chuki

This is a list of characters from the Pixar franchise Cars, as well as the Disney franchise Planes, which is set in the same fictional universe:

the 2006 film Cars
the 2011 film Cars 2
the 2017 film Cars 3
the 2013 film Planes
the 2014 film Planes: Fire & Rescue

View More On Wikipedia.org
  1. Fohadi

    JamiiForums Tanzania Nilibahatika sikupitia njia hii ila najua ni njia inayowaumiza sana watoto kisaikolojia na kuwaacha na chuki kwa wazazi

    Kuna mambo yanafanyika ila athari zake huja huonekana baada ya muda mrefu sana..Ukifatilia asilimia kubwa watoto wanakuwa na migogoro na baba zao kuliko mama zao. Yaani ukisikia mtoto ana bifu na mzazi mmoja au amemtelekeza, basi asilimia 99% ya mzazi aliyetelekezwa anakuwa ni Baba. Moja kwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Imani inayoongozwa na mapenzi au chuki hupofusha

    Kuna baadhi ya Watanzania wenzetu imani yao kwa viongozi wetu wa nchi inatawaliwa zaidi na mapenzi yao au chuki yao kuliko uhalisia. Mtu akishampenda kiongozi fulani kwasababu zake binafsi, basi kiongozi huyo hata akiwa anaboronga katika utendaji wake wa kazi, yeye ataona yuko sawa, hata akiwa...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Elimu ya bure kwa wale 'Washamba' tu na wenye 'Chuki' na Goli 'halali' kabisa la Simba SC dhidi ya Azam FC huko Songea katika ( ASFC ) leo

    Nianze Kwanza kwa Kumshukuru Mchambuzi 'mahiri' wa Mpira kutoka Clouds FM Kipindi chao cha Michezo cha Sports Extra Farahani (Farhan) Kihamu kwa Ufafanuzi wake ulioenda Shule (Kidato) Na nikiri kuwa 100% ya kile nitakachokiandika hapa nimekitoa Kwake Mchambuzi huyu Farahani Kihamu na siyo...
  4. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu kufurahia mapenzi ikiwa una hofu au visasi vya kuumizwa

    Ndugu zangu! Tujilazimishe tu kusamehe na kuachilia. Sio kitu rahisi, lakini faida zake ni kwa maslahi ya kesho yako. Kwenye mapenzi unakutana na mtu ambaye humjui, unajifariji eti utamfahamu kupitia maelezo yake! Hii ni kujitekenya pakubwa. Wengi wana yao mioyoni na hutoweza kuyajua, wenye...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Sina chuki nao, ila mishahara ya wabunge ni 'too much'

    Huo ndio ukweli mishahara ya au mshahara wa mbunge na mapochopocho wanayokwapua au kulipwa ni mishahara hatarishi kwa Taifa letu ambalo linajikongoja. Ajira ya ubunge sasa imekuwa ni ya kufa na kupona. Hivi kazi hii kweli mmeifuatilia na kipimo cha mtu anachokwapua, wengi huwa wanachomekea tu...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Kauli za Chuki za Mbunge Tarimba Abbas (CCM) dhidi ya Simba SC na TFF naiomba Simba SC iachane rasmi na SpotiPesa yake

    "TFF ni Simba SC na Simba SC ni TFF na tumeshaona jinsi Simba SC inavyobebwa na TFF kiasi cha wengine Kuchoshwa na Upuuzi huu ", Mbunge wa Kinondoni Tarimba Abbas Tarimba. Chanzo: Sports Court Wasafi FM leo. Simba SC nadhani tumeshauvumilia huu unafiki uliopitiliza wa Mbunge wa Kinondoni...
  7. future lawyer

    JamiiForums Tanzania Kwanini wasio na elimu wanawachukia wenye elimu?

    Habari za siku wanajamvi, Natumai nyote wazima wa afya. Niende moja kwa moja kwenye mada. Kumekuwa na chuki inayosambaa kwa spidi ya 5G baina ya tabaka lenye elimu "waliosoma" na tabaka wasio na elimu "darasa la 7 " . Kwenye haya matabaka kila moja linajinasibu kuwa bora kuliko lenzie katika...
  8. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania CCM tulifanya kosa kubwa sana 2015, tusirudie tena. Chuki iliyopo ni kubwa sana

    Kuna mambo ambayo wana CCM wenzangu hawataki kabisa kuyasoma wakiogopa pengine kwa kudhani kuwa yatakigawa chama ima yatachochea chuki baina yetu. Waswahili wanasema, unafuga chatu mwisho wa siku anakugeukia na kukumeza wewe. Huu ni usemi ambao ni kielelezo tosha cha ukweli na uhalisia kwetu...
  9. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Wanaharakati kuonesha chuki dhidi ya Diamond ni ukosefu wa ajenda

    CHADEMA NA WANAHARAKATI KUONYESHA CHUKI DHIDI YA DIAMOND NI UKOSEFU WA AGENDA Natumaini mko wazima. Kwa wiki hii mitandaoni kumetokea vituko vya wanaharakati pamoja na baadhi ya viongozi wa CHADEMA kuongoza kampeni ya kuhakikisha mwanamuziki komredi Diamond Platnumz hashindi kwenye tuzo za BET...
  10. JF Member

    JamiiForums Tanzania Baada ya kifo cha Magufuli, Wapinzani walituaminisha chuki zitaisha kumbe bado?

    Kuna msemo unaosema, asifuye mvua imemnyea. Wakati wa Hayati Dkt. Magufuli, CHADEMA walikuwa na propaganda kali sana kwamba Magufuli ameshindwa kuleta umoja kwa taifa. Kwa vile Mara nyingi wanalalamika kwenye mitandao mambo yao yakaenda hadi nje ya nchi. Kuna wengine hadi wakaomba uhamisho kwa...
  11. Darucha

    JamiiForums Tanzania Wanyaturu wamemkosea nini huyu DJ anayetafsiri filamu na series za nje? Haoni kama anatengeneza chuki ya ukabila?

    Huyu DJ mtafsiri wa movies na series za nje anawaponda sana Wanyaturu sijui wamemkosea Nini kwa kweli anaudhi sana huyu. Kila kitu yeye ni Wanyaturu, Wanyaturu mpaka Kero yaaani. Wanyaturu kamshtakini huyu kwa kuwafanya muonekane watu wa Karne ya 20. Hizi ni baadhi ya kauli zake anazozitoa...
  12. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kunyimwa uanachama wa FIFA na CAF ni chuki kisiasa au kukosa vigezo?

    Zanzibar sio jimbo la Tanzania ila ni nchi iliyopo kwenye muungano, natamani sana siku moja nione ikicheza kimataifa na hakika watafika mbali. Kwanini haya mashirikisho ya kimataifa yanawanyima uanachama? Hawana vigezo vya kuwa mwanachama au kwa sababu wapo kwenye muungano na Tanzania bara...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Tuache chuki binafsi, RC Chalamila anafaa

    Huyu ukiacha tukio lake la kuchapa viboko (tena watoto wa shule) hamna sehemu record ya matukio yake ni njema tu kwa kuwa hakuwa mtu wa visa visa. Yeye anamaliza hapo hapo halafu kwa hekima zenye utani ndani yake. Roho yake ilikuwa ni nzuri tu na alizicheza vema siasa za mkoa huo. Huyu mimi...
  14. Billion Dolar

    JamiiForums Tanzania Nimemchukia mke wangu

    Habarini wanajamvi, kama tittle inavojieleza, sina amani ndani ya ndoa kwa muda mrefu sasa najikuta nina stress hadi afya imeanza kuzorota. Nipo kwenye ndoa mwaka wa 10 sasa, nilifurahia mapenzi ya mke kwa miaka 2 tu ya kwanza ya ndoa. Wakati namwoa mke wangu alikuja na mtoto ambaye alidai ni...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Uhalifu wa chuki za kisiasa waongezeka Nchini Ujerumani

    Takwimu rasmi kuhusu uhalifu unaotokana na siasa nchini Ujerumani zinaonesha kuwa ghasia na uhalifu wa kibaguzi vimeongezeka nchini humu. Waziri wa Mambo ya ndani wa Ujerumani. Horst Seehofer leo amewasilisha takwimu za uhalifu uliotokana na siasa uliofanyika mwaka 2020. Seehofer ameelezea...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Utashi wangu binafsi, baada ya kuona Chuki zinazidi Kwake na Wahusika wamenyamaza namuombea Msamaha Hayati Rais Magufuli kwa Mapungufu yake

    Kama Binadamu (Mwanadamu) tulivyo Mimi na Wewe hatujakamilika kama walivyo Watakatifu na Malaika wa Mbinguni. Tokea Kifo chake GENTAMYCINE nimekuwa nikiona Lawama nyingi Kwake (Hayati Rais Dkt. Magufuli) kutokea humu Mitandaoni na hata katika Vichochoro (Vijiwe) ambavyo huwa najivinjari navyo...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Marefa wa Tanzania na Wasaidizi wenu mpaka siku mkifa kwa kupigwa vibaya Viwanjani ndiyo mtajua kuchezesha Soka kwa Haki na siyo Chuki na Maagizo

    Hivi sheria gani ya Soka ambayo FIFA pia wanaitambua isemayo Kona ikiwa inapigwa huku Mabeki Wawili wakiwa katika Milingoti halafu Mchezaji wa Timu Pinzani akatokea mbali na Kuruka hadi Kufunga zuri ni Kuotea? TFF, Bodi ya Ligi na Chama cha Waamuzi nchini Tanzania endeleeni tu Kuulea huu Upuuzi...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Spika usiruhusu wabunge waongo waongo kuchochea chuki, Mbowe alisema biashara zake zimefungwa na TRA

    Natoa tu ushauri kwa kiti cha Spika kwamba siyo vema wala haki kuruhusu wabunge kuchochea chuki na fitna kwa jamii tena kwa watu ambao hawako bungeni. Nilivyomsikia Mbowe ni kwamba biashara zake zimefungwa na TRA baada ya kushindwa kulipa kodi ya tsh 2 bilioni ambayo anaipinga. Mbowe aliongea...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiyo Mtangazaji Maulid Kitenge wa Wasafi FM mwenye Chuki, Unafiki na Uzandiki dhidi ya Klabu ya Simba na Mafanikio yake

    Wakati Watangazaji wenzake Wanaojitambua, wenye Elimu Kubwa kwa Fani aliyopo na waliomzidi Akili wakipongeza 'Merchandise and Events Deal' ya Kampuni ya VUNJA BEI na Simba SC Mtangazaji wa Wasafi FM Maulid Kitenge (Mwana Yanga SC lia lia) kaja na 'Majungu' yake yale yale. "Kwanini Simba SC...
  20. Mdaiwa-Sugu

    JamiiForums Tanzania Hawa ni Viongozi waliotumbuliwa na hayati Magufuli kimakosa kwa sababu za kisiasa au chuki binafsi

    1. Dr. Nyambura Moremi Alikuwa ndiye mkurugenzi wa maabara ya taifa na fya ya jamii. Alitumbuliwa kipindi janga la corona limepamba moto kwa kisingizio kwamba alipima sampuli ya ndege aina ya kware, mbuzi na mapapai vikakutwa na virusi vya corona. Kimsingi, Dr Nyambura hakuwa na kosa bali...
Back
Top Bottom