chumvi

Maji ya Chumvi is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti WHO: 73% ya Nchi duniani hazina Sera ya kupunguza Matumizi ya Chumvi, Vifo Milioni 5 vinatokea kila mwaka

    Ripoti mpya ya Shirika la Afya Duniani (WHO) iliyotoka leo Machi 9, 2023 kuhusu Udhibiti wa Matumizi ya #Chumvi hasa ya kuongeza wakati wa Kula (Chumvi ya Mezani), imeonesha dunia iko chini ya malengo yaliyowekwa hadi kufikia mwaka 2025 kwa 30%. #WHO imesema kuwa ni 5% tu ya Nchi Wanachama wa...
  2. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alivyomtimua mpishi wa Ikulu usiku baada ya kuzidisha chumvi kwenye chakula

    Leo nimeukmbuka wimbo wa Super Rainbow ulioimbwa na Eddy Sheggs ¶akafatia na kuweka chumvi kwenye chai,tulikuwa na wageni wakatoka bila kuaga,akafatia na kuweka sukari kwenye mboga tukaona haviliki tukalala na njaa.¶ Back to the topic...uajua waafrika wengi ukifikisha umri wa kustaafu Miaka...
  3. Song of Solomon

    JamiiForums Tanzania Ondoa Mikosi Maishani Mwako kwa Chumvi

    Ndugu zangu kwanza nianze kwa kusema kitu kimoja, mimi sio mchawi, mshirikina ama vyovyote vile ila ninakuandikia haya kama kukuelezea nguvu ya vitu alivyoviumba Mungu. Mungu alimuumba binadamu kutoka kwenye udongo, hii inamaanisha nini? Kwamba kitu cha kuuponya huu mwili upo kwenye udongo...
  4. Rusumo one

    JamiiForums Tanzania Vurugu ya ubomoaji wa jengo la shule ya sekondari chumvi iliyopo Uvinza

  5. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Ladha ya chumvi kwenye maji ya Kilimanjaro inasababishwa na nini?

    Maji ya Kilimanjaro hapo awali hayakuwa na ladha ya chumvi, ila haya ya siku hizi hili tatizo limekuwa sugu, nini sababu ya haya maji kuwa na ladha ya chumvi chumvi? Na ukikagua packaginh yanaonekana ni authentic kabisa, sio fake..
  6. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Nigeria: Naona safari hii wameamua kuongonzwa na vibabu vilivyokula chumvi nyingi

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Kwa wasiofahamu, ni kwamba Nigeria inakwenda kufanya uchaguzi wake mkuu wa uraisi miezi mitatu ijayo. Katika uchaguzi huo mkuu, mchuano mkali utakuwa kati ya vikongwe wawili wa nchi hiyo mh Bola...
  7. Blauzi mbovu

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza dagaa nyama na wengineo

    Wadau habari za leo ! Nachukua nafasi hii kuwatangazia biashara ya dagaa wa maji chumvi kwa sampuli zao: 1. Dagaa nyama, 2. Dagaa wakavu/Lukumbu, 3. Lumbunga , na 4. Ng`onda pia wapo. -Mauzo ni kwa jumla, -Bei ni poa, -Msimamizi wa kila kitu ni mimi mwenyewe, naazingatia ubora na usafi kwa...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Prof. Janabi: Matumizi makubwa ya chumvi ni hatari kwa afya ya moyo

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Prof. Mohamed Janabi akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Arusha Lutheran Medical Centre (ALMC) kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Moyo Duniani tarehe 29/09/2022. Katika kuadhimisha siku hiyo wataalamu wa JKCI kwa...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ladha ya chumvi mdomoni

    Nawasalimu kwa ujumla wenu. Kama heading inavyojieleza, nlikuwa naomba kwa wale wanaojua chanzo cha tatizo na tiba yake. Nina wiki moja hapa mdomoni kuna ladha ya chumvi, nilijaribu kwenda hosptali ila sioni msaada kwa tiba nliyotumia.
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kuongeza chumvi kwenye chakula kilichopikwa tayari hupunguza miaka ya kuishi

    Utafiti uliohusisha Waingereza wapatao 500,000 umebaini kuongeza chumvi kwenye chakula kilicho mezani (Chakula kilichopikwa tayari) kunahusishwa na kifo cha mapema. Watafiti wamegundua kuwa kuongeza chumvi kila wakati kwenye chakula hupunguza zaidi ya miaka miwili ya kuishi kwa Wanaume na mwaka...
  11. hamis77

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yapambana na Covid kwa maji ya chumvi na tangawizi

    Korea Kaskazini inapambana kupunguza maambukizi ya Covid kwa raia wake ambao idadi kubwa hawajachanjwa, bila utumiaji wa dawa bora za kukinga virusi. Mwanzoni mwa 2020, nchi ilifunga mipaka yake kujaribu kujikinga na janga hili. Uongozi wake hadi sasa umekataa msaada wa matibabu kutoka nje...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mliokula chumvi tusaidieni haya mambo sisi vijana

    Haya mambo tumekuwa tukiyasikia lakini hatujui undani wake 1. Kundi la G5 liliundwa na kina nani na sasa liko wapi? Lengo lake lilikuwa ni nini? 2. Mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani alikamata nini uwanja wa ndege? Nini kilitokea? 3. Mayunga alipomfuata Nyerere ikulu kudai ongezeko la...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa chumvi enzi za Dola ya Warumi

    Chumvi ilikuwa na thamani kubwa sana katika utawala wa Warumi. Hakukua na umeme hivyo chumvi ilitumika kuhifadhia vyakula kama nyama na samaki. Kwa watu wa Pwani mnafahamu papa na ng’onda huu ni mfano wa vyakula vilivyo hifadhiwa na vilidumu kwa muda mrefu. Chumvi iliitwa dhahabu nyeupe na...
  14. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Hii chumvi huko inatokea wapi au ni kwa nini ipo? Nimeshtuka sana. Sikuelewa.

    Nliambiwa na mtu niingie chumvini. Sikumwelewa "mashokoro mageni" nikawa tu naendelea na mambo yangu akanishika kichwa na kukielekeza huko ...sikuelewa. akanambia lamba chumvini Hapo akanikata stimu kabisa...nikajiuliza hawa wadada watakuja kupata kansa kwa nini anaweka chumvi huko akitaka...
  15. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Nauza chumvi ya Mawe: IGOMA-MWANZA

    Karibuni sana. hio ni chumvi ya mawe/mabonge uzito ni 50kgs kuna mifuko zaidi ya 500. ipo Igoma, mtaa wa Kilimo A jijini Mwanza. bei: 25,000 Tshs. Wengine wanauza elfu 30 mpaka 28,000 Tuwasiliane 0713096076
  16. K

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kupambana na ukungu na chumvi kwenye ukuta inaitwaje?

    Wadau, Nyumba nyingi zinathriwa na kuta kubanduka sbb ya chumvi na fungus. Nasigia kunadawa ya kupaka kabla ya kupiga rangi. Je, ni dawa ipi hiyo? Je, mikoani kama inapatikana? Tupeane ushauri.
  17. KENZY

    JamiiForums Tanzania Evelyn wa chumvi...

    Ilikuwa ni weekend tulivu na yenye kibaridi chepesi nilichoamua nikichangamshe kwa kurukia maeneo ya starehe!. Hakuna starehe niliyoipenda Kama ya kunywa!,naam kunywa kile kimiminika chenye rangi ya dhahabu ambacho hubadilisha akili kuwa katika uchangamfu. Ilikuwa ni mida ya saa mbili usiku...
  18. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania CCM msiongeze chumvi kwenye sifa za Rais Samia

    Ni kweli anafanya kazi nzuri hadi sasa licha ya ukweli kwamba bado hatujafika tunapopataka. Lakini jamani hizo sifa mnazompa Rais Samia zisitiwe chumvi, msivuke kiasi cha kujifanya kama hii nchi haina tatizo hata moja. Tumpongeze anapofanya vizuri, tumkumbushe ambapo hapajakamilika, tupinge...
  19. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini barabara ya maji chumvi (Jeshini - Tabata Kimanga) haipigwi lami pamoja ya kuwa na umuhimu kupindukia?

    Tumeshuhudia vichochoro vingi huko Sinza na Kinondoni vikipigwa lami mwanzo mwisho, tena havina umuhimu wowote, maana vingi ni dead ends zinazoishia kwenye mageti ya watu. Sasa najiuliza, iweje barabara muhimu kama ile ya maji chumvi kuelekea Kimanga inayotumiwa na malaki ya raia wa T/Kimanga...
  20. konda msafi

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kwa wale wanaoteseka na maji ya chumvi pata machine ya kuchujia maji chumvi kuwa maji baridi

    Samaritan Water Solution LTD ni suluhisho la tatizo la maji chumvi. Tunatengeneza machine bora kabisa za kuchujia maji chumvi na kuwa maji baridi zaidi hata ya maji ya DAWASA. Kutumia maji chumvi kuna hasara nyingi. Watu wengi hata hizi rangi za ngozi tulizo nazo hudhani ni ngozi yetu kumbe ni...
Back
Top Bottom