Founder na aliekua CEO wa Open AI (chatGPT) Sam Altman amafukuzwa kazi na management

Cybergates

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
673
1,391
Haya sasa

Kumekucha huko marekani CEO wa chatgpt sama mda huu amafukuzwa kazi na management kwa kuonekana hayupo competent kwenye position ya uongozi ( CEO )

Ikumbukwe kwamba idea nzima ya chatGPT ilikua yake, development na programming amefanya yeye na rafiki zake

Kiufupi amafukuzwa kwenye kampuni yake mwenyewe

Pamoja na hayo Microsoft weme investment karibia $10 B, valuation ya openAi inakadiriwa kuwa $90 B. Mimi ni mmoja wa watu nilio tarajia microsoft wata ichukua openAI chini ya miaka miwili tokea product ya GPT iwe kwenye production

Funzo hapa kama wewe ni kijana kuwa makini mikataba unayoingia kama unashiriki hizi challenge za makampuni makubwa kama imbeju ya CRDB, Tigo Digital na ecobank ukienda kichwa kichwa ipo siku kampuni yako itaibiwa mchana kwepe na hautakua na lakufanya

==============
Quick update:

Sama na Greg wamerudi OpenAI, Ilya ameondoka kwenye board ya OAI kama chairman

Adam D'Angelo amebaki kwenye board za chini chini zinasema huyu jamaa nio chanzo cha yote, alikua ana-push sama atolewe

______
Employee wa openAI walitishia kuondoka kwa sababu kwenye contracts zao sama halihahidi kuwa atawapa share za openAI zenye thamani kati ya 10-50M USD, Kama sama angeondoka basi share zote zingekua worthless.

Chief AI engineers & researcher wote walio kuwa wamesha resign wamerudi.

-----
AI/ML/DL model zina kua build na mathematical model, kama umesoma statistics, mathematics for economics au econometrics una nafasi kubwa ya kuwa AI researcher maana model zinafanana sana, ukiongeza ujizi wa programming hasa PY, R na C++ unaweza kua na nafasi kwenye fild ya AI
 
Haya sasa

Kumekucha huko marekani CEO wa chatgpt sama mda huu amafukuzwa kazi na management kwa kuonekana hayupo competent kwenye position ya uongozi ( CEO )

Ikumbukwe kwemba idea nzima ya chatGPT ilikua yake, development na programming amefanya nyenye na rafiki zake

Kiufupi amafukuzwa kwenye kampuni yake mwenyewe

Pamoja na hayo Microsoft weme investment karibia $10 B, valuation ya openAi inakadiriwa kuwa $90 B. Mimi ni mmoja wa watu nilio tarajia microsoft wata ichukua openAI chini ya miaka miwili tokea product ua GPT iwe kwenye production

Funzu hapa kama wewe ni kijana kuwa makini mikataba unayoingia kama unashiriki hizi challenge za makampuni makubwa kama imbeju ya CRDB, Tigo Digital na ecobank ukienda kichwa kichwa ipo siku kampuni yako itaibiwa mchana kwepe na hautakua na lakufanya
Tatizo kubwa la wajasiriamali wengi hawafahamu governance. Watu wanapokuwa wameweka hela lazima ubadilike la sivyo usiuze umiliki baki hivyo hivyo na wazo lako
 
Haya sasa

Kumekucha huko marekani CEO wa chatgpt sama mda huu amafukuzwa kazi na management kwa kuonekana hayupo competent kwenye position ya uongozi ( CEO )

Ikumbukwe kwamba idea nzima ya chatGPT ilikua yake, development na programming amefanya yeye na rafiki zake

Kiufupi amafukuzwa kwenye kampuni yake mwenyewe

Pamoja na hayo Microsoft weme investment karibia $10 B, valuation ya openAi inakadiriwa kuwa $90 B. Mimi ni mmoja wa watu nilio tarajia microsoft wata ichukua openAI chini ya miaka miwili tokea product ya GPT iwe kwenye production

Funzo hapa kama wewe ni kijana kuwa makini mikataba unayoingia kama unashiriki hizi challenge za makampuni makubwa kama imbeju ya CRDB, Tigo Digital na ecobank ukienda kichwa kichwa ipo siku kampuni yako itaibiwa mchana kwepe na hautakua na lakufanya
Kwa mbele ni ngumu sana kuepuka hili hasa baada ya watu kuwekeza pesa yao. Wawekezaji siku zote wanataka faida. Hiki ndicho kilitokea hata kwa steve jobs.
Atulie akaolewe sasa maana hata chatgpt anasema alipata wazo akiwa katoswa na bwanake aliyetaka kumuoa akiwa kwenye depression.
The good thing ni kwamba jamaa ashakuwa na maela na ana idea nyingi maana kabla ya open ai alikuwa na product nyingine ambayo aliuuza millions of dollars
 
Tatizo kubwa la wajasiriamali wengi hawafahamu governance. Watu wanapokuwa wameweka hela lazima ubadilike la sivyo usiuze umiliki baki hivyo hivyo na wazo lako
Kwa mbele ni ngumu kubaki as sole owner... Wewe unakuta tu app ya kuchat inafanya fundraising millions of dollars, wakati mwanafulenge hapa dar anakwambia wewe leta milion tatu mimi naimaliza nikiwa room kwangu riverside
 
Kuna tukio inelekea amepiga wanemfukuza kwa ghafla sana hata Microsoft hawakuwataarifu, mpaka wamesababisha shares kuyumba, juzi tu alikuwa jukwaani anatangaza products mpya.

Pia jamaa hana shares kwenye OpenAI kwa maneno yake mwenyewe, kumbuka OpenAI ilianzishwa kama non-profit na karibuni tu walihamia kwenye limited profit company.
 
Ile product ambayo ni ya kile kifaa unakibandika lwenye koti unazungumza nacho? Ni kama simu? Kinaitwa AI pin? Nilikuwa nasoma maoni ya watu ile product ni ghali ni $699 na subscriptiion ya kila mwezi ya $25 nadhani.
Watu wanasema ita flop maana hakuna ambayr angependa awe anazungumza kwa kuipa maelekezo device in public. Wanasema hata alexa au google assistant watu wanaitumia zaidi keenye gari au nyumbani not in public
 
Nadhani hisa zake kama alikuwa nazo bado zipo intact...ila tu ameondolewa kwenye management kama Steve Jobs wa Apple alipofukuzwa na kampuni aliyoiasisi mwenyewe yaani Apple.
Kuongezea hapo pia CEO wa WeWork na Uber wote walifukuzwa na management pia
Kuna tukio inelekea amepiga wanemfukuza kwa ghafla sana hata Microsoft hawakuwataarifu, mpaka wamesababisha shares kuyumba, juzi tu alikuwa jukwaani anatangaza products mpya.

Pia jamaa hana shares kwenye OpenAI kwa maneno yake mwenyewe, kumbuka OpenAI ilianzishwa kama non-profit na karibuni tu walihamia kwenye limited profit company.
Numeona ame tweet ataka ifanyike valuation alipwe
Screenshot_20231118_085046_X.jpg
 
Ile product ambayo ni ya kile kifaa unakibandika lwenye koti unazungumza nacho? Ni kama simu? Nilikuwa nasoma maoni ya watu ile product ni ghali ni $699 na subscriptiion ya kila mwezi ya $25 nadhani.
Watu wanasema ita flop maana hakuna ambayr angependa awe anazungumza kwa kuipa maelekezo device in public. Wanasema hata alexa au google assistant watu wanaitumia zaidi keenye gari au nyumbani not in public
Ile ni kampuni tofauti sio OpenAI ila nadhani ana mkono pale pia na wanatumia service za OpenAI.

Alikuwa anatangaza service mpya ya OpenAI juzi tu marketplace na GPTs.
 
Tetesi nikuwa
Kuna twitt za 2022 ambazo zinasemekana ni za dada yake kuwa alikiwa ana mtomasa tomasa wakiwa wadog ye altman akiwa na 13 na mdog wake wa kike akiwa na 4 .
Sasa wanahisa wake wansema hakuwambia ukweli kama alikiwa na kit kama hivho ndo imebid achie ngaz.

GOOD NEWS
NI kuwa hisa zake haziguswi na ye kuondolewa kweny uongiz wa kampuni ila inauma saaan mtoto wak anachukuliwa na huna cha kufanya zaid ya kwenda THERAPY.
 
Back
Top Bottom