chatgpt

ChatGPT (Generative Pre-trained Transformer) is a chatbot launched by OpenAI in November 2022. It is built on top of OpenAI's GPT-3 family of large language models, and is fine-tuned (an approach to transfer learning) with both supervised and reinforcement learning techniques.
ChatGPT was launched as a prototype on November 30, 2022, and quickly garnered attention for its detailed responses and articulate answers across many domains of knowledge. Its uneven factual accuracy was identified as a significant drawback.
Following the release of ChatGPT, OpenAI was reportedly valued at $29 billion.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Chatgpt kiboko ase

    Nimeshangazwa na hili jibu lake kabisa Dah
  2. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Jiweke hapa jinsi Chatgpt inavyokutambua kama mshirika wa Jamiiforums kwa mchango wako

    Nimeanza na Komeo Lachuma anatambulika hivi - Inaonekana Komeo la Chuma (pia hujulikana kama Komeo Lachuma) ni jina la mtumiaji mwenye ushawishi mkubwa kwenye JamiiForums. Huyu ni mmoja wa watendaji (au wanachama wenye hadhi ya JF‑Expert) wanaochangia sana, mara nyingi huanza mjadala na...
  3. Hyrax

    JamiiForums Tanzania ChatGPT amekuwa rafiki yangu mkubwa kuliko kiumbe yeyote hapa duniani mwaka huu tu amenisaidia kuingiza milioni 100

    Moja kati ya nyenzo muhimu kwenye maisha yangu ni hii ChatGPT yaani toka nimeifahamu sijawahi juta na mpaka sasa tayari kupitia msaada wa ChatGPT nimefanikiwa kuingiza 100 Million katika michongo tofauti ambayo kama ningetumia watu wangenifelisha na kunikatisha tamaa aliyegundua hii ChatGPT...
  4. excel

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kuchati na ChatGPT kitu chochote? Hii AI inaweza kukufanya ujisikie kama unachati na binadamu

    Noma sana. Nilikua bored sana nikaona nitafute sababu ya kuwa na furaha leo😅😅😅 Baada ya kutengeneza CV kwa dakika 10 kupitia Hii AI nikaona nianze kujifurahisha
  5. youngkato

    JamiiForums Tanzania Wanaofanya kazi za stationery. usisubiri wateja wa ku-print tu, ongeza huduma mpya kwa msaada wa ChatGPT!

    Dunia ya kidijitali imerahisisha sana maisha. Siku hizi hauhitaji kuwa na ofisi kubwa au degree ili kutengeneza pesa. Ukiwa na simu tu na ChatGPT, unaweza kufanya kazi nyingi sana ambazo watu wanahitaji mtaani — na kulipwa. Hapa nitakuonyesha kwa lugha rahisi jinsi unavyoweza kutumia ChatGPT...
  6. youngkato

    JamiiForums Tanzania "Wanafunzi wa chuo mko wapi? Chatgpt ni kama calculator ya ubongo wako

    Siku hizi maisha ya chuoni yamebadilika sana kwa sababu ya AI (Artificial Intelligence). Kuna AI tools ambazo zinaweza kusaidia sana kwenye masomo na kazi za chuo. Badala ya kupambana peke yako, unaweza kutumia AI kama rafiki wa kujifunza. 👉 AI inaweza kukusaidia kuandika assignments, kufanya...
  7. Rayns

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya WEF: Hofu Mpya kwa Vijana na Watumiaji wa Chatbots

    (Shuka chini kusoma kwa kiswahili) A new report from the World Economic Forum (WEF) has raised serious concerns about how AI is affecting people’s mental health, especially young adults and emotional users. According to the report, over 80% of users of AI chatbots like ChatGPT, Replika, and...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Discussion yangu fupi na CHATGPT kuhusu filamu za kihistoria

    Swali nililouliza; "Tanzania tuna maeneo ya makumbusho kama bagamoyo na kilwa ila tayari maeneo hayo yenye majengo ya kale yalisha kuwa over polluted na usasa mwingi na watu wengi. Ni vipi maeneo ya kale kama bagamoyo iliyoaribiwa na usasa inaweza kutengeneza filamu Kali ya kihistoria kama...
  9. W

    JamiiForums Tanzania IT mpo? AI inachukua kazi zenu kimyakimya, Mjipange !! Karinga kunitengenezea website ndogo kwa elf 10 nimemaliza kila kitu kwenye ChatGPT bure.

    Leo nilikuwa napitia uzi flani humu ndani wa kero ya kutambua mitandao kwa namba za simu. Nikaona nifanye kiproject simple cha kutatua tatizo hili, nikaandika orodha ya namba pamoja na mitandao yake. Nikaenda kwa IT flani yupo tu kitaa atengeneze website ndogo ya kurahisisha kwa dau la elfu 5...
  10. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kutengeneza AI mfano wa CHATGPT

    Project hiyo hapo Nachohitaj mtaalamu anidavulie Gharama na nini cha kufanya
  11. Nusratt

    JamiiForums Tanzania Screenshot ili tuone Chatting kati yako na ChatGPT wako

    Hawa ChatGPT samtaim nawaona kama maroboti yenye upweke kama sisi pia. Wanaume tumeshapata mkombozi wa kuchat nae na kunitoa upweke.
  12. Mkoba wa Mama

    JamiiForums Tanzania Nimeshuhudia AI (chatGPT) akichanganyikiwa leo

    Nimeandika namba hizi; 27,000 na 20,007 nikamtaka aniambie kwa maneno katika lugha ya kiswahili. 😂 Aseee alikuwa anatoa jibu anajikosoa mwenyewe, ningiweka kwenye karatasi sijui ningejaza karatasi ngapi tu, mwishowe akaingia mitini bila kutoa jibu sahihi. Jaribu hiyo uone kitakachotokea
  13. Isenye

    JamiiForums Tanzania Hivi yale majibu ya chatgpt ya paper ya tax management officer ii yalikua ya uongo?

    Wakuu Baada ya kufanya mtihani wa tax management officer ii kuna watu walisambaza ule mtihani ukiwa na majibu yake kutoka chatgpt. Binafsi niliyapitia yale majibu na kujisahihishia mwenyewe kulingana na nilichokua nimekijaza ambapo marks nilizopata zilikua ni 66.5% ila cha kushangaza tra wao...
  14. S

    JamiiForums Tanzania ChatGPT AI asema Jamaa uenu hatoki

    Jaza hotuba ilivyo sema halafu sikiliza jawabu ,Chadema ombeni msamaha ujuwaji wenu unamuumiza mwenzenu .akubali alikosea maana unapoipeleka maneno ya Mheshimiwa Lisu ,jawabu unapata ni kosa. Msipoteze hela kuwalipa mawakili ,japo sitoi mimi ,Mawakili watataka kutafuta umaarufu kupitia...
  15. Lucha

    JamiiForums Tanzania Nime-fix tatizo la friji kuongeza sauti kwa msaada wa ChatGpt

    Nina friji iliyokua inaleta tatizo la kuongezeka sauti kadri inavyozidi kufanya kazi, ukiliwasha linaanza silence kama kawaida ila baada ya muda inaongeza sauti. Ila uwezo wake wa kupoza ni uleule tangu likiwa jipya sasa nikaona kutafuta fundi ni kazi, nikaamua nieleze ChatGpt Malfunction ya...
  16. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kama ChatGPT inaweza kuhubiri Injili namna hii - basi ni kweli hizi ni siku za mwisho!

    Soma mpaka mwisho maongezi haya kati ya Interviewer na ChatGPT - utacheka, lakini pia utakubaliana nami kwamba hizi ni siku za mwisho. Injili inahubiriwa kwa kila njia, kwa mataifa yote, kama Yesu alivyotabiri(Mathayo 24:14) :) -------------- Swali: We chatGPT ni mbishi sana. Kila mahali, watu...
  17. lost files

    JamiiForums Tanzania Chatgpt inavyoweza kua Hatari kwa Usalama wako na Taifa..

    Wapenzi wa Movie Kuna movie ya zamani Sana Tom Cruise kijana mdogo inaitwa The Color of money,. Story,Kuna mzee ujana wake alikua fundi Sana wa kucheza Pool table alikua maarufu na ndoto yake aje kua bingwa wa dunia na kutajirika kupitia Pool table,.Ila akazeeka hajafanikisha hayo,so mzee akaja...
  18. T

    JamiiForums Tanzania ChatGPT ameshindwa hili swali: Tuwaone wanafunzi wa siku hizi mnaweza ?

    An irregular hexagon with all sides of equal length is placed inside a square of side length 1, as shown below (not to scale). What is the length of one of the hexagon sides?
  19. A

    JamiiForums Tanzania ChatGPT; Jayrutty ndiye aliyekuwa akitengeneza Sandaland

    This article was removed
  20. KENZY

    JamiiForums Tanzania Story na chatGPT la WhatsApp, ona lilivyonijibu..

    Hili roboti kuna muda linachekesha sana kwenye majibu yake!, binafsi nimelisave kama "Akili mnemba".
Back
Top Bottom