Saa 2 usiku wa tarehe 21 Januari, likiambatanishwa na wimbo unaoimbwa na watoto, tamasha la mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China ambalo limeandaliwa na Shirika kuu la utangazaji la China CMG limerushwa hewani, na kutoa "Chakula cha jioni cha Kitamaduni cha Mwaka Mpya" kwa watu wa China kote...
Siku chache baada ya waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Qin Gang kufanya ziara ya siku tano barani Afrika, Waziri wa mambo ya nje wa Fedha wa Marekani Bibi Yellen Jaret ameanza ziara yake ya siku 10 barani Afrika itakayomfikisha Senegal, Zambia na Afrika Kusini, akiwa na ujumbe kuwa Marekani...
Januari 19, huko Wenzhou, mkoa wa Zhejiang, China, katika makazi ya Luyuan, Wilaya ya Lucheng, wakazi waliwafundisha wanafunzi wa kigeni kuandika neno "Fu" (linamaanisha "baraka" katika lugha ya Kichina) ili kusherehekea sikukuu ya mwaka mpya wa jadi wa China.
Kwenye kitongoji kilichoko kusini mwa mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa, kuna jengo moja la kisasa linalong'aa chini ya anga ya bluu na mawingu meupe. Jengo hili ni awamu ya kwanza ya mradi wa Makao Makuu ya Kituo cha Kudhibiti na Kukinga Magonjwa cha Afrika (Africa CDC) unaofadhiliwa na China...
Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Qin Gang amemaliza ziara yake ya siku tano barani Afrika ilivyomfikisha Ethiopia, Gabon, Angola, Benin, na Misri. Hii ni ziara ya kwanza ya kikazi ya Bw. Qin Gang tangu ateuliwe kuwa waziri wa mambo ya nje wa China, na imefanyika wakati ushirikiano kati ya...
Jumapili, Januari 8, 2023, China ilitangaza kulegeza zaidi hatua za udhibiti wa virusi vya Corona, na kuondoa masharti ya kuweka wasafiri karantini mara wanapowasili nchini China kama ilivyokuwa kipindi cha nyuma.
Tangu mlipuko wa COVID-19 ulipotokea mwishoni mwa mwaka 2019 na kesi ya kwanza...
Kijana wa China Chang Yangyang, ambaye ni mrithi wa utamaduni usioshikika wa China anaonyesha kazi zake za sanaa ya kukata karatasi zinazohusu mada ya Sungura katika kukaribisha Mwaka Mpya wa Jadi wa China wa Sungura.
China imetoa ripoti ikieleza vifo vilivyorekodiwa kuwa ni 59,938 kati ya Desemba 8, 2022 hadi Januari 12, 2023 ambapo wengi waliofariki ni wenye umri wa miaka 80 waliokuwa na matatizo ya upumuaji.
Inadaiwa takwimu kamili ya vifo inaweza kuwa kubwa kwa kuwa zilizotolewa ni zile ambazo...
Serikali ya Uganda imesitisha mkataba wa Dola Bilioni 2.2 (Tsh. Trilioni 5.1) wa Kampuni ya CHEC ya China kujenga reli ya Standard Gauge Railway (SGR) ya Kilometa 273 kutoka Malaba hadi Kampala kutokana na mvutano wa kimaslahi.
Hivyo, Uganda imeingia makubaliano ya awali na Kampuni ya Uturuki...
Baada ya miaka 8 ya kushindwa utekelezaji, Serikali ya Uganda imesitisha mkataba wa Kampuni ya China Harbour Engineering Company (CHEC) ya kujenga awamu ya kwanza ya reli ya kisasa (SGR), njia ya kilomita 273 kutoka Malaba hadi Kampala.
Njia hiyo, inayoanzia mpaka wa Malaba kati ya Uganda na...
Nchi za magharibi hazijaamini hadi sasa kuwa Urusi imeweza kuhimili vikwazo lukuki vya kiuchumi, kinyume chake nchi za magharibi hususan ulaya magharibi ndizo zilizoumia zaidi. Ilitegemewa kuwa urusi itashindwa kuhimili na hivyo kushindwa kuendesha vita vyake dhidi ya ukraine.
Kwa upande...
Kuanzia tarehe 8 mwezi Januari, China imerekebisha hatua zake za kukabiliana na janga la COVID-19 kutoka ngazi A hadi B. Kwa mujibu wa hatua mpya, watu walioambukizwa na virusi vya Corona hawatawekwa karantini tena, na watu wanaoingia nchini China kutoka nchi za nje pia hawatalazimishwa tena...
Imechukua uamuzi huo ambao utaendelea hadi vikwazo walivyoita vya ‘kibaguzi’ dhidi ya Wachina wanaotaka kuingia katika Nchi hizo vitakapoondolewa.
Japan na Korea Kusini ni baadhi ya mataifa ambayo yameweka vikwazo dhidi ya wasafiri wanaotoka China kutokana na taifa hilo kulegeza msharti ya...
Kwa mujibu wa Ripoti ya Freedom House Mwaka 2022, Mazingira ya Haki Za Binadamu Mtandaoni yamezorota katika Nchi 28.
Katika Nchi 70 zilizofanyiwa Tathmini (sawa na 89% ya Watumiaji wa Intaneti Duniani) imebainika 37% Hazipo Huru, 34% zina Uhuru Kiasi na 18% zipo Huru.
Kwa Mwaka wa Nane...
Kuanzia tarehe 9 hadi 16 mwezi huu, waziri mpya wa mambo ya nje wa China Bw. Qin Gang atafanya ziara nchini Ethiopia, Gabon, Angola, Benin, Misri, na pia kutembelea makao makuu ya Umoja wa Afrika na ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu.
Hii sio tu ni ziara ya kwanza ya mambo ya nje ya Qin Gang akiwa...
Think Tank: Simulation Predicts Taiwan Could Defeat China With US-Japan Aid in Invasion Scenario
A simulation run by the Center for Strategic and International Studies (CSIS) think tank has determined that Taiwan would come out as a victor if faced with a Chinese invasion in 2026, assuming it...
Hivi karibuni, serikali ya China imeboresha na kurekebisha hatua za kukabiliana na virusi vya COVID-19 kulingana na wakati na hali.
Kuanzia Januari 8, watu wanaokuja China watapimwa virusi saa 48 kabla ya kuondoka, na wale wasioambukizwa wanaweza kuja China. Hatua hii itaandaa mazingira bora...
Nimekuwa nikifuatilia mitandaoni ambako taarifa za hali ya UVIKO huko china imekuwa ya kutisha. Yaonekana kuwa kuna vifo vingi, wagonjwa wengi to the tune of having no space in hospitals, having no support facilities na taabu nyingine nyingi. Najaribu kujiuliza, sisi tumejiandaa namna gani na...
Zaidi ya akaunti 1,000 baadhi zikiwa na wafuasi zaidi ya milioni zimefungiwa kwa kuonekana zinaikosoa Serikali katika mkakati wake unaoendelea kuhusu maambukizi ya ugonjwa huo.
Hivi karibuni China ililegeza masharti ya wasafiri kuhusu tahadhari za ugonjwa huo na inadaiwa imechangia kuongezeka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.