Wataalamu wa Tanzania na China live ktk TV mada: Covid-19

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,274
24,140
May 27, 2020
Covid-19 Frontline live on CGTN TV
Madaktari wa Kitanzania na China wazungumzia uzoefu wakihojiwa Live na Televisheni ya kimataifa ya CGTN
Habari nzuri madokta waTanzania toka Prof. Mohammed Janabi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Dr. Charles Hospitali ya Kairuki Memorial Dsm, Prof. Kaushik Ramaiya wa Hospitali ya Hindu Mandal Dsm, Dr . Moshi Ntabaye wa Kairuki Memorial Hospital Dsm na wenzao waliotoa huduma huko Wuhan Hubei, China wakibadilishana uzoefu kuhusu huduma ya matibabu kwa wagonjwa wenye kisukari, presha n.k huku pia wakiwa pia wamepata ugonjwa wa Covid -19

Covid - 19 Frontline
Live: China shares COVID-19 treatment experience with Tanzania



The COVID-19 pandemic has spread to 54 countries in Africa. As of Sunday, more than 500 confirmed cases and 21 deaths have been reported in Tanzania. CGTN invites veteran experts from Jiangsu Province who worked on the frontline in Hubei Province to share their first-hand COVID-19 treatment experience with their Tanzanian peers.

Source : CGTN English
 
Tupo tunasikiliza mazungumzo ya wataalamu hawa wa tiba ya binadamu.
 
Back
Top Bottom