Gharama Za ujenzi vyumba vya kupangisha, chumba kimoja

superkumonga

New Member
Aug 5, 2022
1
23
Habari jamani, naombeni kujua gharama au makadirio ya ujenzi chumba kimoya choo na kijiko cha mchongo.
Kiwanja nnacho kipo Kibaha, Pwani.

Maji yapo karibu.

Mfano wa ramani ni kama unavoiona hapo chini.

09961CD0-F2D7-443E-AF74-DE34291B67B7.jpeg
 
Habari jamani, naombeni kujua gharama au makadirio ya ujenzi chumba kimoya choo na kijiko cha mchongo.
Kiwanja nnacho kipo Kibaha, Pwani.

Maji yapo karibu.

Mfano wa ramani ni kama unavoiona hapo chini.

View attachment 2570140
Nadhani inategemea finish unayotaka kuiweka kama unataka paa la kisasa, madirisha ya vioo, ceiling ya gypsum na floor ya tiles inaweza kuwa zaidi ya 3m
 
Gharama yangu ya kujenga chumba kimoja 'tu' hua ni 300,000/=. Nipo hapa Kibaha, Kama itakupendeza nicheki.
Lkn unahitaji ushauri pia, kwanini ujenge kimoja?
 
Kwa Mbeya mbona ametumia gharama sana.
gharam wapi , mzee tofali za kuchoma 2000, mawe trip tatu, mbao 60, mchanga trip moja, bati 36, ufundi , hapo mwanzo , finishing sasa mchanga trip 2, blandering, wiring, mfumo wa maji, gypsum board , milango miwil, frame za milango, dirisha , gril mbili, rangi, tiles hapo ni shiling ngapi
 
Back
Top Bottom