china

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais wa Tanzania nchini China kuleta fursa mpya kwa maendeleo ya uhusiano kati ya nchi hizo mbili

    Mkuu wa Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Profesa Aldin Mutembei, amesema, ziara ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan nchini China itaendeleza uhusiano kati ya nchi hizo mbili. Profesa Mutembei amesema, ziara hiyo ya siku tatu kuanzia tarehe 2 hadi 4 itatoa fursa zaidi...
  2. L

    JamiiForums Tanzania China yajizatiti katika kujenga jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja

    Mkutano Mkuu wa 20 wa Wajumbe Wote wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) umemalizika hivi karibuni. Mkutano huu una umuhimu mkubwa kwa Wachina na hata jamii ya kimataifa. Akitoa ripoti katika ufunguzi wa mkutano huo, Xi Jinping alisema, China daima imeshikilia malengo ya sera yake ya kigeni...
  3. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanzo mzuri kwenye ushirikiano kati ya China na Kenya katika Serikali mpya

    Ni muda mfupi sasa tangu Rais William Ruto aingie madarakani, na polepole ameanza kuweka mipango ya utekelezaji wa sera atakazozipa kipaumbele katika kipindi chake cha uongozi. Wakati vumbi la uchaguzi sasa limetua, ufuatiliaji hasa kuhusu sera za uchumi na jinsi zitakavyogusa wananchi wa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais wa Tanzania nchini China ni ishara ya kuimarika kwa uhusiano kati ya nchi hizo mbili

    Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Mambo ya China ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Profesa Humphrey Moshi amesema, ziara ya rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan nchini China itaimarisha uhusiano kati ya nchi hizo mbili. Profesa Moshi amesema, ziara ya rais Samia nchini China si kama tu ni...
  5. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania China: Tutaiunga mkono Urusi katika 'kushinda matatizo'

    China imeahidi kuiunga mkono Urusi inapokabiliana na nguvu ya pamoja ya nchi za Magharibi, Waziri wa Mambo ya Nje Wang Yi aliripotiwa kumwambia mwenzake wa Urusi Sergey Lavrov wakati wa mazungumzo ya simu siku ya Alhamisi, ambapo maafisa hao wawili waliapa kuunga mkono juhudi zao za kijiografia...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mahusiano kati ya Tanzania na China yanaimarishwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya Ziara ya Kitaifa nchini China kuanzia tarehe 2-4 Novemba 2022. Hii ni kufuatia Mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Xi Jinping. Taarifa hiyo imetolewa leo na Wizara ya Mambo ya Nje China. Tanzania na China...
  7. MANKA MUSA

    JamiiForums Tanzania Xi Jinping amualika Rais Samia China

    Rais wa Jamhuri ya watu wa China, Xi Jinping amemualika Rais wa Tanzania, Samia Suluhu nchini humo kuanzia tarehe 2 Nov hadi tarehe 4 November 2022 ziara ya kikazi. Kila la heri Rais Samia katika ziara yako. Mengi mtakayojadili ni kwa faida ya watanzania.
  8. L

    JamiiForums Tanzania China inaithibitishia dunia kuwa njia za kisasa

    Mkutano Mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomunisti cha China CPC ulimalizika hivi karibuni mjini Beijing. “Njia ya China Kujiendeleza Kisasa” iliyotolewa kwenye Mkutano huo sio tu ilivunja mantiki ya baadhi ya nchi kwamba "usasa ndio mtindo wa kimagharibi”, bali pia inatoa njia mpya ya kujiendeleza...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Roboti yasaidia kuongeza ufanisi wa uzalishaji wa pombe kiwandani mkoani Anhui, China

    Roboti ya kutengeneza pombe inafanya kazi katika kiwanda cha kutengeneza pombe mjini Fuyang, mkoani Anhui, China.
  10. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Nishati ya Urusi kwenda China yavunja rekodi ya kiwango tangu Februari-Septemba

    Mauzo ya Nishati hasa gesi kutoka Urusi ya vikwazo kwenda China yamevunja rekodi ya kiwango kikubwa. Kocha ya mashinikizo toka Magharibi bado na taifa makubwa ya mashariki na mengineyo duniani yameendelea kupiga kazi na Msovieti mkuu. Winter is coming! Overall exports have surged to over $50...
  11. Wand

    JamiiForums Tanzania KWELI Ubalozi wa China wakanusha kufungua vituo vya Polisi Afrika ikiwemo Tanzania

    Madai Shirika la utangazaji la BBC liliripoti kuwa nchi ya China ina mpango wa kufungua vituo vya polisi nchini Nigeria, Lesotho na Tanzania ili kudhibiti vitendo vya uhalifu vinavyofanywa na raia wake wanaoishi katika nchi hizo tatu za Afrika, tovuti inayomilikiwa na mtu binafsi ya Nigeria ya...
  12. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Covid-19 yaibuka kwa kasi mpya China, watanzania tumejipangaje?

    Ugonjwa wa Covid-19 umeibuka tena China kwa speed ya 5G . Waziri wa afya wajulishe watanzania mapema cha kufanya tusisubiri gharika hadi ije. Ubalozi wa Tanzania china umepiga kimya ila Hali kule Sio shwari.
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya ufundishwaji wa masomo ya sayansi kwa Afrika na China

  14. Q

    JamiiForums Tanzania China kufungua vituo vya Polisi Afrika ikiwemo Tanzania. Ubalozi wa China wakanusha

    BBC. China inadaiwa kufungua vituo vya polisi nchini Nigeria, Lesotho na Tanzania ili kudhibiti vitendo vya uhalifu vinavyofanywa na raia wake wanaoishi katika nchi hizo tatu za Afrika, tovuti inayomilikiwa na mtu binafsi ya Nigeria ya Vanguard imeripoti. Wakiwanukuu watetezi wa Usalama...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Watu wa kabila la Wamiao nchini China washerehekea mavuno

    Kwenye eneo la Kusini Mashariki mwa mkoa wa Guizhou, China watu wa kabila la Wamiao walivaa mavazi ya kijadi na kusherehekea mavuno.
  16. M

    JamiiForums Tanzania China tipped to overtake US as military power with Xi now ‘more powerful’ than Mao

    China tipped to overtake US as military power with Xi now ‘more powerful’ than Mao In a rather uncommon incident, protest banners criticizing the Chinese President were sighted last week. According to prominent Tory MP Tobias Ellwood, Xi Jinping is now even more powerful than Mao Zedong, who...
  17. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania China imewataka raia wake waondoke Ukraine haraka

    Mamlaka za China zimewataka raia wake waliopo nchini Ukraine kuondoka mara moja na Serikali itaratibu mpango huo.
  18. L

    JamiiForums Tanzania Beijing: Maonesho ya mafanikio ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) yafanyika siku chache kabla ya mkutano mkuu

    Zikiwa zimebakia siku chache kabla ya kuanza kwa mkutano mkuu wa Chama cha Kikomnisti cha China (CPC) maonyesho mbalimbali yameandaliwa jiji Beijing ambayo kwa sehemu kubwa yanaonyesha mafanikio ya utawala wa chama hicho ndani ya muongo mmoja uliopita. Maonyesho hayo yenye kauli mbiu isemayo...
  19. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zajenga kielelezo cha ushirikiano wa Kusini na Kusini

    Likiwa kama bara lenye idadi kubwa ya nchi zinazoendelea, Afrika inaweza kusemwa kuwa "chanzo cha msingi" wa diplomasia ya China. Ikiwa ni nchi kubwa zaidi inayoendelea na moja ya nchi za Kusini, China imefanya juhudi za kuimarisha ushirikiano wa kirafiki kati ya Kusini na Kusini na nchi za...
  20. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zimekuwa jumuiya yenye mustakabali wa pamoja

    Nusu karne iliyopita, Wachina wapatao elfu 50 wake kwa waume walikwenda Afrika wakiwa wamejawa na moyo wa urafiki na kufanya kazi bega kwa bega na watu wa Tanzania na Zambia kujenga Reli ya Tanzania-Zambia (TAZARA). Zaidi ya Wachina 60 walipoteza maisha yao kwa kazi hii. Katika ziara yake ya...
Back
Top Bottom