Nishauri chochote niache kuyaogopa maisha…

Leejay49

JF-Expert Member
Feb 10, 2023
13,796
42,480
Wasalaaaam
Sijui niiwekaje hii,. Lakini naogopa tu nikiwaza haya maisha yanatakiwa yaende aje,, na kwanini inakua hivi🤔🤔

Au ni kwasababu nimeumwa sana nimeanza kupoteza matumaini?? Ata sijui nawaza nini🙌🙌,.
Yaani iko hivi, ni mwezi wa pili sasa unaelekea watatu siwezi kufanya chochote,,. kazi zangu na shughuli zangu ambazo nilikua nafanya mwenyewe ni watu ndio wananisaidia kufanya ( Hakuna hata kimoja kilichopo kwenye mstari,. Kila kitu kimevurugika, Hawafanyi kama ambavyo mwenyewe hua nafanya🥹🥹)..

Watu hata nyumbani naona wanalichukulia hili suala kawaida lakini mimi linaniogopesha sana,. Imagine nilikua nasikia vizuri tu lakini saizi sisikii,. Eti macho nayo yameanza kusumbua yaani navaa miwani hatakama sisomi kitu🤔🤔,. Kwamfano ndio ikawa hivi hivi mwisho wa siku si na miguu nayo itaanza kutokutembea na mikono kutokufanya kazi ( Na vipi kama ikiwa kweli???) Ina maana ndoto zangu zote ndio zitakua zimeishia hapa au??

Niambie au nishauri chochote ili niondokane na hii sijui ndio fear of unknown au nini??
 
usijali Leejay49 ni kawaida kwenye maisha kukutana na nyakati ambazo unajikuta huoni mwanga ni kawaida na zinapitaga, siku nyingine itakua story ni ya ku motivate watu,
 
Back
Top Bottom