china

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania imelipa kampuni za China wastani wa $1B kwa mwaka kwa ujenzi pekee

    Kwa maelezo ya Raisi Magufuli mwenyewe Tanzania imelipa kampuzi za China $10B kwa miaka 10 iliyopita! hii ni wastani wa $1B kwa mwaka. Hii inashutusha kwa jinsi tunavyotoa wahandisi kwenye vyuo mpaka sasa bado kazi nyingi zinafanywa na makampuni ya China. Kazi nyingi kama za majengo, visima...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tundu Lissu na Lema hawakwenda uhamishoni kwa marafiki zetu China ila wameenda kwa Wakoloni?

    Kwanza nawatakia ninyi nyote Dominica yenye baraka. China ni marafiki zetu kama taifa tangia tulipojinasua kwenye makucha kandamizi ya wakoloni waliotunyonya na kututesa sana huku wakipora rasilimali zetu. Ndio nauliza kwanini Tundu Lissu na Godbless Lema wameomba hifadhi kwa adui zetu...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi: Tanzania inatamani sana Chato ifanane na majiji makubwa ya China ambayo awali yalikuwa ni vijiji vya wavuvi!

    Profesa Kabudi amemwambia Waziri wa Mambo ya Nje wa China kwamba anashukuru kwa ziara aliyoifanya Mwaloni leo asubuhi na Tanzania inatamani Chato ije kuwa kama miji mikubwa ya China ambayo awali ilikuwa ni vijiji vya wavuvi kama ilivyo chato. Profesa Kabudi amesema kwa mahusiano mema ya...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nashukuru Rais Magufuli kuiomba China itufutie deni la Kiwanda cha Urafiki pale Ubungo!

    Kwa kweli kiwanda cha Urafiki kina hali mbaya sana na watumishi wake hawajalipwa mishahara kwa miaka kadhaa sasa. Hivyo ombi la kufutiwa deni la Dola Milioni 15 ambalo Tanzania inadaiwa likikubaliwa basi kiwanda hicho kitarudi mikononi mwa Watanzania na wafanyakazi wa Urafiki haki zao...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania na China zasaini mkataba wa uendelezaji wa ujenzi wa reli ya kisasa SGR kutoka Mwanza - Isaka

    TANZANIA NA CHINA YASAINI MKATABA WA KUJENGA RELI YA KISASA (MWANZA-ISAKA) Serikali ya Tanzania na China vimeingia makubaliano ya kujenga reli ya kisasa ya Kilometa 341 kutoka Mwanza hadi Isaka Hicho ni kipande cha tano, ambapo kipande cha Kwanza ni kutoka Dar mpaka Morogoro, Cha pili ni...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini China inapendwa na Marais wa Afrika?

    Pamoja na nchi za Afrika kutaka kujitegemea ila viongozi wake wamekuwa wepesi sana kutaka sifa za kijinga kwa kununua au kukopeshwa fedha kupitia miradi ambayo hugeuka mzigo kwa wananchi. Mikataba ya China hufanywa siri kubwa wakati miradi inaanza ila unapofika muda wakuilipa ndipo mijadala...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada redmi note 8 pro china version

    Habar wadau, Nimeipenda simu ya xiaomi redmi note 8 pro ila ni china version Bei yake 450,000 Kabla ya kufanya manunuzi napenda kufahamu China version ya xiaomi itashika band za Tanzania? Pia bei hio ni reasonable kwa simu hio Ushauri wadau.
  8. R

    JamiiForums Tanzania China yajenga mtandao wa kwanza wa mawasiliano ya habari wa Quantum

    China yajenga mtandao wa kwanza wa mawasiliano ya habari wa Quantum wa ardhi na setilaiti duniani Chuo kikuu cha sayansi na teknolojia cha China kimetangaza kuwa timu ya utafiti ya China imefanikiwa kutimiza ugavi wa ufunguo wa siri (Secret-Key) wa Quantum wenye umbali wa kilomita 4600, ambayo...
  9. JamiiForums Tanzania Kampuni 8 za China zapigwa marufuku nchini Marekani

    Rais wa Marekani Donald Trump amesaini amri ya Rais ya kupiga marufuku kampuni nane za China zenye program ya kutoa huduma ya ulipiaji wa bidhaa kwa njia ya mtandao. Programu hizo ni pamoja na ile maarufu ya mtandao wa Alipay inayomilikuwa na mfanyabiashara tajiri China Jack Ma, QQ Wallet na...
  10. U

    JamiiForums Tanzania China yajitosa Ujenzi wa SGR ya Tanzania

    Imeripotiwa na gazeti la Mwananchi la leo, januari 6; Chato. Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya China, Wang Yi anatarajiwa kutua nchini Tanzania kesho Januari 7, ambapo pamoja na mambo mengine atashuhudia utiaji saini mkataba wa ujenzi wa awamu ya tano ya reli ya kisasa (SGR) inayotoka Mwanza...
  11. JamiiForums Tanzania China: Bilionea ahukumiwa kunyongwa kwa rushwa

    Lai Xiaomin, mfanyabiashara mkubwa wa #China ambaye pia ni kiongozi wa Chama amehukumiwa kunyongwa baada ya kukutwa na hatia ya rushwa ya takriban Tsh Bilioni 643. Mahakama imesema alijihusisha na vitendo vya rushwa kwa miaka 10, tangu 2008 ambapo alikuwa anapokea ili kuwapa watu kazi...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Bilionea wa China, Jack Ma adaiwa kutojulikani alipo kwa zaidi ya miezi miwili tangu alipoikosoa Serikali na Chama Tawala

    Uvumi umezagaa kuhusu wapi alipo bilionea wa China, Jack Ma kutokana na kutojitokeza kwake hadharani kwa muda wa miezi miwili. Jack Ma ambaye ni mwanzilishi wa kampuni ya Alibaba hajaonekana katika sehemu ya mwisho ya kipindi chake alichokianzisha cha ‘Africa’s Business Heroes,’ kinachowapa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi: Tanzania kupokea ugeni mkubwa kutoka China ukiongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje

    Profesa Kabudi amesema Tanzania itapokea ugeni mkubwa kutoka China ukiongozwa na Waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo. Ziara hiyo itakuwa na manufaa makubwa kwa nchi yetu ambayo ina mkataba wa urafiki na China uliosainiwa na Mwalimu Nyerere miaka 55 iliyopita, amesema Prof Kabudi. Chanzo: Eatv...
  14. JamiiForums Tanzania Masharti nafuu tunayopewa na China

    Wakuu habari: Mara kwa Mara viongozi wetu wamekuwa wakituambia tumepata mkopo kutoka China wenye masharti nafuu. Swali langu ambalo natamani kila Mtanzania ajiongeze na aweze kufikiria nje ya box je mkopo wa masharti nafuu ukoje je masharti nafuu ni yapi? Mara nyingi tumesikia kauli kuwa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini China imeanza kutajwa kwenye ufadhili miradi mikubwa na kimkakati ya Tanzania wakati walitaka kutuingiza chaka bandari ya Bagamoyo?

    China imejizolea umaarufu Kama Taifa lenye mahusiano makubwa na mazuri na Tanzania. Limeonekana kuwa moja ya Taifa lenye nia nzuri na Tanzania kiasi kwamba Rais wake alipewa fursa ya mazungumzo ya lisaa limoja na Rais Wetu. Ila Taifa la China lilipewa kujenga bandari ya Bagamoyo baadaye...
  16. JamiiForums Tanzania China kuisaidia Tanzania ujenzi wa SGR na mradi wa umeme Mto Rufiji

    China imesema itaangalia namna ya kushirikiana na Tanzania katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati ikiwemo reli ya kati kwa kiwango cha kisasa (standard gauge railway) na bwawa la kuzalisha megawati 2,115 za umeme katika mto Rufiji (Bwawa la Mwl. Nyerere). Hayo yamesemwa na Rais wa...
  17. JamiiForums Tanzania Rais wa China ampigia simu Rais Magufuli, ampongeza kwa ushindi na kwa utekelezaji wa miradi ya kimkakati

    1. Amempongeza kwa ushindi. 2. Amempongeza kwa kukabiliana na Corona 3. Amempongeza kwa kazi nzuri aliyoifanya kwa miaka 5 iliyopita 4. Amesema anaiona Tanzania kuwa nchi itakayo ongoza kwa uchumi barani Africa 5. Amempongeza kwa utekelezaji wa miradi ya kimkakati ikiwemo mradi wa SGR, Nyerere...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Advanced Physics na Advanced Chemistry tunayo soma form five na six ndio inayosomwa U.S, China na mataifa mengine duniani.

    Habari za Leo wakuu, Kumbe Advanced Physics na Advanced Chemistry tunayosoma form five na six ndio hiyo hiyo inayosomwa U.S, China, Ufaransa na mataifa mengine. Tofauti ni moja tu sisi hutufanyi practical za tunacho kisoma. Ila hesabu, na maelezo yote ni yaleyale. Principal ni zile zile. Na...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma: China na Tanzania kuimarisha ushirikiano

    TAARIFA KWA UMMA CHINA NA TANZANIA KUIMARISHA ZAIDI USHIRIKIANO Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally Kakurwa amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China Nchini Tanzania Bi. Wang Ke. Mazungumzo hayo yamelenga katika kuendelea kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya China katika ajenda ya ujenzi wa viwanda barani Afrika

    Na Eric Biegon – Nairobi Ukuaji wa kasi wa uchumi wa China umekuwa tukio kuu katika karne ya 21. Historia ya taifa hilo unaashiria kuwa nguzo kuu ya mafanikio haya ni maendeleo ya viwanda vyake. Uwekezaji huu katika eneo la viwanda ulichangia kuongezeka maradufu kwa pato la taifa la China kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…