chuki

This is a list of characters from the Pixar franchise Cars, as well as the Disney franchise Planes, which is set in the same fictional universe:

the 2006 film Cars
the 2011 film Cars 2
the 2017 film Cars 3
the 2013 film Planes
the 2014 film Planes: Fire & Rescue

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hata mkisusia Mialiko ya Hafla zetu kwa Chuki, Wakatoliki kupitia TEC msimamo Wetu kuhusu 'Wanyonyaji' DP World haujabadilika na hautabadilika Abadan

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 3,2023 amemuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye hafla ya kusimikwa na kuwekwa wakfu kwa Mhashamu Askofu Thomas John Kiangio Kanisa Kuu la Mtakatifu Antony wa Padua, Chumbageni Mkoani Tanga. Chanzo: owm_tz Na Ibada ya Jumapili ijayo katika moja...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Chuki dhidi ya January Makamba inatoka wapi?

    January Makamba, mtoto wa Katibu Mkuu mstaafu wa CCM amekuwa akiandamwa katika mitandao mingi ya kijamii na kujaribu kuaminisha umma ya kuwa ni mtu hafai katika uongozi. Binafsi Makamba nilimuona wakati wa utawala wa Kikwete akiwa ni mmoja wapo wa wasaidizi wa Rais Kikwete. Mwenye ushahidi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Uchambuzi Yakinifu: Bila chuki wala kuweka utaifa mbele Khaligraph jones katisha sana

    1 kamwambia ukweli Young killer _ saivi yupo busy na mapenzi kuliko mziki (kuna time nilidhan Bongo hip hop ataiokoa) 2 Wakazi anaongea sana mitandaoni(apewe kaz wasafi media) 3 Nikki Mbishi (apa naisi kikosi kazi wote) __(wanafanya mziki mzuri lakini nidhamu ni kitu cha muimu ili msanii afike...
  4. JamiiForums Tanzania Akina mama ndio chanzo Cha laana kwa watoto! Wanapandikiza chuki watoto wawachukie baba zao !

    Laana inaweza kuonekana dhahiri au ikaonekana kwa kuyatafsiri maisha halisi ya mtu ! Kila nilipokuwa narejea nyumbani nilimpa kipaumbele mama kuliko baba! ,Na mama aliutumia udhaifu wangu kunisimulia Kila jambo baya la baba ili niendelee kumchukia baba! Mama alikuwa ana wezq kunisimulia matusi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ombea Taifa dhidi ya Roho ya uadui na chuki za kidini iliyojidhirisha kupitia issue ya bandari

    Siyo kweli kwamba uwekezaji hauna faida au hasara Kwa mstakabali wa Taifa. Lakini hoja ya bandari imefunua mioyo ya wengi na kuonesha hatari iliyoko katika nchi yetu. Tanzania hatutakuja kupigana vita ya wenyewe eti Kwa sababu ya kisiasa. Ccm Ina nguvu sana kuweza kutawala hata miaka hamsini...
  6. JamiiForums Tanzania CCM endeleeni kupandikiza chuki, kaeni tayari kuvuna matunda yake pia

    CCM wanchokifanya najua hata wao kuna muda wanajistukia sasa upandacho ndicho utakachovuna. Watanzania wa sasa siyo wa mwaka 70. Siasa za CCM ni za kishamba sana. Kwa kuwa watanganyika washajua mbinu zenu zote za uovu basi njiandae kwa lolote huku mtaani kila mtu kanuna mikoani ndo balaa zaidi...
  7. JamiiForums Tanzania Sheria hazina maana Kwa asiyenacho: Ijapokua ni afadhali ziwepo kwani zinawalinda wasionacho dhidi ya wasionacho!

    Members, Sheria zinawalinda wenye nguvu tu. Yaani nguvu hapa namanisha pesa/madaraka/umaarufu(fame) Mwenye nguvu akiua Kwa makusudi kesi yake itageuzwa geuzwa kuwa "kuua bila kukusudia" na jela haendi aue kabwela akaozee jela! Mwenye nguvu anaweza fanya chochote na jamii ikamuunga mkono...
  8. JamiiForums Tanzania Mbona wanawake wa Marekani wapo very happy 24/7 to compare na hawa wa huku Tanzania?

    Nilikuwa YouTube Muda huu naangalia video za Jack wa USA this guy anaweka content za wanawake wa Marekani most of them wapo happy kwanza wazuri wakipewa salamu wanaitikia kwa bashasha kubwa Sana. Njmegundua huku Tanzania umasikini wa uchumi umewafanya mademu kuwa watu wa hovyo Sana Hawana raha...
  9. JamiiForums Tanzania Tuliopitia Vita Na Chuki Makazini Tushirikishane Hapa

    Habari za muda huu Haya yalinikuta kwenye kazi yangu ya kwanza nilipokuwa bado sijafunzwa na Ulimwengu 1. Chuki ya kwanza nilijisababishia mwenyewe baada ya kutongoza wafanyakazi watatu kwa nyakati tofauti wote walichomoa na kumbe walihadithiana ndipo nikaanza kupitia sarakasi na vitimbi hadi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz ameiweka serikali ya Tanzania mfukoni? Kwanini hakemewi kwa kuleta nadharia ya chuki na kudharau hadharani mhimili muhimu wa nchi?

    Kwa nafasi yake katika jamii kama kiongozi mwandamizi mstaafu wa CCM na pia mfanyabiashara mkubwa mwenye ushawishi bila shaka Rostam Aziz anatakiwa awe makini sana na kauli zake kwenye public kwa sababu tulio wengi tunayapa uzito unaostahili maneno yoyote atakayosema. Kwenye mkutano wa kujadili...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Waafrika wana chuki na matajiri?

    Nimekuwa nikifuatilia habari za kupotea kwa submarine inayomilikiwa na OceanGate iliyokuwa ikifanya safari yake katikati mwa bahari ya Atlantic kuelekea chini kabisa kwenye kina kirefu kutazama mabaki ya Meli ya Titanic iliyozama 1912 ila kinachonishangaza ni kuona muendelezo wa chuki binafsi za...
  12. JamiiForums Tanzania Wana-CCM kuuchukia upinzani mnafanya makosa, mtakosa kujifunza na kujirekebisha

    Kumchukia mtu anayekukosoa ili ujirekebishe huo ni ujinga tu. Kitendo kinachofanywa na wana CCM kuwabeza wapinzani pale wanapokosolewa ni kuendekeza ujinga tu. Leo hii bungeni kumejaa misemo ya ubaguzi eti oooo Mbowe ametamka maneno ya kibaguzi. Wacheni hizo ngonjera mbakie kwenye jambo la...
  13. JamiiForums Tanzania Hitimisho langu. Ni ishara nzuri ya kuongezeka kwa confidence kwa Wawekezaji ila kwetu tuzidi kupambana na ujinga na chuki hawa ni maadui wakubwa sana

    Hongera Bunge kwa kuridhia makubaliano ya Ushirikiano baina ya nchi yetu na Falme ya Dubai! Kwa michango ya leo hili litaongeza sana confidence kwa wawekezaji wakubwa na kuleta uwekezaji mkubwa zaidi nchini mwetu. Ila kwa sisi tuliobaki tuzidi sana kupambana na adui ujinga na chuki. Nimegundua...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Jemedari Said ni aina ya watu wenye chuki na wivu mbaya

    Leo ndio nimeona sura dhahiri ya Jemedari Said ni mtu mwenye wivu na roho yenye chuki kali sana kwa watu anaohisi wana utofauti na mitazamo yake. Hii imetokea leo muda wote alikua kimya hata pale yaliposemwa maneno ya hekima na yanayohitaji kuungwa mkono yeye alichagua kuchuna. Ila kwenye...
  15. JamiiForums Tanzania Mume wangu alizaa nje: Nimekuwa na chuki na kusababisha kuchepuka nje ya ndoa

    Miaka kadhaa iliyopita mume wangu alimtambulisha mtoto wa nje katika familia yake ni wa kiume alikuwa ni mtu wa furaha sana na kujisifu kuwa kapata mtoto wa kiume na ndugu zake walimpongeza hasa mtoto alifanana nae. Japo mimi nilibaki na maumivu, kwani nimezaa nae watoto wawili wa kike tuu...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mafisadi ndiyo chanzo cha chuki dhidi ya mawaziri wa wizara ya Nishati

    Makamba jr siyo waziri wa kwanza ktk wizara ya nishati kuundiwa zengwe na mafisadi. Mafisadi ya nchi hii yamekuwa yakiparurana na kila waziri wa wizara hii. Hiki ndiyo chanzo cha kelele zote hizi dhidi ya Makamba jr, waziri wa nishati wa sasa. Mpk wabunge wamo ktk Mkumbo huu. Eti wanasusia...
  17. JamiiForums Tanzania Chuki zinazochagizwa na ukosefu wa maarifa, umadhubuti wa akili na ukomavu wa fikra ni kichekesho

    Habarini nyote. Kwa uchache kabisa niseme ya kwamba awaye yeyote mwenye chuki kisa tu uduni wake kwenye maarifa, kukosa akili pevu na madhubuti, pamoja kukosa ukomavu wa fikra kwa taswira pana huwa ni kichekesho. Ukipewa dhamana fanya utofauti katika namna chanya na iliyobora na kwa kujikita...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna Watu nawaona wanajifanya kuitakia Mema Yanga SC ila Mioyoni mwao Usununu (Chuki) imewajaa

    Kwani mfano ukisema tu wazi wazi kama Mimi GENTAMYCINE kuwa naitakia kila la kheri USM Algiers FC utapungukiwa nini? Acheni Uwoga na Unafiki. Jiaminini.
  19. 0

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya maoni ya Wazanzibar kuhusu ujenzi wa daraja Dar to Zanzibar

    Kupitia hizi comments za Wazanzibar nimejifunza kuwa wenzetu wanachuki na sisi kwa kiwango kikubwa sana. Ukisoma maoni yao kwa umakini mkubwa utakuja kugundua kuna baadhi ya chuki wamepandikizwa kupitia dini zao. Mfano kuna comment inasema "Wazanzibar waliwaua ndugu zao waislam weupe ili...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Chuki na uhasama ndani ya CCM tusipochukua hatua watatuletea vita ya wenyewe kwa wenyewe

    Aisee hali ni tete ndani ya kile chama kilichotamba kwa miaka mingi kuwa ni chama chenye umoja, mshikamano, chenye kuheshimu utu na watu. Sasa ni mambo ya kuviziana tu. Imefika mahali mwanachama huyu anataka mwanachama mwenzake afe. Hii si jambo la kuhendekeza hata kidogo. Chuki na uhasama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…