Wakuu i hope mko poa wote.
Me nafanya business ya kuuza used (but still good) products. Nina platforms zangu na social pages zenye wafuatiliaji wengi wanaohitaji vitu vizuri yes, but dukani ni gharama sana , na wewe labda unacho na haukihitaji tena, na bado kiko vizuri, basi utasema price...
Msing'oe bendera ya chama chochote, bendera haipigi kura, ushinde ubaya kwa wema - Dkt. Biteko
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto biteko akizungumza leo juni 6, 2024 katika mkutano wa hadhara jimboni bukombe mkoani Geita.
UFAFANUZI WA MKOPO WA DOLA BILIONI 2.5 AMBAO TANZANIA IMEPATA KUTOKA KOREA
Mobhare Matinyi.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali.
Dar es Salaam
Juni 4, 2024.
Saa 8:00 Mchana.
Ufafanuzi huu unafuatia habari yenye dosari iliyorushwa hewani jana na tovuti ya Idhaa...
Sio tu familia yangu, hata wafanyakazi wenzangu ofisini kwa ujumla. Maua mengi mengi yamfikie Coy Mzungu maake jambo aliloanza nalo kama utani, hatimaye lazaa matunda. Kuamua ni kuthubutu, Hatimaye Cheka tu imezaa Cheka Plus, same applied to WCB kuzaa Wasafi Media
Cheka Plus inakuja kwa kasi...
Huu ni ushuhuda wa kweli. Kuna mwanaume amepata ushindi mahakamani dhidi ya gumegume, ambao inabidi tushirikishane hapa ili wanaume msiogope kuwafukuza wajasiriaNDOA a.k.a "makupe"au magumegume.
Kuna wanasheria uchwara huku kitaa, wanatutisha kuwa ukikaa na mwanamke kwa zaidi ya miezi 6 basi...
Nimeamua kuoa mke darasa la 2, ukimchunguza sana ni kama hazijatimia. Lkn yuko fertile kinyama, ukigusa tu mimba.
Nimeamua kufanya hivi ili kuwakwepa mafeminist, wajuaji, wapenda hela, wapenda mawigi, watembea uchi, wachezaji vikoba na watafuta utajiri kwa kupitia mume.
Je, mwanaJF, unadhani...
Ndugu zangu awali ya yote ni washukuru Wana jamiiforums wote ambao mliguswa na changamoto yangu iliyo nikuta ambayo ilipelekea kuandika Uzi uliotafsiliwa kama nimekata tamaa😭😭😭 Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi!
Kwakweli kipindi naandika huo Uzi nilikuwa kwenye...
Mambo ya kubishana chuo gani kimeiva, chuo gani kinatoa wanafunzi cream, n.k. huwa yanaishia vyuoni.
Baada ya kumaliza chuo kama huna connection, je chuo ulichosoma kinakuboost upewe kipaumbele kwenye ajira ? chuo ulichosoma kimejaza watu kwenye nafasi za juu wanaoweza kukupigia debe kwenye...
Wanaotumia honda Fit, naomba mniulize chochote tushirikishane uzoefu. Watu wengi wamekuwa wakiharibiwa magari yao kwa sababu tu ya kukosa uzoefu Kuhusu Honda Fit
Asante
Kawaida ya Waajiriwa wengi, kuweka Akiba, Saving account kwenye benki zetu, kwaajili ya usalama. Account hizo kuna ledger fee unalipa, huingizi chochote.
Nikushauri, wekeza kwenye masoko ya Hisa, akiba yako itaongezeka Kila mwezi, Kwa riba utakayokuwa unalipwa.
Usipate hasara, kusubiri mpaka...
Nchi kumi na nane zimejaribu kuwalaghai viongozi wa Hamas kwamba waachie mateka wote ilionao.
Hata hivyo nchi hizo zimekutana na kigingi kutoka viongozi hao wakisema ili mateka hao waachiliwe ni lazima kwanza vita visimame na Israel iondoke Gaza sambamba na watu kuruhusiwa kurudi majumbani...
Wazazi wenzangu tupambane tuwaachie watoto wetu chochote kitu, elimu na malezi ni haki ya mtoto. Mimi Namshukuru mungu kwa hiki kidogo basi anachochakuanzia kwenye maisha yake.
Tusiwe na ubinafsi, tupunguze uvivu wa kufikiri, mimi mzee wangu nilimuambia asinipe chochote ili niwe na amani...
Ilikuwa kwenye mjadala kuhusu maoni ya Harmonize kwamba katika miaka ishirini aliyo ishi duniani amegundua kwamba huenda Mungu ni mwanamke..
Wenye dini zao wanasema Harmonize apigwe mawe kwa sababu amekufuru na kwamba " Mungu hafananishwi na kitu chochote kile"
Swali la jamaa lilikuwa:
1...
Israel walipiga ubalozi wakijua Iran itaingia kwenye mtego wa kujaribu kulipa kisasi, ambapo hao Israel walitaka watumie fursa hiyo kutatua issue ya Iran kuendelea kuzalisha nyuklia, walipania kupiga vinu vyote hapo Iran.
Iran washashtukia mchezo hivyo wameufyata maana hamna namna...
Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe ki mdahalo (debate), wakati wowote.
Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
Mambo vipi watu wa Tech.
Kwa uchache niwaeleze kuhusu google Admob, ambayo kwa namna moja au nyingine inaweza kua fursa.
Kwanza kabisa google Admob ni child company ya google ,ambayo ina jihusisha na shughuli za matangazo(ADS) kwenye Apps
Kinacho fanywa na google Admob ni kushare mapato...
Nimeona watu wenye fedha waliotumia zaidi ya milioni 100 kujitibu lakini fedha haikufua dafu wakafa.
Nimeona matajiri ambao kila mtu angetamani kuwa kama wao lakini hao Matajiri hawajawahi kupumzika hata wiki moja kuitafuta fedha.
Hii maana yake zile fedha zao mamilioni na mabilioni bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.