changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Watoto wa kike wanapitia changamoto nyingi sana

    Hivi wanaume wenzangu hatuwe kumsaidia mtoto wa kike bila kumuomba mbususu jamani Maana watoto wengi wa kike wakitaka kupata kazi basi watoe mbususu haya atakayekuja kumuoa ataikuta ikiwa na hali gani? Mfano wasanii wa kike wengi wanapitia hayo na sasa tunaona kwa konde boy alichokifanya kwa...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Royal Tour ni sumaku ya kisiasa Mkakati wa Kenya una changamoto chanya kwa Tanzania

    Video ya Rais William Ruto akiongea na wakenya waishio ughaibuni (diaspora) siku za karibuni, imejaa kila aina ya somo jema kwa uhai wa miaka mingi wa Tanzania yetu. Ruto kawa muwazi kwa wakenya kwamba anabariki jitihada zao za kutafuta maisha huko ughaibuni, kwamba wanachokipata huko...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Changamoto, Hofu na Uchamungu

    Salamu kwenu wana JF, aomba kuuliza kitu wanajamvi, Ni kipindi gani mtu anapenda kuwa karibu na Mungu kati ya hivi vifuatavyo? Yaani anapenda kusikiliza nyimbo za dini na kusifu, anaswali sana, kufanya toba na ibada, anasoma Biblia au Quran mno; 1. Akiachwa ama kusalitiwa na mpenzi au...
  4. JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo: Mheshimiwa Rais, kukatika umeme ni changamoto kubwa sana

  5. JamiiForums Tanzania Changamoto ya umeme nchini ilianza na Awamu ya Tatu, sasa ni mbaya zaidi. Kwanini maji ya Ziwa Victoria yasipelekwe hadi Mtera na JNHPP kupata suluhu?

    Awamu ya baba wa taifa na ile ya mzee ruhusa hakukuwa na changamoto la katika katika kwa umeme maeneo ambayo huduma hii ilikuwa imeyafikia. Ni kweli kwamba maeneo hayo yalikuwa hasa kwenye miji mikubwa ya nchi. Shughuli za kiuchumi wa viwanda hazikuwa nyingi kama ilivyo sasa ambapo tumesambaza...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wazazi wananitaka nirudi nyumbani kwakuwa ninapofanya kazi kuna changamoto ya mshahara

    Mimi ni ke, nina umri wa miaka 26. Lengo la kuja hapa ni kuomba ushauri wenu, nipo nafanya kazi kwenye taasisi moja inayojishughulisha na afya pamoja na elimu, kumekuwa na changamoto ya kutolipwa mishahara kwa muda wa miezi mitano. Kutokana na hii changamoto imenifanya niwe ombaomba kwa wazazi...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameonesha ushupavu na umadhubuti katika kuongoza nchi na kukabiliana na changamoto

    Ndugu Zangu Rais Samia Ameonyesha yeye Ni kiongozi shupavu sana, Asiye yumbishwa Wala kupelekeshwa na maneno maneno, Nikiongozi asiye fanya maamuzi pasipo kufanya uchunguzi wa kina, kiutafiti na kitaarifa, Ni kiongozi mwenye Msimamo usio yumba Wala kutetereshwa, Ni Kiongozi Mtulivu na mwenye...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anafahamu changamoto ya umeme nchini, tuombe mvua zinyeshe. Hata yeye anaumia

    Ndugu zangu kumekuwa na malalamiko juu ya changamoto ya umeme Hapa Nchini, Hali iliyosababishwa kwa kiasi kikubwa na Hali ya ukame iliyoikumba nchi yetu na kupelekea kupungua kwa kina Cha maji katika mabwawa yetu ya kuzalishia umeme, Sote tunafahamu umuhimu wa umeme katika uchumi wetu, umuhimu...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari andaeni Makala kuhusu changamoto ya Upatikanaji wa Huduma za maji

    Habari za Leo wapendwa Binafsi nina familia na ninaona namna familia yangu jinsi inavyopitia kipindi kigum kutokana na hii changamoto ya Maji. Mimi nilikuwa nashauri Media zote nchini waandae Makala kuhusu upatikanaji wa Maji wazunguke mitaa yote jiji la Dar es salaam wahoji wananchi na...
  10. JamiiForums Tanzania Ukiwa kama programmer kwenye taasisi unakutana na changamoto zipi? Zangu ni hizi

    Wakubwa mnajisikiaje na hali🤚🤚, ni hivi ulishawahi kufanya kazi sehemu kama programmer halafu ukakuta wasimamizi wako au pengine wadau wakawa hawajui vizuri kuhusu programming? mimi hiyo ilishawahi kunitokea yaani nilifanya kazi kwenye mazingira magumu sana, na ni rahisi sana kuonekana hujui...
  11. JamiiForums Tanzania Ni wateja Gani ulikutana nao wakakupa changamoto? Wa kwangu huyu hapa

    Hello wadau!! Changamoto zozote unazozipata katika shughuli zako za Kila siku usizichukulie kama matatizo Bali ni sehemu ya kukufanya kuzidi kuwa Bora maradufu ya ulivyokuwa. Straight to the topic Miaka ya nyuma kidogo hiyo siku ilianza vizuri TU ila mishale ya saa 7 hivi nikapokea taarifa...
  12. JamiiForums Tanzania Changamoto za kodi kwa wafanyabiashara

    Habari wana jf Nimekuwa tax consultant kwa miaka miwili sasa katika changamoto nimekutana nazo sugu nipamoja ya tra kwa wafanya biashara watu wengi wamekuwa wakisajili makampuni na kuyatelekeza bila kujua madhara yake ninini? Ambayo imepeleke badae kuwa na madeni makubwa sana leo nataka...
  13. JamiiForums Tanzania Ni zawadi gani nzuri, inayoweza kumfurahisha na kumuachia kumbukumbu ya furaha mkeo/mumeo aliyepitia changamoto kali kipindi cha nyuma?

    Nawaza zawadi ya kumpatia mke wangu kama 'surprise' tu, kutokana na changamoto alizopitia mwaka jana, mwezi kama huu, mpaka ikafikia hatua ya kukata tamaa ya kuishi. Alifiwa na mzazi wake aliyempenda sana; aliyekuwa akimuuguza muda mrefu. Kabla ya mzazi wake hajafariki, ndani ya wiki mbili...
  14. JamiiForums Tanzania Wakati nchi iko kwenye changamoto lukuki, Rais, Makamu wa Rais na Waziri mkuu wako nje ya nchi

    Wakati nchi ikiwa kwenye changamoto lukuki, mfumuko wa bei, hakuna maji, hakuna umeme, hakuna mikopo watoto wa vyuo hawajalipwa pesa cha ajabu viongozi wakuu na mawaziri waandamizi wako nje ya nchi kwa inayoitwa mialiko ya kitaifa. Rais wa nchi yuko China, Makamu wa Rais yuko Ivory Coast...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Eric Shigongo awataka Watanzania wabadili changamoto kuwa fursa

    Vijana wa kitanzania tupate neno kutoka kwa Eric Shigongo "Ushauri wangu kwa Watanzania wenzangu, tuache kulalamika, tumekuwa walalamishi sana, muda mwingi tunatumia kuilamu serikali, nawashauri hasa vijana wenzangu, kila tukiamka asubuhi hebu twendeni tukajishughulishe, tubadilishe changamoto...
  16. JamiiForums Tanzania Nadhani nimepata Changamoto labda kisaikolojia au kiafya. Napofanya tendo

    Wadau. Kama hili nalozungumza litakuumizal/litakuuma basi pole tu. Ni miezi kama 4 sasa najikuta napofanya mapenzi na mtu kumaliza ni shida. Nakosa kuenjoy sababu inaweza fika hata saa zima.simalizi. so mwenzi anaomba twende mapumziko. Au nikimaliza goal la kwanza. Round ya pili nitapata hamu...
  17. JamiiForums Tanzania Vikundi vingi katika jamii ni changamoto

    Mimi Mdau wa JamiiForums ninasema hivi, vikundi vingi katika jamii ni changamoto. Vikundi vingi vimejikita katika: 1. Kusaidiana katika shida na raha, yaani hivi havina malengo zaidi ya kuchangishana pesa za misiba na sherehe mbalimbali ikiwemo harusi, sendoffs na birthdays. Changamoto kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Aweso akagua ukarabati wa bomba la Maji Dar

    Hivi Aweso ataacha lini hizo drama?! Jana, Makala kasema issue ni upungufu wa maji ajabu leo Waziri husika anadai uharibifu wa bomba. Nchi hii!! ---- WIZARA YA MAJI YAUNGANA NA DAWASA CHANGAMOTO YA HUDUMA DAR Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso (Mb) ametembelea eneo la matengenezo ya bomba kubwa...
  19. JamiiForums Tanzania Unakabiliana vipi na changamoto ya umeme kwenye biashara yako?

    Wanajukwaa! Ningependa tujadili ni namna gani iliyo bora na gharama nafuu ambayo inaweza kukabiliana na ukosefu wa umeme kwenye biashara. Kama tunavyoshuhudia ni kuwa kuna kupoteza wateja na kutofikia malengo husika. Karibuni!!
  20. T

    JamiiForums Tanzania Mkude Simba SC imetosha, tafuta changamoto sehemu nyingine

    Amani iwe kwenu. Nimekuwa nikifuatilia sana mwenendo wa viungo wakabaji wa timu ya Simba SC kwa muda mrefu sasa. Nimeona mabadiliko makubwa kwa Mzamiru Yasin na Sadio Kanoute, viwango vyao vinakua siku baada ya siku ila inapokuja kwa mchezaji Jonas Gerald Mkude suala hili limekuwa ni tofauti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…