chatgpt

ChatGPT (Generative Pre-trained Transformer) is a chatbot launched by OpenAI in November 2022. It is built on top of OpenAI's GPT-3 family of large language models, and is fine-tuned (an approach to transfer learning) with both supervised and reinforcement learning techniques.
ChatGPT was launched as a prototype on November 30, 2022, and quickly garnered attention for its detailed responses and articulate answers across many domains of knowledge. Its uneven factual accuracy was identified as a significant drawback.
Following the release of ChatGPT, OpenAI was reportedly valued at $29 billion.

View More On Wikipedia.org
  1. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Open AI imezindua Browser yake ya Atlas, Ongezeko la AI Browsers lina madhara yeyote?

    OpenAI imezindua ChatGPT Atlas, browser ya akili mnemba itakayofanya kazi kwa ukaribu na chatbot maarufu ya ChatGPT, suala linalotarajiwa kuleta muelekeo mpya dhidi ya utawala wa Google Chrome. Uzinduzi huu ni hatua nyingine ya OpenAI ya kutaka kunufaika kupitia watumiaji milioni 800 wanaotumia...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Suluhu za AI—ChatGPT PRO kwa Biashara

    ChatGPT Pro ni mpango wa malipo wa kiwango cha juu (gharama: $200/mwezi), —ikiwa ni pamoja na upatikanaji usio na kikomo* wa GPT-5, sauti ya hali ya juu (advanced voice), na vipaumbele vya trafiki ili kuepuka vizuizi wakati wa msongamano. Ni chaguo linalolenga “power users” kama watafiti na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni shughuli pevu kuwakwepa Israel kwenye teknolojia. Tazama jinsi bendera ya Israel ilivyofichwa kwenye CHATGPT

    Hata wewe unaweza kuproove. 1. Tumia app ya kuedit picha kama Photoshop, unaweza tumia ya online photopea.com 2. Download logo ya chatgpt 3. weka logo 2 za Chat GPT ( Duplicate ) 4. Logo ya kulia ipindue juu kwenda chini (Flip Vertical) Muonekano mpya 5. unganisha...
  4. youngkato

    JamiiForums Tanzania Watu na Wafanyakazi Wanaoweza Kutumia ChatGPT Tanzania

    1. Walimu na Wakufunzi Jinsi ya kutumia: Kuandaa notes na lesson plans kwa haraka. Kutengeneza maswali ya mitihani na majibu. Kutoa maelezo ya kina kwa mada ngumu (mfano hesabu, fizikia). Kufundisha kupitia maudhui ya Kiswahili na Kiingereza kwa wanafunzi. 2. Waandishi wa Habari na Bloggers...
  5. prince alex khalifa

    JamiiForums Tanzania NMEIULIZA CHATGPT BEI YA GESI CUBA 20KG HAYA NDO MAJIBU YAKE

    Imedai Huwa inabadilika hivo bei hii inategemeanas
  6. ngara23

    JamiiForums Tanzania Ipi ni AI nzuri kutumia kati ya Deepthink na ChatGPT?

    Hizi ni artificial Intelligence ambazo zinatamba Kwa Sasa? Kwako wewe mdau ipi Iko better?
  7. Mfalme_wa_Nyika

    JamiiForums Tanzania Kwa Mujibu wa ChatGPT: Rais Samia kwa sasa ndio anakumbwa na ukosoaji mkubwa

    Nimeuliza swali hili tu " Mtu gani anayechukiwa zaidi Tanzania!? na wewe unaweza uliza na majibu niloyapata ni haya: Katika historia ya Tanzania, baadhi ya viongozi wamekuwa wakikumbwa na ukosoaji mkubwa kutokana na sera na mienendo yao. Hapa chini ni baadhi ya viongozi waliokumbwa na ukosoaji...
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania CHATGPT yashtakiwa kwa kushauri kijana huyu ajiue

    Wazazi wa Kijana aitwae Adam Raine (16) huko California Nchini Marekani, wameifungulia mashtaka Kampuni ya OpenAI na Mkurugenzi wake Sam Altman wakidai kuwa Akili Mnemba ya ChatGPT (AI) imehusika na kifo cha Mtoto wao ikiwa ni pamoja na kutoa ushauri juu ya mbinu za kujiua na kumsaidia kuandika...
  9. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutumia ChatGPT Bure

    Jinsi ya Kutumia ChatGPT Bure ChatGPT inatumiwa sana duniani kwa ajili ya maswali, uandishi wa makala, kutafsiri lugha, kuandika, kufanya utafiti (Research) na content za mitandaoni. Watu wengi hujiuliza: “Nawezaje kutumia ChatGPT bure bila kulipa ada ya kila mwezi?” Hapa nitakueleza njia...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa AI wa kisheria kuhusu kimachosemwa kuwa ushirikiano kati ya NIDA, INEC na CCM

    Kumekuwa na tuhuma zinazodai kuwa mfumo wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) umeunganishwa au unashirikishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) pamoja na Chama cha Mapinduzi (CCM), kwa nia inayotazamwa/hisiwa kuwa ovu na inayokiuka haki za faragha na usawa wa kisiasa. Uhalali wa jambo...
  11. Lamborgini

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa chatgpt AFCON katukataa Tz

    Kwa kuangalia form ya timu na historia ya hivi karibuni, hizi ndizo nafasi zinavyoonekana kwa robo fainali za CHAN 2025: 🔥 Robo Fainali 1. Kenya 🆚 Madagascar Kenya wako kwenye kiwango kizuri sana baada ya kushinda Group A. Madagascar nao wana kasi, lakini Kenya wanaonekana na nafasi kubwa...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya Kwanza nimetumia Chatgpt

    Sikuwa nafikiria ikiwa Kuna siku namimi nitakaa nakuanza kuchart na AI lakini Leo katika utulivu wangu namimi nikaona niijaribu hii teknolojia ya Chatgpt. Nikiri TU teknolojia inaenda kuwa msaada mkubwa Kwa wale wapendao kujifunza vitu vingi kwa urahisi lakini vile vile Nina wasiwasi akili za...
  13. Mwislam by choice

    JamiiForums Tanzania Nimeuliza ChatGPT kati ya uslam na ukristo ikaleta majibu haya

    Hili ni swali zito na linahusisha imani, utamaduni, historia, na tafakuri ya kina ya kiroho na kijamii. Kama ningekuwa mwanadamu mwenye akili timamu na ninatakiwa kuchagua kati ya Uislamu na Ukristo kwa kutumia akili nzuri (bila upendeleo wa kijamii wala wa kifamilia), basi ningefikiria kwa kina...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania CEO wa ChatGPT Sam Altman: Kama sheria itapitishwa matumizi ya ChatGPT kuchambua kesi mahakamani wengi mtajikuta mkijilaumu

    Na nukuu kauli yake Sam Altman CEO wa chatgpt ambapo kuna mswaada mkubwa sasa GPT kuingia mpaka kwenye mfumo wa kimahakama kuchakata vifungu kunaweza kuwa weka wazi ambao wakiamini kuwa GPT ni msiri wao wakiuliza au kujua na wengine wakifanya kutatua tatizo. Na jiuliza kama wakili wa serikali...
  15. Setfree

    JamiiForums Tanzania ChatGPT ni Mlokole? Mbona ana tabia za kilokole?

    Katika zama hizi za teknolojia ya hali ya juu, akili unde(AI) imeingia katika kila nyanja ya maisha—ikiwemo mazungumzo kuhusu imani, maadili, na tabia. Jina maarufu la AI linalosikika mara kwa mara ni ChatGPT. Swali ninalojiuliza ni hili: “Hivi ChatGPT ni mlokole?” Mbona inaonekana wazi...
  16. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania ChatGPT sio wakuwaamini, kwamba nyumba ya mfalme wa Saudia imegharimu trillion 1.5 US Dollars??? 😳

    Au wamechanganyikiwa kumbe ndonimeanza kuamini kuwa sio Kila kilichopo mitandaoni cha kuamini nahisi hizi figure Wali wrong. Haiwezekani nyumba tu iwe bei mara tano ya utajiri wa Elon Musk. Hivi wanaijua dollar trillion hawa 🤣🤣🤣 Kwa maana hiyo ni matajiri Sasa kuliko Elon Musk ambae ni tajiri...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Wanachuo, Vijana Msio na Kazi unaweza pata 5000-20,00+ kwa siku kutumia AI

    Hiki kizazi chetu kiko BLESSED na INTERNET. Na kwa mtu yeyote aliesoma hata form four na ana uwezo wa kuelewa lugha zote mbili, Kiswahili na English ana Advantage ya kupata kipato. Sio tu ONLINE hata kwenye maisha yetu ya kila siku mtaani. Kuna vijana wanasaidia makampuni kuuza bidhaa mtaani...
  18. Think2

    JamiiForums Tanzania Kwa degree hizi za chatgAI kuna watu huko kazini watashindwa kuoperate mashine

    Just image miaka yote ya chuo wanafunzi au mwanafunzi anatumia chagAI kujibu assignment hajawahi ata siku moja kushughulisha akili yake kusoma vitabu library hio degree itakayokuja kuzalishwa hapo asee 😁😁 sijui tu. Hakuna kuingia library watu ni copy na paste reference ni google basi Waajir...
  19. Nikola24

    JamiiForums Tanzania Nina uraibu wa kutegemea sana chatGpt, nisaidieni namna ya kuacha

    Aisee ndugu zangu ,hii sio masihara ni issue serious sana. Ipo hivi, kila tatizo ninalopata nakimbilia kuuliza kwenye app ya chatGpt.Nimekuwa sijiamini Katika mawazo yangu binafsi.Pia nahisi IQ yangu inashuka . Najihisi sina faida na najiona kuwa Bure kabisa.Sina motisha ya life. Nataka niwe...
  20. Wagumu Tunadumu

    JamiiForums Tanzania Hawa watu weupe wanajua sana walai,hili dude(ChatGPT) aisee linauwezo mkubwa sana,afu nilikarimu ajabu

    Huko mavyuoni sitegemei kama kutakuwa tena na assignment ngumu ya kufanya wikiend ziwe ngumu Nawashauri wanaoteseka na mapenzi au wanaohisi kutengwa na watu wao wa karibu,ebu ingia humo chat nalo hakika utapata faraja sana Leo nilijaribu kuliambia linitengenezee picha yangu ya selfie iwe kali...
Back
Top Bottom