chochote

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Haudaiwi chochote na girlfriend wako

    Bila ya wewe uyo mwanamke hatokufa, acha kujipa stress ili upate sifa za kijinga, eti responsible boyfriend, unapigwa mwanangu. Kama bajeti hairuhusu kumpa hicho anachokitaka lala salama kabisa hata usisumbue akili wala nafsi yako, na akinuna akatishia kuondoka mfungulie mlango aende. You...
  2. JamiiForums Tanzania Nishauri chochote niache kuyaogopa maisha

    Signed out forever
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini ukiwa na tabia ya Kusaidia sana Watoto Kipesa au hata Kuwasaidia chochote cha Umuhimu unafunguliwa na unabarikiwa sana?

    Nina Ushuhuda wa hili kwa 100% hivyo nakuomba nawe ukipata chochote penda kuwapa Watoto utakuja Kunishukuru. Asante sana Mwenyezi Mungu kwa BARAKA zako na nakumbuka hata katika Maandiko pia umetuasa tupende Watoto.
  4. JamiiForums Tanzania Huko Kenya jeshi linakaribia kuwaunga mkono waandamanaji. Mageti ya bunge yamevunjwa na waandamanaji wapo ndani ya bunge wanafanya chochote watakacho

    Sauti ya umma imekita kambi huko Nairobi, Kenya! Hali imekuwa tete sana! Waandamanaji wamechoma moto ofisi ya gavana wa Nairobi na kuvamia bunge, bendera zote zimetelemshwa na mgahawa wa bunge umevunjwa, waandamanaji wameonekana wakila chakula na kutapanya kila kitu! Jengo la Seneti limevunjwa...
  5. JamiiForums Tanzania Una kitu/kifaa chochote haukihitaji tena au umechoka kukitumia? Karibu nikusaidie kukiuza haraka🙏

    Wakuu i hope mko poa wote. Me nafanya business ya kuuza used (but still good) products. Nina platforms zangu na social pages zenye wafuatiliaji wengi wanaohitaji vitu vizuri yes, but dukani ni gharama sana , na wewe labda unacho na haukihitaji tena, na bado kiko vizuri, basi utasema price...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Biteko: Msing'oe bendera ya chama chochote. Bendera hazipigi kura

    Msing'oe bendera ya chama chochote, bendera haipigi kura, ushinde ubaya kwa wema - Dkt. Biteko Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto biteko akizungumza leo juni 6, 2024 katika mkutano wa hadhara jimboni bukombe mkoani Geita.
  7. JamiiForums Tanzania Serikali: Mkopo kutoka Korea hauna masharti ya kuweka rehani rasilimali za nchi

    UFAFANUZI WA MKOPO WA DOLA BILIONI 2.5 AMBAO TANZANIA IMEPATA KUTOKA KOREA Mobhare Matinyi. Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali. Dar es Salaam Juni 4, 2024. Saa 8:00 Mchana. Ufafanuzi huu unafuatia habari yenye dosari iliyorushwa hewani jana na tovuti ya Idhaa...
  8. JamiiForums Tanzania Familia yangu huiambii chochote kuhusu kituo cha runinga cha Cheka Plus

    Sio tu familia yangu, hata wafanyakazi wenzangu ofisini kwa ujumla. Maua mengi mengi yamfikie Coy Mzungu maake jambo aliloanza nalo kama utani, hatimaye lazaa matunda. Kuamua ni kuthubutu, Hatimaye Cheka tu imezaa Cheka Plus, same applied to WCB kuzaa Wasafi Media Cheka Plus inakuja kwa kasi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ukiishi naye kinyumba (bila ndoa) hata kwa miaka kadhaa, kisheria hastahili kupata chochote endapo mtaachana

    Huu ni ushuhuda wa kweli. Kuna mwanaume amepata ushindi mahakamani dhidi ya gumegume, ambao inabidi tushirikishane hapa ili wanaume msiogope kuwafukuza wajasiriaNDOA a.k.a "makupe"au magumegume. Kuna wanasheria uchwara huku kitaa, wanatutisha kuwa ukikaa na mwanamke kwa zaidi ya miezi 6 basi...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Kuogopa kutendwa nimeamua kuoa asiyejua kusoma na kuandika, zaidi ya kuandika jina lake hajui chochote kingine

    Nimeamua kuoa mke darasa la 2, ukimchunguza sana ni kama hazijatimia. Lkn yuko fertile kinyama, ukigusa tu mimba. Nimeamua kufanya hivi ili kuwakwepa mafeminist, wajuaji, wapenda hela, wapenda mawigi, watembea uchi, wachezaji vikoba na watafuta utajiri kwa kupitia mume. Je, mwanaJF, unadhani...
  11. JamiiForums Tanzania Niagize chochote Dubai

    Ndugu zangu awali ya yote ni washukuru Wana jamiiforums wote ambao mliguswa na changamoto yangu iliyo nikuta ambayo ilipelekea kuandika Uzi uliotafsiliwa kama nimekata tamaa😭😭😭 Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi! Kwakweli kipindi naandika huo Uzi nilikuwa kwenye...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Elimu ipo chuo chochote, uzito upo UDSM: Wanapewa kipaumbele kwenye ajira, maofisini asilimia kubwa ya vyeo vizito ni zao la UDSM

    Mambo ya kubishana chuo gani kimeiva, chuo gani kinatoa wanafunzi cream, n.k. huwa yanaishia vyuoni. Baada ya kumaliza chuo kama huna connection, je chuo ulichosoma kinakuboost upewe kipaumbele kwenye ajira ? chuo ulichosoma kimejaza watu kwenye nafasi za juu wanaoweza kukupigia debe kwenye...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kwa watumiaji wa Honda Fit

    Wanaotumia honda Fit, naomba mniulize chochote tushirikishane uzoefu. Watu wengi wamekuwa wakiharibiwa magari yao kwa sababu tu ya kukosa uzoefu Kuhusu Honda Fit Asante
  14. JamiiForums Tanzania Usiweke Hela benki zisizokuingizia chochote, Weka Hela zako kwenye masoko ya Hisa au fungua miradi

    Kawaida ya Waajiriwa wengi, kuweka Akiba, Saving account kwenye benki zetu, kwaajili ya usalama. Account hizo kuna ledger fee unalipa, huingizi chochote. Nikushauri, wekeza kwenye masoko ya Hisa, akiba yako itaongezeka Kila mwezi, Kwa riba utakayokuwa unalipwa. Usipate hasara, kusubiri mpaka...
  15. JamiiForums Tanzania Hamas waziambia nchi 18 vita visimame kwanza kabla ya chochote

    Nchi kumi na nane zimejaribu kuwalaghai viongozi wa Hamas kwamba waachie mateka wote ilionao. Hata hivyo nchi hizo zimekutana na kigingi kutoka viongozi hao wakisema ili mateka hao waachiliwe ni lazima kwanza vita visimame na Israel iondoke Gaza sambamba na watu kuruhusiwa kurudi majumbani...
  16. JamiiForums Tanzania Tafadhali mwenye Ktabu chochote au Chapisho lolote la Kumfundisha Mtu vyema Lugha ya Kiswahili aniwekee hapa ili 'Nikidanlodi' haraka sana

    Huyu Mrembo wa Kinyankole hapa Uganda sitaki nimkose na anapenda sana Kujua Kiswahili hivyo nisaidieni nisimkose.
  17. JamiiForums Tanzania Mzazi pambana umrithishe mtoto chochote kitu, elimu ni haki ya mtoto

    Wazazi wenzangu tupambane tuwaachie watoto wetu chochote kitu, elimu na malezi ni haki ya mtoto. Mimi Namshukuru mungu kwa hiki kidogo basi anachochakuanzia kwenye maisha yake. Tusiwe na ubinafsi, tupunguze uvivu wa kufikiri, mimi mzee wangu nilimuambia asinipe chochote ili niwe na amani...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna mtu kawauliza swali wanaosema "Mungu hafananishwi na kitu chochote" wameshindwa kujibu wanamtukana na kumpa vitisho. Mpeni majibu tafadhali

    Ilikuwa kwenye mjadala kuhusu maoni ya Harmonize kwamba katika miaka ishirini aliyo ishi duniani amegundua kwamba huenda Mungu ni mwanamke.. Wenye dini zao wanasema Harmonize apigwe mawe kwa sababu amekufuru na kwamba " Mungu hafananishwi na kitu chochote kile" Swali la jamaa lilikuwa: 1...
  19. JamiiForums Tanzania Siri yafichuka, Israel imepania kupiga vinu vya nyuklia iwapo Iran itafanya chochote

    Israel walipiga ubalozi wakijua Iran itaingia kwenye mtego wa kujaribu kulipa kisasi, ambapo hao Israel walitaka watumie fursa hiyo kutatua issue ya Iran kuendelea kuzalisha nyuklia, walipania kupiga vinu vyote hapo Iran. Iran washashtukia mchezo hivyo wameufyata maana hamna namna...
  20. JamiiForums Tanzania Nipo tayari kulumbana (Debate) na yeyote kuhusu chochote

    Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe ki mdahalo (debate), wakati wowote. Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…