Chuki ya Watanzania dhidi ya watu hawa ilianzia wapi?

Chuki ya Watanzania dhidi ya watu hawa ilianzia wapi?

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
7,825
Reaction score
16,023
Huwa sielewi, chuki za Watanzania dhidi ya
1. Wasomi
2. Walimu
3. Waajiriwa

Ilianzia wapi. Kosa la hao watu ni nini maana nimeona threads nyingi zinaanzishwa kuwaponda.

They're just living their lives like everyone else. Why hating them?
 
Ni chuki za kijinga tu , wivu , na visasi .

Kwenye wasomi kuna wale walipata 0 , yani karai ,kuna namna waliumia sana.

Kwenye walimu ,yale matoto Motoro ,mazinzi, na vilaza wahedi, huwa yanachuki na walimu , hata ya kikua ,kwa sababu yanakua na ule ule ukilaza.

Kwenye kuajiriwa , ni wivu tu , mtu anazunguka na udalali na biashara za kuchuuza , akija fanikiwa kidogo lazima atupe madongo kwa waajiriwa.
 
Ni chuki za kijinga tu , na wivu , na visasi .

Kwenye wasomi kuna wale walipata 0 kuna namna waliumia sana

Kwenye walimu ,yale matoto Motoro na mazinzi, na vilaza wahedi, huwa yanachuki na walimu Hata ya kikua kwa sababu yanakua na ule ule ukilaza.

Kwenye kuajiriwa , ni wivu tu , mtu anazunguka na udalali na biashara za kuchuuza akija fanikiwa kidogo lazima atupe madongo kwa waajiriwa
Sasa mbona watoto wao wanawapeleka shule hapo ndo naposhangaa...kwanini asikae naye nyumbani akamfunza stadi za maisha
 
Nani anawachukia wasomi ???
Sijaona anaye wachukia wasomi,labda doto magari
Hupenda kuwakebei kwa sababu yeye hajasoma halafu kafanikiwa,zile ni mbwembwe tu ila kitu anatambua umuhimu wa wasomi katika kila sectoer

Nani anawachukia waalimu???
Natambua kuna mwalimu humu jukwaani huwa anajaribu kuwaambia walimu wenzake wabadili aina za maisha yao,wasiishi kwa mazoea kama wanavyoishi.

Pia ni nani anawachukia waajiriwa???

Nadhani maada nyingi ambazo zinahusu financial freedom zinagusa moja kwa moja kuhusu kuajirwa kwamba huwezi kuwa na financial freedom kama umeajiriwa haimaanishi kwamba waajiriwa wanachukiwa.
 
Mkuu chunguza kitaa, hasa kwa mtu mmoja mmoja.
 
Jamii Forums pekee imejaa thread za namna hii
Huko mitaani ndio balaa
Screenshot_20260328-090106.png
Screenshot_20260328-090141.png
Screenshot_20260328-090209.png
Screenshot_20260328-090242.png
Screenshot_20260328-090309.png
Screenshot_20260328-090326.png
Screenshot_20260328-090349.png
 
Mimi ndio naona hapa kwamba hao watu wanachukiwa. Hayo makundi yamekuwa yanapewa changamoto ya kutokuleta impacts kubwa kwenye ustawi wa jamii, ambayo sio chuki
Mtu wa kuchukiwa hapo ni CCM tu
Kwamba watu ambao sio wasomi, ambao hawana ajira na ambao sio walimu peke yao ndio wana mchango mkubwa kwenye ustawi wa jamii?
Hii ni chuki mnajaribu kuipamba kwa majina mazuri. Thread nyingi zinazohusu hao watu sio constructive criticism, nyingi zimeambatana wazi na maneno ya chuki, na kuwadhalilisha hao watu
 
Mkuu chunguza kitaa hasa kwa mtu mmoja mmoja
Mimi huwa naonaga kuna ile umefanya kitu kwa aina tofauti "utasikia uyu naye kujifanya msomi"

Ile mimi sihesabu kama chuki,ni aina tu ya mtu anakusifia ila kwa reverse maneno lakini anakuwa tayari kakubaliana na wewe.

Chuki ambayo naweza kuita chuki mfano,jinsi wananchi wanavyoonesha kwa viongozi wao wakifariki siku hizi,ile ni pure chuki.

Au ile ambayo jamii za mikoani wanavyokuwa treated wakifika maeneo ya pwani,ile ni chuki halisi...
 
Unafahamu kuna walimu wamesusa kabisa kuwa adhibu wanafunzi kwa sababu tu ya chuki kati yao na jamii?

Unakuta mtoto anachapwa kidogo tu hata akichubuka kidogo jambo litakavyokuzwa mpaka mwalimu ana hama shule🤔
 
Ni chuki za kijinga tu , na wivu , na visasi .

Kwenye wasomi kuna wale walipata 0 , yani karai ,kuna namna waliumia sana

Kwenye walimu ,yale matoto Motoro na mazinzi, na vilaza wahedi, huwa yanachuki na walimu Hata ya kikua ,kwa sababu yanakua na ule ule ukilaza.

Kwenye kuajiriwa , ni wivu tu , mtu anazunguka na udalali na biashara za kuchuuza akija fanikiwa kidogo lazima atupe madongo kwa waajiriwa
100% hizi ndio sababu zinazo make sense. Hakuna valid reason yoyote ile ya kuchukia hao watu.
Sababu nyingi wanazitunga ili wapate excuse ya kuendelea kuwatukana na kuwatupia maneno personal
 
Back
Top Bottom