chatgpt

ChatGPT (Generative Pre-trained Transformer) is a chatbot launched by OpenAI in November 2022. It is built on top of OpenAI's GPT-3 family of large language models, and is fine-tuned (an approach to transfer learning) with both supervised and reinforcement learning techniques.
ChatGPT was launched as a prototype on November 30, 2022, and quickly garnered attention for its detailed responses and articulate answers across many domains of knowledge. Its uneven factual accuracy was identified as a significant drawback.
Following the release of ChatGPT, OpenAI was reportedly valued at $29 billion.

View More On Wikipedia.org
  1. Bullshit

    JamiiForums Tanzania Nchi zinazoongoza kusalitiana kimapenzi kwa msaada wa ChatGPT

    Kulingana na tafiti mbalimbali, nchi zinazoongoza kwa viwango vya juu vya usaliti zinaweza kutofautiana kulingana na vigezo kama vile tafiti za mahusiano, viwango vya talaka, na utamaduni wa mahusiano katika jamii hizo. Hata hivyo, nchi zinazotajwa mara kwa mara kuwa na viwango vya juu vya...
  2. likat

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya ChatGPT na poe kulemaza akili

    Uwezo wa kufikiri wa mwanadamu unazidi kuathiriwa na matumizi ya mifumo ya akili bandia kama ChatGPT na mifumo mingine. Ni kweli inarahisisha mambo kwa kiwango cha juu lakini akili za mtu zinazidi kudumaa.
  3. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Magaidi wasihusishwe na Uislamu

    WAKATI vita ya Israel na Hamas inaendela, Waislamu wa HAMAS wakishajihishwa na Iran pamoja kundi la HEZBULAH lenye ufadhili wa Matajiri wanaoshinda CAsiino za Quatar ndio makundi yenye shughuli nyingi kwa sasa. Je Makundi haya ya uhusiano na waislamu au waislamu wanayakana haya makundi? JE...
  4. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Kumbe huyu kijana wa ChatGPT - Sam Altman ni shoga, naona jana ilikua harusi yake.

    Kumbe yule CEO machachari aliefukuzwa na board ya kampuni yake ya OpenAI na kurudishwa tena baada ya muda mfupi ni shoga. Huyu kijana Sam Altman alipata umaarufu baada ya hio Coup de tat ilioshindikana ndani ya OpenAI. Ni wazi sasa AI ni mpango wa watu wa New World Order na ndio maana watu...
  5. Cybergates

    JamiiForums Tanzania Founder na aliekua CEO wa Open AI (chatGPT) Sam Altman amafukuzwa kazi na management

    Haya sasa Kumekucha huko marekani CEO wa chatgpt sama mda huu amafukuzwa kazi na management kwa kuonekana hayupo competent kwenye position ya uongozi ( CEO ) Ikumbukwe kwamba idea nzima ya chatGPT ilikua yake, development na programming amefanya yeye na rafiki zake Kiufupi amafukuzwa kwenye...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Winshear Gold Corp. v. United Republic of Tanzania (ICSID Case No. ARB/20/25): Taarifa Fupi (Sehemu ya kwanza kama iliyovyoandikwa na ChatGPT)

    Summary 📋 Tanzania expropriated the SMP gold project, a 12-year-long investment to explore and develop a gold mine, without offering prompt, adequate, and effective compensation, violating the Canada-Tanzania bilateral investment treaty. Facts Tanzania attracted foreign mining investments in...
  7. kali linux

    JamiiForums Tanzania USHAHIDI: Leo nimeamua kui-challenge ChatGPT kwenye uwezo wa kusuka algorithms lakini nadiriki kusema 'AI is not yet super helpful'

    Hello bosses and roses, Miezi kadhaa iliopita nilisikia watu wanatishia kwamba kwa kuwa ChatGPT ina uwezo wa kugenerate 'codes' na kutengeneza algorithms basi sector ya programming nayo imeingiliwa na hili 'TOY'. Naliita toy sababu kwangu mimi naona ni Toy tu hasa tukilileta kwenye sector ya...
  8. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Artificial Intelligence poses “risk of extinction”, warns ChatGPT Founder and other AI Pioneers

    Artificial Intelligence poses “risk of human extinction,”warns ChatGPT founder and other AI pioneers Artificial intelligence tools have captured the public’s attention in recent months, but many of the people who helped develop the technology are now warning that greater focus should be placed...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Car diagnosis device with chatGPT

    Nawaza, chatGPT au hata google bard zimekua msaada mkubwa kutoa majibu ya issue mbalimbaliu kwa siku za karibuni. Naona kama hizi car diagnosis devices zikiwa integrated na chatGPT au google bard zitakua more eeficient. Kwa sasa hizi devices zinatoa results kwa code, ambazo kama sio mtaalamu...
  10. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nini teknolojia kama ChatGPT haikuvumbuliwa China?

    Watu wengi husema China iko mbali kiteknolojia na mimi pia niliamini hivyo lakini swali la kujiuliza ni kwa nini teknolojia kama ChatGPT haikuvumbuliwa China na badala yake sasa makampuni ya kiteknolojia ya kichina yanapambana kutoa product kama ChatGPT? Makampuni mengi ya kichina makubwa...
  11. sanalii

    JamiiForums Tanzania Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

    ChatGPT ni artificial intelligence iliotengenezwa na openAI, unaweza iuliza ikuandikie barua, report, inaweza kutengeneza website na mengine mengi, yajayo ni hatari sana
  12. Tanzanite Digital Agency

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kupata Kazi Fiverr (Approved Method)

    Wakati dunia inazidi kubadilika technologically, Nchi za Ki-Africa hatuna sababu ya kubaki nyuma maana resources zote za mtandaoni ni za dunia na wala si nchi fulani. Nadhani kama umepata kuona Ai mpya ya chat GPT utagundua within 5 years kama utalala sasahivi, basi utakuwa nyuma sana. Lakini...
Back
Top Bottom