chanzo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ufisadi mkubwa kwenye mchakato wa kuwalipa fidia wananchi wanaozunguka mgodi wa North Mara

    Mgodi wa North Mara, moja kati ya migodi miwili inayomilikiwa na kampuni ya uchimbaji madini ya Barrick Gold nchini Tanzania, umekadiriwa kupoteza kati ya Dola za Kimarekani milioni 11.6 na Dola za Kimarekani milioni 31.65, kwa mwaka, kutokana na vitendo vya kihalifu vinavyoendeshwa na mtandao...
  2. JamiiForums Tanzania TANZIA Profesa Handley Mafwenga, Mtanzania mwenye shahada 9 afariki dunia

    Aliyekuwa Afisa Usimamizi wa Fedha Mkuu Daraja la Kwanza wa Kitengo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), Profesa Handely Mwafwenga amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Mwafwenga aliyekuwa na elimu ya digrii saba na shahada tatu za uzamivu (PhD) amefariki dunia usiku wa...
  3. JamiiForums Tanzania Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

    Hii ndiyo nadharia inayosemwa inatakiwa kukubaliwa na kila binadamu na ndiyo nadharia inayoitwa na baadhi ya watu kuwa ni kamilifu na timilifu. Kuwa hakuna ajue wewe binadamu umetokea wapi na kwa nini upo ivo ulivo. Kuwa Binadamu hana kusudio lolote lile la kuwepo kwake duniani. Na haileweki...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Iundwe Kamati huru kubaini chanzo cha nyufa JNHP maana kuna harufu ya uhujumu uchumi

    Tumeona Naibu waziri mkuu, Mh Dotto Biteko akifanya ziara katika Bwawa la Mwalimu Nyerere na Kutoa ushauri jinsi ya kuziba nyufa zilizoanza kuonekana kwenye ukuta wa Bwawa. Haiwezekani kuacha jambo hili lipite hivi hivi bila kufanyika uchunguzi na kuchukua hatua Kali dhidi ya wahusika wote...
  5. JamiiForums Tanzania Kama Biblia ni kitabu cha kutungwa, nani alikitunga na chanzo na kusudio lake ni nini?

    Kuna dhana kwamba Biblia imejaa hadithi za kutungwa. Wasemaji wa utungaji huo wa hadithi za Biblia ni wale wapinzani wa yaliyomo hasa dhana na nadharia kwamba kuna MUNGU. Lakini utungaji wa Biblia ulianza lini? Hadithi za Biblia zilitungwa na kina nani na jee majina yao yanajulikana? Watunzi...
  6. JamiiForums Tanzania Mafuriko ya Libya: Nini chanzo chake, na kwanini hali ni mbaya sana?

    Mafuriko makubwa yamesababisha vifo vya maelfu ya watu katika mji wa Derna, mashariki mwa Libya, na kusomba baharini vitongoji na wakazi wengi huku maelfu ya watu wakiwa hawajulikani walipo. Chanzo cha mafuriko Baada ya kuzipiga nchi nyingine za Mediterania, Dhoruba kali inayofahamika kwa jina...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba kujua chanzo cha mto Ruvu

    Nasikia mto Ruvu unaanzia mbali huko, ninaomba nipate elimu ya mto huu. Kwamba maeneo unayopita tofauti ni majina mto ni ule ule. Msaada wajuzi wa mambo. Katka picha
  8. JamiiForums Tanzania Kero Makanisani: Mwambie mwenzako, mshike mkono mwenzako, mkumbatie mwenzako. Haya maneno chanzo cha michepuko mipya Kanisani

    Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako. Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Je, teuzi za sasa ndio chanzo cha matatizo ya nchi?

    Siku hizi kumekuwa na teuzi nyingi ambazo hazionyeshi, kuwa zimetokana na uwezo au weledi wa aliyeteuliwa. Chanzo kikuu kikiwa ni katiba inamruhusu mteuzi kufanya huo uteuzi, na matokeo yake tunaona kwamba mifumo ya utendaji na kauli za baadhi au wengi ya viongozi hao kuwa ni za magomvi na...
  10. JamiiForums Tanzania Akina mama ndio chanzo Cha laana kwa watoto! Wanapandikiza chuki watoto wawachukie baba zao !

    Laana inaweza kuonekana dhahiri au ikaonekana kwa kuyatafsiri maisha halisi ya mtu ! Kila nilipokuwa narejea nyumbani nilimpa kipaumbele mama kuliko baba! ,Na mama aliutumia udhaifu wangu kunisimulia Kila jambo baya la baba ili niendelee kumchukia baba! Mama alikuwa ana wezq kunisimulia matusi...
  11. JamiiForums Tanzania Kurithi majina ni chanzo cha koo tajiri kuwa tajiri na koo masikini kuwa masikini

    Tunaporithishana majina huwa tunarithishana vingine vingi vinavyoambatana na mwenye jina linalorithiwa. Inachanganya sana, hii iko vipi wataalam wa mambo? Lakini nimeshuhudia koo nyingi zinafana kizazi kimoja kwenda kingine. Mtazamo wangu majina tunayorithi huwa yanaambatana na tabia, hali...
  12. JamiiForums Tanzania Utenguzi: Rais Samia ametengua Uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba

    Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba Aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Februari 2023. Pia ametumikia nafasi mbalimbali ikiwamo Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Ubora wa Maji.
  13. JamiiForums Tanzania Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana

    Kama Taifa. Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana (low thinking capacity/ low reasoning capacity) pia wengine wapo ndani ya serikali tena kwenye sehemu nyeti na muhimu, na wengine ni viongozi wakubwa sana. Na ndio maana kama taifa hatuendelei...
  14. JamiiForums Tanzania Kiwango cha ujinga kimeongezeka sana Afrika, chanzo ni mitandao ya kijamii

    Ujio wa social media vijana wa Africa wanautumia in negative way tofaut na vijana wa mataifa mengine ili kupiga hatua za kimaendeleo. Yanayoendelea kwenye media hayana uhai kwa kesho ya Africa. Watu mengi ni uharibifu na uchafu tu wa akili kujaza saver ya akili uchafu tu ambao haujengi fikra...
  15. JamiiForums Tanzania Chanzo kikuu cha ajali za barabarani sio mwendo kasi (kwa mtazamo wangu)

    Baada ya kufuatilia kwa karibu ajali zinazotokea mara kwa mara hasa zinazohusisha magari makubwa nimegundua kuwa, zaidi ya nusu zimesababishwa na overtaking (kupita gari la mbele bila kuchukua tahadhari. Mara nyingi mwendokasi umeweza kusababisha ajali pale dereva anapoacha kufuata taratibu na...
  16. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Israel waziba chanzo cha maji kwa saruji kinachowapa Wapalestina maji mjini Hebroni

    Huu ndiyo ukatili wa hali ya juu unaoendelea huko Palestina na huku Dunian ikifumbia macho haya yote.
  17. JamiiForums Tanzania Uvivu wa Maprofesa na pombe, ndio chanzo cha DP World

    Uvivu wa Maprofesa wetu wa sheria umesababisha haya. Kwani katiba ilioruhusu Zanzibar kuwa na serikali yake kamili, huku Tanganyika ikiwa haina serikali nyingine yake yenyewe, kwanini katiba hio sasa ikaruhusu Mzanzibari kurithi Urais wa serikali hii badala ya siku zote kuishia umakamu wa Rais...
  18. JamiiForums Tanzania Uoga wa Watanzania ndio chanzo cha amani Tanzania

    Hello JF members, Kwa muda mchache nilioishi hapa Tanzania nimebaini tabia ya Watanzania tofauti na wengine. Uzoefu huu umenifanya nibaini Watanzania 99% ni waoga na wenye mioyo safi na hii ndio sababu kwanini Tanzania Ina amani 👉Tazama ishu ya bandari, mtanzania yupo tayari kusifia tu...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: Intergovernmental governmental Agreement (IGA)ni njia ya kukwepa kodi lukuki za uwekezaji Tanzania

    Mwekezaji kabla ya kuwekeza Tanzania anatakiwa kufanya yafuatayo. 1.Kufungua Company Tanzania na kupata vibali Vyote vya kikodi hapa Tanzania 2. Alipe TRA provisions Tax kutokana na mradi wake. 3.Leseni za biashara. 4.Alipe kodi za Pango na VAT 5.Kodi za zuio la pango 6.Usajili TIC 7.Kodi za...
  20. JamiiForums Tanzania Wewe ndio chanzo cha umasikini katika familia yenu

    Katika familia, gharama hazipo kwenye kuzaa tu; bali gharama zipo kwenye malezi. Na kwa mazingira ya sasa, unaweza kuta kijana ana miaka zaidi ya 30, lakini bado anaishi kwao, huku akiendelea kuwapa mzigo mzito wazazi wake. Kwa nini nasema wewe ndio chanzo cha umasikini wa kwenu; ni kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…