Una kitu/kifaa chochote haukihitaji tena au umechoka kukitumia? Karibu nikusaidie kukiuza haraka🙏

90sgeneration

JF-Expert Member
Dec 18, 2022
398
464
Wakuu i hope mko poa wote.

Me nafanya business ya kuuza used (but still good) products. Nina platforms zangu na social pages zenye wafuatiliaji wengi wanaohitaji vitu vizuri yes, but dukani ni gharama sana , na wewe labda unacho na haukihitaji tena, na bado kiko vizuri, basi utasema price unayotaka kuuza then nakutafutia mteja haraka.

Na sio lazima nikufahamu au ufahamike, hapana, privacy yako ni muhimu na iko salama.

We piga picha kitu chako, njoo dm, tuma picha za kitu chako, niambie bei unayotaka kuuza tukubaliane, then nipatie mawasiliano yako (number nayoweza kupata kirahisi), then mengine niachie mimi, mteja akipenda nakucontact ili mteja akufuate mahali unataka, aje akione na akulipe then achukue. Just simple, me kwa simu tu tunamaliza kila kitu usijari.

Hata kama uko mkoa gani, we karibu, takuuzia product yako kwa wateja wa huko huko ulipo usijari.

haya karibuni sana. Una chochote njoo dm🙏

0697224996 call/whatsapp
 
Ebu ngoja kwanza niendelee kusubiria hapa.
karibu
Sasa hizo social media pages zako me sizijui mkuu jazia uzi maswali yasiwe mengi
choose any utayoipenda (zingine im just a business partner),

instagram pgs - @usedthingstz
@vituusedtanzania
@usedthings_tz

ziko za fb na x pia, so zingine ni za friends tu nikiwa na product nzuri nashare nao,wanapost on behalf (nawaboost pia) na maisha yanaenda, hizo ni sample tu
 
ok, wakuu karibuni sana, bado naendelea kupokea dm, kama una kitu chochoche unahitaji kukiuza, karibu dm tuwasiliane.

Note: kitu used unachohitaji kukiuza kwa sababu yako yoyote ile, iwe gari,fridge,jiko,sofaset,laptop,bags, microwave, Ac, etc...

sio unachouza wewe kipya , sjui unatengeneza (sio unipatie nikuuzie bidhaa za biashara yako no) , just used cha nyumbani au ofisini unachotaka kukiondoa sio bidhaa unazouza.

sababu customers wangu hawahitaji vitu vya bei sawa na dukani wakuu, bei ya used tu, thats all wakuu wangu, i hope mmenielewa🙏
 
Wakuu i hope mko poa wote.

Me nafanya business ya kuuza used (but still good) products. Nina platforms zangu na social pages zenye wafuatiliaji wengi wanaohitaji vitu vizuri yes, but dukani ni gharama sana , na wewe labda unacho na haukihitaji tena, na bado kiko vizuri, basi utasema price unayotaka kuuza then nakutafutia mteja haraka.

Na sio lazima nikufahamu au ufahamike, hapana, privacy yako ni muhimu na iko salama.

We piga picha kitu chako, njoo dm, tuma picha za kitu chako, niambie bei unayotaka kuuza tukubaliane, then nipatie mawasiliano yako (number nayoweza kupata kirahisi), then mengine niachie mimi, mteja akipenda nakucontact ili mteja akufuate mahali unataka, aje akione na akulipe then achukue. Just simple, me kwa simu tu tunamaliza kila kitu usijari.

Hata kama uko mkoa gani, we karibu, takuuzia product yako kwa wateja wa huko huko ulipo usijari.

haya karibuni sana. Una chochote njoo dm🙏
Nimependa idea yako. Hakikisha tu matapeli hawatumii kiwanja chako kutapeli watu.
 
Good idea tatizo wabongo nao unakuta wamenunua second au third hand nao wakija kuuza majanga mbele mbele (Kwahio umejiandaa vipi kupokea malalamishi au mtu ananunua kitu as is ?)
 
Good idea tatizo wabongo nao unakuta wamenunua second au third hand nao wakija kuuza majanga mbele mbele (Kwahio umejiandaa vipi kupokea malalamishi au mtu ananunua kitu as is ?)
ni kweli unayosema , ndio sababu siuzi tu kitu chochote nacholetewa, nakiangalia na kukifanyia tathmini, nikijiridhisha kiko ok (tajua tu sababu kuna maswali najua nikipata majibu yasioridhisha naacha), pia price range matters etc, but hatuezi shindwana, mje tuzungumze🙏
 
Nauza Paka, rangi yake ya madoadoa meupe na meusi, wapo wanne wamezaliwa pamoja, nauza jike mmoja au wawili

Mama na watoto wake wana afya njema
 
ni kweli unayosema , ndio sababu siuzi tu kitu chochote nacholetewa, nakiangalia na kukifanyia tathmini, nikijiridhisha kiko ok (tajua tu sababu kuna maswali najua nikipata majibu yasioridhisha naacha),-
Kwahio kuna overheads za wewe kuangalia kitu na kama kinafaa na wewe ndio unatoa guarantee ?
pia price range matters etc, but hatuezi shindwana, mje tuzungumze🙏
Najua business model yako ila nilikuwa tu nakwambia intricacies na hususan soko la bongo la watu wabishi na mateli, ingawa unaweza ukawa na option nyingine ya kununua vitu used yaani unavinunua wewe kulingana na ubora unavyoona alafu unauza kulingana na bei unayoona..., Sababu kama unachukua commissions alafu mtu ananunua simu kumbe mbovu alafu mwisho wa siku anakurudishia wewe uliyechukua commission ya elfu kumi kwamba umrudishie laki na nusu inaleta ugumu fulani
 
Back
Top Bottom