china

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya China katika usafirishaji na ushauri wake kwa nchi za Afrika

    Na Gianna Amani Kampuni ya utengenezaji wa magari ya King Long iliyopo katika Mkoa wa Fujian imeeleza namna ilivyopenya katika soko la dunia na kuziambia nchi za Afrika juu ya magari wanayopaswa kuchagua hivi sasa. Kampuni hiyo ambayo ilianzishwa mwaka 1988, mbali na kutengeneza magari tofauti...
  2. N

    JamiiForums Tanzania China imeondoa ushuru kwa bidhaa za Tanzania

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa, Kwa mara ya kwanza Jamhuri ya watu wa China imepitisha uamuzi wa kuondoa kodi (Zero-Tarrif) kwa asilimia 98 ya bidhaa zinazotoka Tanzania kuanzia Mosi Disemba 2022. Msamaha huu kwa bidhaa za Tanzania ni matokeo ya juhudi za Rais Samia katika kukuza diplomasia...
  3. Egwugu

    JamiiForums Tanzania Eti wababe nao US, Russia na China waongozwe na Wabeijing akina Hayanga

    Hii dunia ina tabu sana kusema kweli, na shida hizi zinakuja zaidi kwa vi nchi maskini ama kwa nchi zisizo na malengo yoyote ya kuikamata Dunia hii, kKwa kifupi wale waliyotayari kuendelea kuwa wanyonge wa wengine. US wakili wa demokrasia alipata uhuru 1776, China ndiyo ulikofanyika mkutano wao...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Tanzania waendelea kuimarika

    Caroline Nassoro Mwaka 2013, ndani ya mwezi mmoja tangu aingie madarakani, rais Xi Jinping wa China alifanya ziara nchini Tanzania, ambako alitumia ziara hiyo kutambulisha sera ya nchi yake kuelekea bara la Afrika, akisisitiza kuwa pande hizo mbili zitaendelea kutegemeana katika nyanja zote...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Je, ni kweli Mikopo na Misaada ya China kwa nchi za Afrika imejaa mitego ya Kisheria?

    Je, ni kweli Mikopo na Misaada ya China kwa nchi za Afrika imejaa 'Mitego ya kisheria'? China inaonesha kwenda kuwa taifa kubwa kiuchumi na kuziondoa nchi za magharibi katika nguvu walizonazo. Je, waafrika wategemee kitu gani? Ungana nasi katika Mjadala na Wataalamu na Wadau wa Uchumi, kupitia...
  6. MANKA MUSA

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kuuza bidhaa zetu China bila kodi isitupite kabisa

    Kupitia kwa balozi wa Tanzania China kuna taarifa muhimu za Biashara kati ya Tanzania na China. Sehemu ya ujumbe huo imesomeka hivi namnukuu. “Serikali ya China kuijumuisha Tanzania kuwa miongoni mwa nchi 10 zitakazonufaika na uamuzi wake wa kutotoza ushuru kwa 98% ya bidhaa zitakazouzwa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Maonesho ya Biashara ya China CIIE yaongeza idadi ya wateja wa makampuni ya Afrika

    Maonesho ya kimataifa ya Uagizaji Bidhaa nchini China (CIIE) ya mwaka 2022, yamemalizika hivi karibuni huko Shanghai. Maonesho haya yameonekana kuongeza chachu kwenye uhusiano wa kiuchumi na kuufanya uendelee mbele zaidi, baada ya mikataba iliyosainiwa na makampuni yaliyoshiriki kwenye maonesho...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Fursa zaidi za ushirikiano kati ya China na Tanzania zatangazwa wakati wa ziara ya Rais Samia Suluhu wa Tanzania nchini China

    Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania amemaliza ziara yake ya siku 3 nchini China, baada ya kufanya mazungumzo na mwenzake wa China Xi Jinping na kufikia makubaliano kadhaa, na kusaini mikataba 15 ya utekelezaji wa hatua za ushirikiano. Ziara hii imetajwa kuwa ni ziara yenye mafanikio makubwa, na...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Thamani ya Tanzania kwa China ni kubwa baada ya kuchaguliwa mara mbili na Rais Xi Jinping

    China na Tanzania ni nchi ambazo zimekuwa na urafiki, undugu na ushirikiano wa kina tangu enzi za waasisi Mwenyekiti Mao Zedong na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Urafiki huu umeendelea kudumishwa na viongozi wengine wote wa pande zote mbili waliofuatia baada ya waasisi hao, na kuendelezwa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Bidhaa za Afrika zaoneshwa kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China CIIE

    Bidhaa za Afrika kama vile kahawa ya Ethiopia, divai ya Afrika Kusini, maparachichi ya Kenya, n.k. zinatangazwa kwenye Maonyesho ya kimataifa ya Uagizaji bidhaa ya China (CIIE). maparachichi ya Kenya pilipili ya Rwanda kahawa ya Ethiopia asali ya Zambia divai ya Afrika Kusini
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu hapa mkataba wa Kenya na Benki ya China ya kupata mkopo kwa ajili ya SGR

    Mkataba huu wa Kenya kuomba $1.6 Bilioni, mkopo wa kibiashara ambao una riba ya 2%. Umesheheni masharti ya kutosha kwa kuwa ni kama mkopo wa kibiashara. Aidha vitu vyote vitakavyonunuliwa kwa ajili ya mradi huo havitatozwa kodi.
  12. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Taiwan yarusha ndegevita baada ya kugundua vikosi vya China vilivyo karibu

    Ulinzi wa Taipei umeanzishwa kujibu shughuli za hivi karibuni za kijeshi za Beijing karibu na kisiwa kinachojitawala. Vikosi vya jeshi la Taiwan vimechukua hatua ya kuonya ndege za China na vyombo vya majini vilivyogunduliwa karibu na kisiwa hicho kinachojitawala, hii ikiwa ni pamoja na ndege...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa anga za juu kati ya China na Afrika watarajiwa kukua kwa kasi

    Moduli ya majaribio ya Mengtian ya Kituo cha Anga za Juu cha China Tiangong hivi karibuni ilirushwa angani na kuunganishwa kwa mafanikio na moduli kuu ya Tianhe. Kwa hatua hiyo, ujenzi wa Kituo cha Tiangong kilichoundwa na moduli za Tianhe, Mengtian na Wentian umekamilika, na ukurasa mpya wa...
  14. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mikataba 15 iliyosainiwa huko China iangaliwe kwa umakini mkubwa, Wachina huwa hawakosei

    Mikataba
  15. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania China yasamehe baadhi ya madeni ya Tanzania

    Ikiwa ni mwendelezo wa ziara ya kiserikali ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan nchini China. Leo tarehe 03 Novemba 2022, China imesamehe baadhi ya madeni ya Tanzania. Sambamba na hilo; Rais Samia Suluhu Hassan na Rais wa China Xi Jinping...
  16. Z

    JamiiForums Tanzania China na Tanzania siyo tu marafiki bali ni ndugu wa damu

    Hakika kama urafiki unapaswa kuhalalishwa kuwa ndugu basi Chini siyo tu raifiki yetu bali ni ndugu yetu wa damu tangu enzi. Chini kihistoria ni mjamaa mwenzetu wa enzi na enzi. wasiojua historia ndiyo watashangaa, lakini China siyo tu rafiki yetu bali ni ndugu yetu wa damu. Mungu ubariki udugu...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mapokezi Rasmi ya Rais Samia Nchini China

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokelewa na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping katika ukumbi wa Great Hall of the People, nchini China leo tarehe 03 Novemba, 2022 ===== Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama...
  18. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Ujerumani inaizunguka Marekani kwa kuzungumza na China

    Ziara ya hivi karibuni ya Olaf Scholz nchini China ni ujumbe kwamba Washington haiwezi kulazimisha sera ya nje ya Berlin. Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz anatazamiwa kuzuru China wiki hii. Ni alama ya safari yake ya kwanza kabisa katika nchi ya Asia, huku kukiwa na mvutano unaoongezeka kati ya...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amewasili salama China, hii hapa picha akiwa Uwanja wa Ndege Beijing

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Peking, Beijing nchini China kwa ajili ya ziara ya Kiserikali tarehe 02 Novemba, 2022. ================ Kufahamu ziara nyingine za rais Samia tangu aingie madarakani soma...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Watoto wa shule ya chekechea waenda mashambani na kujifunza ujuzi wa kilimo mkoani Zhejiang, China

    Shule ya chekechea mjini Huzhou mkoani Zhejiang, mashariki mwa China Novemba mosi ilifanya shughuli ya “Darasa la mashambani”, ambako watoto walikwenda mashambani kujifunza ujuzi wa kilimo kupitia njia ya kuchora picha za mavuno, kutambua mimea ya mpunga na kutengeneza sanamu ya kuwinga ndege.
Back
Top Bottom