Car diagnosis device with chatGPT

Hardman

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
677
395
Nawaza,
chatGPT au hata google bard zimekua msaada mkubwa kutoa majibu ya issue mbalimbaliu kwa siku za karibuni. Naona kama hizi car diagnosis devices zikiwa integrated na chatGPT au google bard zitakua more eeficient. Kwa sasa hizi devices zinatoa results kwa code, ambazo kama sio mtaalamu sana wa magari ni ngumu kuzielewa. Lakini kama zitakua intergrated na hizi AI systems itakua na uwezo wa kutoa majibu mazuri na pia unaweza uliza follow up question.
wadau wa magari hili wazo mnaolionaje, linaweza kufanya kazi na kuwa msaada kwa mtu ambaye hana ujuzi saana wa magari?
 
Ukipata error code unaweza uliza AI, ikakupa maelezo vizuri, but spana lazima upige kama kawaida.
 
Spana lazima , lengo ni kuepusha ufundi wa kuotea otea, fundi anakununulisha spair mpya kumbe ubovu ni kitu kingine kabisa
 
Hapo kwenye kununua spare kila mara fundi anajifunza kazi, mimi hua natoa masharti. 1. Hamna kupiga spana bila diagnosis na maelezo ya tatizo mpaka nielewe (Ilete logic); 2. payment ya spare+ufundi gari ikiwa imepona, sio majaribio, kama hana uhakika aache.
 
Back
Top Bottom