Kwanini wanaomchukia Mwendazake wengi wao ni watu wa Pwani na Zenji?

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,866
Nimefanya utafiti wangu Uchwara mitandaoni na uraiani. Nimegundua asimilia kubwa ya watu wanaomchukia Legendary John Pombe Joseph Magufuli kwa asilimia kubwa ni watu kutoka Pwani na wengine Zanzibar ambao wengi wao ni wavaa vibagalashia.

Ikumbukwe sina chuki na Dini wala mambo ya Udini. Katika story za vilingeni nilikaa na jamaa kadhaa wakawa wanamponda Magufuli nifanya u-FBI wangu nikagundua ni watu kutoka Pwani, na Zenji. Pia mitandaoni huko Facebook, Twitter na Instagram nikawa napita kwenye profiles zao kuona na watu wa wapi, nikaja kugundua pia wengi wao ni watu wa pwani na wavaa vibagalashia.

JPM alisifika sana kwa kuwala vipanga watu mbalimbali ambao walikuwa wanahujumu Taifa, mfano wala rushwa, mafisadi, vyeti feki, na watu ambao walitaka keki ya Taifa iwe yao. Mimi binafsi kuna rafiki yangu aliwahi kufungwa kwa kesi ya Rushwa, lakini siwezi kusema JPM ni mbaya eti kisa rafiki yangu alikamatwa kwa kosa la rushwa, kwa sababu iliyomfunga ni rushwa na si Rais, hivyo mimi binafsi JPM simdai maana alifanya kila kitu kwa weledi sana, japo kuna mahali aliteleeza na kama binadamu tunamuelewa kwa sababu kuongoza watu milioni 60, si mchezo. Wengine kuongoza familia tu zinawashinda.

Sasa najiuliza hawa wavaa vibagalashia kwa nini wanamchikia jiwe kiasi hiki? Fanya utafiti wako, pita mitandaoni hata humu JF utakuta wavaa vibagalashia wengi ndio wanaoandika uzi wa kumkashifu JPM
 
Alikuwa hovyo mno sema watanzania wengi viwango vyao ni vidogo mno ndio maana kuna wanamwona ni mzuri.
Kama Magufuli alikuwa wa ovyo, inamaanisha waliompitisha na kuhakikisha anagombea uRais ndiyo walikuwa wa ovyo zaidi, kiasi kwamba hawakuujua uovyo wa Magufuli kabla ya kumpa uRais. Anyway. Hapa nimefikiria kwa logic zile za kwenye hisabati ya A-Level.
 
Afadhali umeweza kutenganisha logic za kinadharia na suala la Magufuli. Pia alijichimbia sana kwenye ulozi na ushirikina mkubwa lakini alifika mwisho wake!
 
Nimefanya utafiti wangu Uchwara mitandaoni na uraiani. Nimegundua asimilia kubwa ya watu wanaomchukia Legendary John Pombe Joseph Magufuli kwa asilimia kubwa ni watu kutoka Pwani na wengine Zanzibar ambao wengi wao ni wavaa vibagalashia. Ikumbukwe sina chuki na Dini wala mambo ya Udini. Katika story za vilingeni nilikaa na jamaa kadhaa wakawa wanamponda Magufuli nifanya u-FBI wangu nikagundua ni watu kutoka Pwani, na Zenji. Pia mitandaoni huko Facebook, Twitter na Instagram nikawa napita kwenye profiles zao kuona na watu wa wapi, nikaja kugundua pia wengi wao ni watu wa pwani na wavaa vibagalashia.

JPM alisifika sana kwa kuwala vipanga watu mbalimbali ambao walikuwa wanahujumu Taifa, mfano wala rushwa, mafisadi, vyeti feki, na watu ambao walitaka keki ya Taifa iwe yao. Mimi binafsi kuna rafiki yangu aliwahi kufungwa kwa kesi ya Rushwa, lakini siwezi kusema JPM ni mbaya eti kisa rafiki yangu alikamatwa kwa kosa la rushwa, kwa sababu iliyomfunga ni rushwa na si Rais, hivyo mimi binafsi JPM simdai maana alifanya kila kitu kwa weledi sana, japo kuna mahali aliteleeza na kama binadamu tunamuelewa kwa sababu kuongoza watu milioni 60, si mchezo. Wengine kuongoza familia tu zinawashinda.

Sasa najiuliza hawa wavaa vibagalashia kwa nini wanamchikia jiwe kiasi hiki? Fanya utafiti wako, pita mitandaoni hata humu JF utakuta wavaa vibagalashia wengi ndio wanaoandika uzi wa kumkashifu JPM
Wavivu na wezi, washirikina, wapiga majungu na wapenda umbea
 
Sio mpaka akufanyie wewe binafsi uovu ndio awe mbaya sijui wewe unafikiri vp?!
Sasa utamwitaje mtu mbaya wakati, wewe mwenyewe hujawai kufanyiwa huo ubaya... Mwache aliyefanyiwa ubaya ndio aje hapa kutueleza huo ubaya...

Ndio maana nikasema wavaa vibagalashia mnaomchukia Magufuli ila tukiwauliza kwa nini mnamchukia kwa nini, hamtupi sababu za kueleweka. Hapo wewe ndio una matatizo
 
Falisafa ya JPM ilikua 'Hapa Kazi Tu'...na ali iishi kwa vitendo.
Hao ndugu zetu unao wazungumzia shida kubwa inayowafnya wataabike hapa nchini ni Uvivu,kwa kufosiwa kufanya kazi wanaweza kweli kumpenda?
Yes.... Watu wa Pwani asilimia kubwa ni Wavivu, wanapenda kukaa kwenye vibaraza kuliko kazi.... Point yako ina make sense
 
Yes.... Watu wa Pwani asilimia kubwa ni Wavivu, wanapenda kukaa kwenye vibaraza kuliko kazi.... Point yako ina make sense
Ulige ulige iwee.

Miaka 6 bila nyongeza za mishahara Kwa watumishi,nao walikaa vibarazani?

ACHA Mungu aitwe Mungu.
 
Ulige ulige iwee.

Miaka 6 bila nyongeza za mishahara Kwa watumishi,nao walikaa vibarazani?

ACHA Mungu aitwe Mungu.
Sasa si alieleza sababu za kufanya hivyo na akasema mmvumilie, Mambo yatakuwa mazuri.

Nchi ilianza kupendeza, na uenda plan yake ilikuwa ataongeza mishahara mara dufu na maisha kuwa mazuri... Haya sasa hivi umeongezewa mshahara, mafuta yamepanda Bei hivyo na baadhi ya vitu vimepanda, kale la laki ulikoongezewa kote kanarudi serikalini. Maisha yanakuwa yale yale
 
Wewe tueleze kwako binafsi alikufanyia mpaka useme alikuwa wa hivyo? Maana naona wengi hamsemi aliwafanyia nini, au mwenzetu cheti feki
Hawana sababu ya msingi, ni kufuata Mkumbo tu... Kujitia uwana harakati... aiseh!! Kama ningekuwa na nafasi yeyote juu ya maamuzi... Ningedili na mijitu mikosoaji kama yule mjeda ndugu musa raisi wa bukinafaso... Kihelehele wa maneno mengi, namchukua namweka front line atatue hiyo changamoto.. na ole wake ashindwe....
 
Afadhali umeweza kutenganisha logic za kinadharia na suala la Magufuli. Pia alijichimbia sana kwenye ulozi na ushirikina mkubwa lakini alifika mwisho wake!
Unamaanisha hata uRais aliupata kwa njia ya ulozi? Sasa mbona huo ulozi haukumwepusha dhidi ya mipango ya 2014?
 
Hawana sababu ya msingi, ni kufuata Mkumbo tu... Kujitia uwana harakati... aiseh!! Kama ningekuwa na nafasi yeyote juu ya maamuzi... Ningedili na mijitu mikosoaji kama yule mjeda ndugu musa raisi wa bukinafaso... Kihelehele wa maneno mengi, namchukua namweka front line atatue hiyo changamoto.. na ole wake ashindwe....
Hiyo ndio dawa ya wakosoaji... Unawaweka Frontline, wakishindwa unadili nao kimtindo
 
Back
Top Bottom