chumba

Chumba is a traditional form of music and dance performed by the Garifuna people in several Central American countries. Like punta (another type of Garifuna music), chumba songs are highly polyrhythmic, but have a slower tempo.The chumba dance is a solo dance performed by a woman, often exhibiting a large degree of individual style.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Vihoja Chumba cha mtihani

    Chumba cha mtihani ni mahala ambapo pameja vihoja vingi sana hasa kwa level kuanzia Darasa la 4 hadi elimu ya juu hata Masters! Katika uzi huu naomba tukumbushane vihoja ambavyo tumekutana navyo kwenye chumba cha mtihani. Mimi nakumbuka tukiwa undergaruate mama mmoja aliambiwa anyanyuke lile...
  2. JamiiForums Tanzania Funguka, Weka hapa mkasa wako uliojutia kumuazima rafiki yako chumba / geto lako, Mimi yalinikuta haya, wewe je?

    Kwakweli hiki kitu kiliniuma sana, nilimuazma geto rafik yangu ili AZAGAMUE, nyie acheni tu, nilijifunza kuanzia siku iyo mpaka leo chumba changu ni Madhahu, Takatifu siwezi kuazima mtu. Niliwahi kumuazima rafiki Geto, saa 12 jioni alinirudishia funguo mwenyewe, narudi saa mbili geto namkuta...
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta chumba master Kinondoni b au studio au Sinza

    Habari Wana jamii natafuta chumba maeneo ya Kinondoni kiwe self contained 100k kwa mwezi Hit me up
  4. JamiiForums Tanzania Gharama ya kujenga Chumba sebule

    Wakuu, Naombeni msaada, hivi kujenga Nyumba ya chumba kimoja, sebule na jiko, inaweza tumia kiasi gani? Nipo Dar mimi, kiwanja tayari kipo.
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga Maeneo ya Banana, Buza, Kinyerezi, Segerea na karibu yake

    Hello wadau' Natafuta chumba Cha kupanga Maeneo Kama title hapo. Kama una namba za madali Maeneo hayo naomba unisaide. Natafuta master room Tiles, gypsum all that Maji umeme usiwe shida na iwe karibu na Barbara Kusiwe na msongamano wa wapangaji wengi. Bajeti: kisizidi laki
  6. K

    JamiiForums Tanzania Chumba master, jiko ndani Kigamboni, Magogoni [New] 💥

    Kigamboni magogoni, pc Chumba kimoja 1 master na jiko ndani Maji bure Kodi 180,000 kodi ya mwezi Miezi (6) Mita 15 barabara kubwa Vyumba vyote ni vipya. Piga 0712347749
  7. M

    JamiiForums Tanzania Chumba cha kupanga kinaitajika Namanga (Kinondoni)

    Wadau salaam, Natafuta nyumba/chumba ya kupanga maeneo ya Namanga, Ada Estate na maeneo ya karibu na hapo. Nahitaji nyumba ndogo hasa chumba/master room (self-contained) yenye jiko. Naomba niinbox kama unayo au unataarifa.
  8. JamiiForums Tanzania Naombeni Ramani ya Master, sebule, chumba self, jiko, study room

    Naombeni ramani simple nzuri ya kisasa. Roof ya kawaida ya bati (sivutiwi na contemporary roof). *Master room *Sebule/sitting room (kubwa) *Self bedroom *Jiko *Study room N.B: Ni kwaajili ya bachelor life. So public toilet itakuwa nje.
  9. JamiiForums Tanzania House4Rent Natafuta Chumba cha kupanga Bunju au Mapinga

    Habari zenu Natafuta room ya kupanga maeneo ya bunju karibu na stendi au mapinga karibu na shule ya baobab Mwenye kufahamu naomba anisaidie au aniunganishe na dalal wa maeneo hayo asanteni
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta chumba Cha kupanga

    Natafuta chumba Cha kupanga maeneo ya boko basihaya, chasimba, tegeta dawasco na maeneo ya karibu na hapo. Nataka Cha 40k au 50k
  11. JamiiForums Tanzania Gharama Za ujenzi vyumba vya kupangisha, chumba kimoja

    Habari jamani, naombeni kujua gharama au makadirio ya ujenzi chumba kimoya choo na kijiko cha mchongo. Kiwanja nnacho kipo Kibaha, Pwani. Maji yapo karibu. Mfano wa ramani ni kama unavoiona hapo chini.
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga kinondoni, wiki mbili

    Wadau natafuta chumba cha kupanga kwa wiki mbili maeneo ya kinondoni. Mi ntakua dar kikazi Tar 27 March - 08 April, hivyo chumba kiwe furnished. Maeneo ya kinondoni, au karibu na town. Whatsapp +48519634862
  13. JamiiForums Tanzania Uliwahi kuishi chumba, hostel au nyumba moja na room mate ambae si muungwana, weka kisa chako hapa

    Oh my God, mbwa anaingia na kutoka nyumba tunayoishi, room mate kamleta mbwa mdogo wa kucheza nae, shughuli si ndogo hii!! kuna muda tulienda kikazi mkoa x kwa miezi mitatu, niliishi na jamaa anapenda sana mbwa, siku ya pili kaleta ki puppy kimbwa kidogo anakijali kama mtoto wake vile, kucheza...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wanajisahau sana. Hawajui uswazi ni kawaida watoto kulala chumba kimoja na wazazi sababu ya ugumu wa maisha

    Mshahara wa mhindi sh 150,000 halafu chumba elfu 35 utaweza kupangisha vyumba viwili? Acheni porojo
  15. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samizi aendelea na ziara Jimboni, achangia ujenzi wa vyoo, chumba cha kujifungulia kinamama n.k

    DKT. SAMIZI AENDELEA NA ZIARA JIMBONI, ACHANGIA UJENZI WA VYOO, CHUMBA CHA KUJIFUNGULIA KINAMAMA N.K. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Florence George Samizi ameendelea na ziara yake ya kutembelea miradi mbalimbali Jimboni na kuchangia fedha ujenzi huku akisikiliza kero za...
  16. JamiiForums Tanzania Je, wewe unapangilia vipi chumba chako cha kulala?

    Halo JF nipo jukwaa hili. Hivi chumbani unapolala huwa una vitu gani na gani? Vipi mpangilio wako wa vitu. Huwa unakumbuka kupangilia au ndiyo mambo mengi siku moja moja unadeki 😅😅😅 ninacheka maana wanaume wengi wachafu sana yaani chumba cha kulala kama danguro la wahindi, au karakana za...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga Mwenge - Makumbusho

    Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Mwenge au Makumbusho. Bei 40 to 60k kwa dalali naomba tuwasiliane tafadhali.
  18. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani mtu mzima (Mwanaume) anaweza ingia katika chumba Cha Makahaba na jinsi kilivyo kichafu na kidogo?

    Nipo Tandika hapa , nawaona wadada wale wa kutoka mkoa x wakiwa wamekaa kwa vigoda huku wakiwasubiria wateja . Je wanaume wanaingiaje katika mazingira machafu na harufu kali . Nilichogundua sisi watawa tupo sahihi kukaa mbali na Uzinzi (ngono) maana ni zaidi Uchafu wenyewe
  19. JamiiForums Tanzania Kwa mliowahi kupanga chumba, ushawahi kunatana na mpangaji mwenza mwenye kiburi?

    Harakati za hela ya umeme nyumba za kupanga zenye kushare Luku. Few years ago, nilipanga chumba, wapangaji tulikua wawili na mtoto wa mwenye nyumba, kwakua mtoto wa mwenye nyumba alikua anatatizo la akili, tulimtoa katika kuchangia umeme, pia hakua na matumizi makubwa. Mwanzoni mambo yakawa...
  20. JamiiForums Tanzania Dodoma: Tunauza Viwanja na kutafuta wapangaji wa nyumba

    Inatokea unataka kuja DODOMA kusoma, kuishi au hata kikazi, nakusihi uwasiliane namimi endapo mahitaji yako ni chumba cha kuishi, nyumba au hata appartment. Mpangaji huweza kulipia mara baada ya kuona chumba Kama ni mhitaji wa chumba,nyumba kama ni mhitaji wa nyumba. Mpangaji hutoa chaguo lake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…