Hakuna mtanzania anaefurahia huu utawala kwa amani. Wengi wanafurahia kwa shingo upande na unafiki.
Angalia hata hao wanaCCM makabwela ambao hudanganywa kwa baiskeli na tisheti safari hii hawautaki huu utawala wa CCM.
Kesi ya Lissu inazidi kuligawa taifa sababu kila mtanganyika mwenye akili...
ni kweli vijana wengi wa sasa hawataki kuoa single mothers, hamuoni kwamba hali hiyo inaweza kuwafanya mabinti wa Gen Z ambao ndo wengi bado hawajazaa kuwa waangalifu kupita kiasi kuhusu kupata mtoto kabla ya ndoa?
Msichana akiona kwamba dada zake waliizaa halafu wakaachwa soko linapungua...
Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Amekuwa akificha barua za uhamisho zinazotoka kwa OR Utumishi kwa baadhi ya watumishi ambao ana chuki nao.
Na pia amekuwa akifanya Hamisho za ndani kwa uonevu pindi anapopishana na watumishi hao.
Mfano, Kuna dereva na Transport officer wamepelekwa...
Anonymous
Thread
barua
binafsi
chuki
kuficha
kuhamisha
mabaya
manispaa
matumizi
matumizi mabaya
mkurugenzi
ofisi
ofisi ya rais
ofisi ya rais utumishi
or tamisemi
rais
shinyanga
tamisemi
uhamisho
utumishi
zake
Nimekuwa nafuatilia vyombo vya habari hususan mitandao ya kijamii na mazungumzo ya watu mitaani. Siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la chuki kwa viongozi wakuu wa nchi.
Chuki hizi zaweza kuipeleka nchi pabaya, je nini kifanyike.
Ilikuwaje mpaka ukakubali kwamba watu tuna mitazamo tofauti, na kwamba hata iweje hatuwezi kufanana mawazo?
Hapa naongelea kujifunza kuheshimu mitazamo ya watu wengine, hasa ile yenye upande chanya na isiyoleta madhara kwa jamii
Kwa mfano, kuna mtu anaamini Mungu yupo, na mwingine anaamini...
Wakuu hali ya mfuko wa bei naona ni karibia asilimia mia+ ya bei za 2021.
Iwe nauli sehemu ulikuwa unaenda kwa 40k sasa ni zaidi ya 90k. Kila kitu ni mara mbili ya bei iliyokuwepo 2021.
Huyu bibi anashida gani na watanganyika!?
Haya yote yakifanyika Zanzibar mambo ni shwari, afya bure umeme...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo, nikiwahimiza Watanzania, tuache chuki, ni ugonjwa hatari unao eneo kwa kasi kwenye taifa letu, uliokolezwa na kilichotokea October 29.
Je ni wangapi miongoni mwetu, wajua kuwa chuki ikizidi ni ugonjwa?. Chuki ni ugonjwa...
Huwa sielewi, chuki za Watanzania dhidi ya
1. Wasomi
2. Walimu
3. Waajiriwa
Ilianzia wapi. Kosa la hao watu ni nini maana nimeona threads nyingi zinaanzishwa kuwaponda.
They're just living their lives like everyone else. Why hating them?
CHUKI NI TUNDA LA UCHAWI
Awali ya yote leo sikujisikia kabisa kuandika kitu chochote ila nimeona ngoja niandike. Sio mtu wa kuandika na sio muandikaji mzuri. Ila tuvumiliane.
Zingatia mambo yafuatayo :
a. Chuki isiyo na sababu ni bure kabisa ni sawa kufukuza upepo.
b. Ili uchukie lazima uwe...
Katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 unaoendelea leo Machi 18, 2026 Arusha kwenye ukumbi wa Centre house, Bwana Ezra amesema kuwa vurugu nyingine zinasababishwa na vijana wanaotoa hotuba za chuki dhidi ya wengine.
Aidha ametoa...
Inakuwaje watu kuchukizwa Kwa kuona mtumishi mpya ameajiriwa department yao?
Mtu umeripoti kazini, baada ya kuanza kazi na kuonesha utendaji mzuri mwanzoni, baadhi ya watumishi wenzako wanaonesha chuki au kuchukizwa kimya kimya na ujio wako.
Sasa najiuliza, ni hofu ya competition au wanahisi...
Hi Zeee ni Moja ya Zee lenye ROHO mbaya mnoo.
Mh Polepole aliwahi tuelezea, Namna GANI Lilivyomtukana Nyerere, na namna GANI Magufuli alivyoliweka pembeni.
Ni zee korofi, lenye UCHU, Zee ambalo lipotayari kufanya lolote kwa ajili ya Cheo.
Kwa sasa Linatumia Nafasi yake, kumuumiza Lissu yaan...
Yeah, ni chuki tu za watawala wetu na Roho mbaya ,ila Jamii forum ingekuwa ipo mbali zaidi ya hapa . Ila ndio hivyo tuna watu kwenye viti vya mamlaka wana fantasize na ku wish jamiiforum isingekuwepo...
Hii platform ingekuwa bidhaa ya watu karibia million 300 kwa nchi zote zinazoonhea...
Hii ni tahadhari kwa watu wenye roho mbaya, roho za kichawi.
Iwe unamchukia mtu kwakuwa alikutendea jambo baya, au alimtendea mtu mwingine jambo baya au umeamua tu kumchukia kwasababu za kisiasa au unamchukia mtu kwasababu ya ujinga uliokukandamiza.
Yaani haupaswi kumchukia mtu.
Nyie...
Sidhani kama kuna mtu anamsumbua Trump akili kama huyu mwanamke wa Kisomali Ilhan Omar ambaye ni raia wa Marekani na congresswoman wa jimbo la Minnesota, Marekanii
Ilhan anapenda sana kupinga utawala wa Trump kuhusu policy zake za immigration, serikali yake, ICE, chuki dhidi ya waislamu nk...
Sioni kama ni vyema mashabiki zetu kuwa na chuki na sisi wasanii wenu,wasanii wa mataifa mengine wameendelea kwa sababu mashabiki wa Nchini kwao wanawasapoti kwa moyo mmoja"Amesema Jux
Nawaona mnavyochukiana mitaani na hapa JF kisa dini, nacheka sana. Hivi mnatambua ninyi ni MAFALA WASIOJITAMBUA? 😂
Yaani unamchukia ndugu yako, jirani yako, au mbongo mwenzako kisa tu mmoja anamshabikia mzungu fulani (Kristo) na mwingine mwarabu fulani (Mudi)? Nasema tena: WEWE NI FALA MARA...
Katibu Mwenezi wa CCM, Kenani Kihongosi amemwomba Jaji Mstaafu, Joseph Warioba asiwe na chuki kwa viongozi waliopo bali awashauri kwa hekima badala ya kulalamika mtandaoni.
Akizungumza na wanahabari jijini Dodoma siku ya Jumamosi, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Kenani...
Ufuatiliaji wangu mdogo wa masuala ya kisiasa, umenifanya nifahamu kuwa asilimia tisini na tisa nukta tisa tisa (99.99%) ya machafuko ya kisiasa na kijamii kwenye nchi zote duniani, husababishwa na wanasiasa walioko madarakani.
Lakini miongoni mwa nahau ambazo hutumiwa na watawala dhidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.