Kula (Chumvi ya Mezani), imeonesha dunia iko chini ya malengo yaliyowekwa hadi kufikia mwaka 2025 kwa 30%. #WHO imesema kuwa ni 5% tu ya Nchi Wanachama wa...
  14. Hayati Magufuli alivyomtimua mpishi wa Ikulu usiku baada ya kuzidisha chumvi kwenye chakula

    Leo nimeukmbuka wimbo wa Super Rainbow ulioimbwa na Eddy Sheggs ¶akafatia na kuweka chumvi kwenye chai,tulikuwa na wageni wakatoka bila kuaga,akafatia na kuweka sukari kwenye mboga tukaona haviliki tukalala na njaa.¶ Back to the topic...uajua waafrika wengi ukifikisha umri wa kustaafu Miaka...
  15. Ondoa Mikosi Maishani Mwako kwa Chumvi

    Ndugu zangu kwanza nianze kwa kusema kitu kimoja, mimi sio mchawi, mshirikina ama vyovyote vile ila ninakuandikia haya kama kukuelezea nguvu ya vitu alivyoviumba Mungu. Mungu alimuumba binadamu kutoka kwenye udongo, hii inamaanisha nini? Kwamba kitu cha kuuponya huu mwili upo kwenye udongo...
  16. Vurugu ya ubomoaji wa jengo la shule ya sekondari chumvi iliyopo Uvinza

  17. Ladha ya chumvi kwenye maji ya Kilimanjaro inasababishwa na nini?

    Maji ya Kilimanjaro hapo awali hayakuwa na ladha ya chumvi, ila haya ya siku hizi hili tatizo limekuwa sugu, nini sababu ya haya maji kuwa na ladha ya chumvi chumvi? Na ukikagua packaginh yanaonekana ni authentic kabisa, sio fake..
  18. Uchaguzi Nigeria: Naona safari hii wameamua kuongonzwa na vibabu vilivyokula chumvi nyingi

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Kwa wasiofahamu, ni kwamba Nigeria inakwenda kufanya uchaguzi wake mkuu wa uraisi miezi mitatu ijayo. Katika uchaguzi huo mkuu, mchuano mkali utakuwa kati ya vikongwe wawili wa nchi hiyo mh Bola...
  19. INAUZWA Nauza dagaa nyama na wengineo

    Wadau habari za leo ! Nachukua nafasi hii kuwatangazia biashara ya dagaa wa maji chumvi kwa sampuli zao: 1. Dagaa nyama, 2. Dagaa wakavu/Lukumbu, 3. Lumbunga , na 4. Ng`onda pia wapo. -Mauzo ni kwa jumla, -Bei ni poa, -Msimamizi wa kila kitu ni mimi mwenyewe, naazingatia ubora na usafi kwa...
  20. Prof. Janabi: Matumizi makubwa ya chumvi ni hatari kwa afya ya moyo

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Prof. Mohamed Janabi akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Arusha Lutheran Medical Centre (ALMC) kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Moyo Duniani tarehe 29/09/2022. Katika kuadhimisha siku hiyo wataalamu wa JKCI kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…