Yani tuna import hadi chumvi?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,886
2,767
Ndio naona hapa nashangaa. Hadi chumvi? Wakati kuna sehemu hadi tunaita uvinza? Mtwara, pwani yote chumvi ipo. Ununio huko naona chumvi. Nani katuloga?

Ifike sehemu hawa vuingozi wetu watuheshimu na wajiheshimu. Ifike wakati aje kiongozi apige marufuku imports za yafuatayo:

1. Maji
2. Chumvi
3. Sukari
4. Nafaka

Mnaweza kuongezea hapo.

Rais aliyepo madarakani anaweza kuanza na hayo, na kisha tukaendelea katika sekta zingine nyeti.
 
Attachments

  • PXL_20230911_052436805.jpg
    PXL_20230911_052436805.jpg
    62.3 KB · Views: 2
Ndio naona hapa nashangaa. Hadi chumvi? Wakati kuna sehemu hadi tunaita uvinza? Mtwara, pwani yote chumvi ipo. Ununio huko naona chumvi. Nani katuloga?

Ifike sehemu hawa vuingozi wetu watuheshimu na wajiheshimu. Ifike wakati aje kiongozi apige marufuku imports za yafuatayo:
1. Maji
2. Chumvi
3. Sukari
4. Nafaka

Mnaweza kuongezea hapo.

Rais aliyepo madarakani anaweza kuanza na hayo, na kisha tukaendelea katika sekta zingine nyeti
Chumvi unayozalisha wewe ipo wapi?
 
Ndio naona hapa nashangaa. Hadi chumvi? Wakati kuna sehemu hadi tunaita uvinza? Mtwara, pwani yote chumvi ipo. Ununio huko naona chumvi. Nani katuloga?

Ifike sehemu hawa vuingozi wetu watuheshimu na wajiheshimu. Ifike wakati aje kiongozi apige marufuku imports za yafuatayo:

1. Maji
2. Chumvi
3. Sukari
4. Nafaka

Mnaweza kuongezea hapo.

Rais aliyepo madarakani anaweza kuanza na hayo, na kisha tukaendelea katika sekta zingine nyeti.
Wewe tumia fursa ukatengeneze chumvi?

Usingoje kila kitu kufanyiwa na viongozi, jiongoze na jiongeze.
 
Sasa tukigeukia kwenye siasa hiyo inaweza kuwa applicable? As far as opposition parties are concerned
Ushasema siasa, siasa za Tanzania siku zote ni wajinga ndiyo waliwao. Mama Samia pekee ndiyo tunajionea kwa vitendo kabisa sasa ana Reform na Rebuld siasa zake ni za kuwezeshana kimaisha siyo za porojo tu..
 
Gharama za uzalishaji ni kubwa.

Kwingine mf. China wana economies of scale, ruzuku na learning time ndogo, kwahiyo bei ndogo ya bidhaa.

Tukikupa m10 uzalishe mfano tangawizi bei utakayotuuzia ili upate faida ni mara mbili ya bei ambayo tutaimport.

Tatizo ni yaleyale umesoma form two: lack of ........
 
Uzuri kwa chumvi mfano ni kuyazinga maji na baada ya muda unapata raw salt kabla haijachakatwa kuwa hii ya mezani. Sasa ni muhimu kwa wawakilishi wao kuona namna ya kuwawezesha, kama wanavyofanya kwa mwani na matango/jongoo bahari
 
Ushasema siasa, siasa za Tanzania siku zote ni wajinga ndiyo waliwao. Mama Samia pekee ndiyo tunajionea kwa vitendo kabisa sasa ana Reform na Rebuld siasa zake ni za kuwezeshana kimaisha siyo za porojo tu..
Hata hao wakulima wa chumvi kwa hoja yako ni wajinga, maana siasa yenyewe ndio imetengeneza mazingira hayo. Hadi tunaagiza chumvi toka nchi jirani
 
Ndio naona hapa nashangaa. Hadi chumvi? Wakati kuna sehemu hadi tunaita uvinza? Mtwara, pwani yote chumvi ipo. Ununio huko naona chumvi. Nani katuloga?

Ifike sehemu hawa vuingozi wetu watuheshimu na wajiheshimu. Ifike wakati aje kiongozi apige marufuku imports za yafuatayo:

1. Maji
2. Chumvi
3. Sukari
4. Nafaka

Mnaweza kuongezea hapo.

Rais aliyepo madarakani anaweza kuanza na hayo, na kisha tukaendelea katika sekta zingine nyeti.
Ccm hawana habari...wote wameshiba hayo unaongea wewe mwenye njaa
 
Back
Top Bottom