china

  1. L

    JamiiForums Tanzania Tamasha la mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China lafanyika

    Tamasha la mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China lafanyika Leo Tarehe 31 Januari mwaka 2022 ni siku ya mkesha kwa ajili ya kuukaribisha mwaka mpya wa jadi kwa kalenda ya kilimo ya China, ambao rasmi unaingia tarehe Mosi Februari. Kwa utamaduni wa China, mwaka huu mpya utakuwa mwaka wa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wawekezaji Toka China

    Sijui kama taifa tunakwamia wapi. Sijui tunashindwa nini. Tunahangaika na wakina mbowe, wachina wanafanya mambo yao. Huu ndio ughaidi sasa, maana ni wenginsana wanafanya kazi kamanhizi mtaani. Huyu kijana anaitwa Xu Jiangping alikuwa ni mfungwa aliyekuja kwenye ujenzi wa barabara. Mkataba...
  3. L

    JamiiForums Tanzania China yaisaidia Afrika kuingia katika “zama za 5G"

    Hivi karibuni, China imeweka hatua mpya katika kuzisaidia nchi za Afrika kuendeleza mageuzi ya kidijitali. Kampuni ya mawasiliano ya simu ya Zambia ya MTN imeshirikiana na Huawei ya China kuzindua mtandao wa majaribio wa 5G, na kuifanya nchi hiyo kuwa miongoni mwa nchi za awali barani Afrika...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kifedha wa China kwa Afrika "kupiga breki"?

    Hassan Zhou Hivi majuzi, makala ya gazeti la Financial Times yenye kichwa "Mkopo wa China kwa Afrika Wapiga Breki" imenukuliwa na vyombo vya habari vya ndani na nje ya Afrika. Ikitaja hatari ya kushindwa kulipa madeni katika baadhi ya nchi za Afrika, makala hiyo ilisema China "imetuma ishara...
  5. L

    JamiiForums Tanzania China inatoa msaada kwa nchi za Afrika, ili nchi za Afrika zisiombe msaada tena katika siku za baadaye

    Fadhili Mpunji Moja ya mada zinazojadiliwa katika uhusiano kati ya China na Afrika ni msaada. Hivi karibuni, ofisa mwandamizi wa shirika la misaada ya kimataifa la China (CIDCA) Bw. Liu Junfeng kwenye mkutano uliofanyika Beijing alieleza kwa kina utaratibu wa China katika kutoa misaada kwa nchi...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa China kwa nchi za Afrika: Je ni mzigo wa madeni?

    Caroline Nassoro Vyombo vingi vya habari vya nchi za Magharibi pamoja na baadhi ya wanasiasa katika nchi hizo wanadai kuwa, China inaibebesha Afrika mzigo wa madeni, na kwamba inaendeleza ukoloni mamboleo kwa nchi hizo. Tukiangalia kwa undani, uhusiano wa China na nchi za Afrika ni wa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania China yabeba jukumu muhimu la kuwa nchi inayohimiza amani katika Afrika na dunia kwa ujumla

    China inaendelea kuonesha umuhimu wake duniani hasa katika bara la Afrika baada ya kutangaza kwamba itateua mjumbe maalumu katika pembe ya Afrika, ambayo imekuwa ikikabiliwa ni migogoro kila uchao. Hii pia inaonesha kwamba nchi hii kubwa ya Asia ina wasiwasi na hali ya usalama katika kanda hiyo...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kwa idadi ya Waafrika wanaoishi nchini China, ni wazi Afrika inazalisha nguvu kazi kwa nchi zilizoendelea

    Kuna idadi kubwa sana ya Waafrika nchini China, Waghana na Wanajeria wana mpaka food joints zinazopika vyakula vyao, hii yote ni kuhudumia idadi kubwa ya watu wao waliokwenda kutafuta maisha huko. Canada wanatoa offer za scholarships kwa undergraduates kusoma degree katika vyuo. Lengo kuu ni...
  9. kokudo

    JamiiForums Tanzania Wauza Vipodozi hutoa wapi bidhaa Kati ya China, Turkey na US?

    Kati ya nchi hizo wapi wanatoa vipodozi affordable price and original? Najua kuna product zinatoka China na ni bora kabisa je ni zipi?
  10. L

    JamiiForums Tanzania Afrika yafaidika na maendeleo ya China katika sekta ya sayansi na teknolojia

    Mwezi Oktoba mwaka jana, aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) Bill Burns alisema kuwa, Shirika hilo linaanzisha vituo viwili vikubwa, kimoja kikilenga China na kingine teknolojia zinazoongoza. Hatua hiyo iliashiria kuwa, kiongozi huyo anaamini kuwa, uwanja mkubwa wa...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Usalama, ufunguo mpya wa ushirikiano kati ya China na Afrika

    Mwanzoni mwa mwaka mpya, waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi alipendekeza "Mpango wa Maendeleo ya Amani katika Pembe ya Afrika" wakati wa ziara yake katika nchi tatu za Afrika, na kutangaza kumteua mjumbe maalum ili kuonesha jukumu kubwa zaidi la China katika kukuza amani katika eneo...
  12. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Haya magari ya umeme toka China yanashawishi

    Sijui tunafeli wapi wanazengo ila kimsingi natamani sana kama tungeanza kuhamia huku mdogo mdogo. Hii gari ni ya usd 8000 tu roughly kama 18.5m hivi kwa wanaonunua gari za 25-30M naona kama hii chuma inanunulika kabisa. Kigari kina Range ya 360KM per single charge which is fair enough kwa...
  13. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania China yaanza kujadali mikakati ya reli ya SGR kuunga hadi Rwanda, DRC, Uganda na Sudan Kusini

    Mataifa yote hayo kuunga kwenye reli moja kutokea Mombasa, mazungumzo yameanza na mikakati kupangwa...... Nairobi. China is proposing a grand infrastructure plan for the Horn of Africa that would involve expanding the two major railroads and developing ports on the Red Sea and the Indian Ocean...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Wang Yi kuhimiza zaidi ushirikiano kati ya China na Kenya

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya hivi karibuni alipohudhuria hafla ya kumalizika kwa mradi wa bandari ya mafuta ya Mombasa uliojengwa na kampuni ya China pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi aliyekuwa ziarani nchini humo, amesema Kenya na Afrika zinahitaji marafiki wanaopenda...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ya mapapai kukutwa na Corona yaibuka upya China

    Katika hali ya kuonesha jinsi Dunia inavyotumia mbinu za yule shujaa wa Afrika kukabiliana na Maladhi yenye utata yaliyopewa jina la Covid19 nchi ya China imefanikiwa kubaini matunda yenye virus vya korona yaliyokuwa yanaingizwa China kutoka nchi ya Vietnam Mpaka sasa supermarket kadhaa...
  16. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya received rice donation from China to fight hunger

    Kenya and China sign six trade agreements THURSDAY JANUARY 06 2022 China's Foreign Minister Wang Yi (L) is received by his Kenyan counterpart, Raychelle Omamo (R) at the Sarova Whitesands Hotel where they met for a bilateral meeting between Kenyan and Chinese officials in the Kenyan coastal...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya nje wa China atembelea Afrika mwanzoni mwa mwaka mpya kwa miaka 32 mfululizo

    Mwanzoni mwa mwaka mpya, Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi ambaye pia ni mjumbe wa taifa wa China ametembelea nchi tatu za Afrika, ambazo ni Eritrea, Kenya na Comoro. Huu ni mwaka wa 32 mfululizo kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa China kufanya ziara ya kwanza ya mwaka mpya katika nchi za...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya nje wa China afanya ziara ya mwanzo wa mwaka barani Afrika

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi anafanya ziara yake ya kwanza ya kidiplomasia barani Afrika mwaka huu, ziara ambayo imekuwa ni desturi kwa waziri wa mambo ya nje wa China kwa miaka 32. Ziara hii inafanyika ikiwa ni sehemu za mpango wa muda mrefu wa China wa kuimarisha uhusiano wa...
  19. February Makamba

    JamiiForums Tanzania Kwanini bara la Asia (hususani China & India) kuna watu wengi mno?

    Nimekua nikiamini kuwa hakuna bara linaloifikia Afrika kwa uzuri wa kusapoti uhai, yaani vitu kama rasiliamali nyingi, hali ya hewa, ardhi yenye rutuba, maji ya kutosha(sub saharan), wanyama wengi wa kuwinda/kula nk. nk. Pia nimekua nikiamini kuwa Afrika ndipo binadamu wa kwanza walipoishi...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Hong Kong: Zaidi ya Maafisa wa Polisi 200 wavamia Ofisi ya Stand News

    Polisi imewakamata watu 6 kutoka Tovuti ya Habari ya Stand News kwa tuhuma za njama ya kuchapisha machapisho ya uchochezi. Ofisi ya Tovuti hiyo imevamiwa na zaidi ya Maafisa 200 Polisi wamesema waliidhinishwa kutafuta na kukamata nyenzo muhimu za Habari. Mapema mwaka huu, Polisi walivamia...
Back
Top Bottom