chuma

Chukwuma Julian "Chuma" Okeke (born August 18, 1998) is an American professional basketball player for the Lakeland Magic of the NBA G League. A power forward, he was drafted 16th overall by the Orlando Magic in the 2019 NBA draft. He played college basketball for the Auburn Tigers.

View More On Wikipedia.org
  1. V

    JamiiForums Natafuta kazi, nimesoma Bachelor of Finance na uzoefu mwingi

    Hello wanaforum naitwa richard nimegraduate degree ya finance university of dsm natafuta nafasi ya kazi ya kujitolea kwenye kampuni yoyote nipate uzoefu Napatikana Dar Es Salaam Tanzania namba zangu 0657710078
  2. S

    JamiiForums John Fisso na Makika Kasuga hawa ndio walioliua Shirika la Chuma la Taifa

    Awali ya yote kwanza nilipongeze Gazeti la Mwananchi kwa kazi nzuri sana juu ya uchunguzi wa kina katika kujua chanzo cha kifo cha Shirika la Chuma nchini , binafsi nimesoma matoleo yote mawili yaani toleo la Jumatano , Januari 27 na toleo la pili Januari 28 , 2021. Shirika la Chuma...
  3. kavulata

    JamiiForums Mapinduzi makubwa duniani yameletwa na matumizi ya zana za madini ya chuma, ni heri uache vyote ili uchimbe chuma kama unayo

    Chuma ndio madini mama duniani, mapinduzi makubwa duniani yameletwa na matumizi ya zana za madini ya chuma, ni heri uache vyote ili uchimbe chuma kama unayo. Tena huna haja ya kutafuta mwekezaji kwenye madini ya chuma chimba mwenyewe. Taifa lengo malengo litachimba chuma kwanza hata kabla ya...
  4. Red Giant

    JamiiForums Nchi inaweza kuwa ya viwanda bila kuwa na chuma?

    Baada ya vita ya Korea, Korea kaskazini ikaanza kuhangaika kujenga uchumi wake. Ikagundua kuwa ili iwe na uchumi imara inahitaji viwanda. Ikagundua pia, kuwa viwanda haviwezekani bila kuwa na chuma. Ikasema ngoja iende Japan ikanunue kinu cha kufulia chuma. Marekani aliposikia habari hiyo...
  5. MAMESHO

    JamiiForums INAUZWA Vyuma vya turubai futi 20 kwa 20

    Habari za leo. Nina chuma za Turubai. Futi 20 kwa 20. Bei yake halisi ni 1.2M Bei ninayouza ni sh laki nane. Napatikana Pugu kona. -SOLD-
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Rais Magufuli: Nataka nimwambie Mheshimiwa Kassim, kazi ya uwaziri mkuu haina 'guarantee'

    Baada ya kumteua kisha kuthibitishwa na Bunge mwishoni mwa wiki, leo asubuhi Rais John Magufuli atamwapisha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa ataapishwa ili kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa kipindi cha pili ikiwa ni siku tatu baada ya Bunge kumthibitisha. Mkurugenzi Msaidizi wa Idara...
  7. J

    JamiiForums Jifunze kuhusu umuhimu na athari za upungufu wa madini chuma kwa Watoto

    UPUNGUFU WA MADINI YA CHUMA KWA MTOTO Madini ya chuma yaliyopo kwenye maziwa ya Mama hunyonywa vizuri zaidi yale kwenye vyanzo vingine. Vitamin C na kiasi kikubwa cha lactose kwenye maziwa mama husaidia kunyonywa kwa madini ya chuma kwa urahisi sana. Watoto wanaonyonya maziwa ya mama...
  8. mugah di matheo

    JamiiForums Queen Sendiga ni Mwanamke chuma anajielewa na ni mpinzani wa kweli ila ADC ni koti chakavu

    Huyu mama nimepata bahati ya kusikiliza Sera zake nikaona ni mtu makini na mwenye future katika siasa za Tanzania ila tatizo chama anachotoka cha ADC ya Hamad rashid kimekaaa kiunafiki unafiki. Tofauti na viongozi wake wa huko visiwani ambapo adui yao mkubwa ni maalimu lakini mama Queen yeye...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Hivi ni lazima tu ukiwa Kikosi cha Ulinzi cha Marais (Viongozi) duniani uwe pia ni 'Baunsa' hasa kimuonekano?

    Kuna Walinzi wa Marais (Viongozi) fulani duniani kwa mfano wale wa Vladmir Putin wa Urusi, Paul Kagame wa Rwanda na hata Walinzi wa Papa Fransisco ambao 'nimedokezwa' na 'Wabobezi' wa haya 'Masuala' kuwa ndiyo wako 'imara' mno ila kinachonishangaza wana Miili ya 'Kawaida' sana na si ya...
  10. Mwanamwana

    JamiiForums Chuma Magufuli akitafuna muhindi wa kuchoma

  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums GE2020 Magufuli kama angesimama na mtu mwingine kwenye kura za maoni asingeshinda kama ilivyokuwa kwa Makonda

    Huu Uzi hauna kejeli, matusi wala dhihaka. Huu uzi umebeba ukweli mchungu (a bitter truth) ambao wengi hawaupendi. Kama Magufuli angesimamishwa na MwanaCCM yeyote imara kuwania tiketi ya kupeperusha bendera ya CCM 2020 katika ngazi ya Urais asingeshinda. Mioyoni mwa wanaCCM kuna siri na ajenda...
  12. E

    JamiiForums Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

    Nianze kwa kusema mimi ni kijana wa miaka 35 sasa, nimeoa mwaka wa 6 huu, na nina watoto wawili, ila ujumbe wangu wa leo vijana mnapoamua kuoa muwe mmemaanisha hawa wake zetu unahitaji akili ya ziada kuishi nao wengi wana upeo wa chini sana na wasahaulifu kupitiliza. Hivyo kijana usipokuwa...
Back
Top Bottom