Hizi AI ziko ki surveillance sana, na epuka kuzi feed vitu kama Personally Identifiable Information. Kama wewe ni mfuatilia utagundua hawa jamaa wewe ndio unawafundisha katika kufikiri, na wataalamu waki intelijensia kama watataka taarifa muhimu kwako, kama wakipitia simu huenda wakapata taarifa zako nyingi kama huwa una share kwa namna moja au nyingine taarifa binafsi
Kuna jamaa wanaitwa Antropic, nilikuwa naitumia hii nikaja kuachana nayo baada yakuona wana mvutano na serikali ya marekani katika suala muhimu inayohusu taarifa za siri za mtu binafsi. Chakushangaza wakati natumia AI hii ilinipa jina la kampuni nayofanya kazi bila mimi kui feed mahala napofanya kazi
Hapa nikawa aware kuwa Hizi AI usi point direct kila unachotaka kikusaidi wewe kama muhitaji jaribu kutengeneza script au prompt ambayo haiku point direct wewe kama wewe