Mrisho Gambo: Mheshimiwa Rais, kukatika umeme ni changamoto kubwa sana

Naona mmoja mmoja wanaanza kuamka sasa, wale kina Kigwangala na Lusinde iko siku wataona aibu tu, Rais lazima aambiwe ukweli ili kumuamsha ajue changamoto zilizo mbele yake na namna ya kuzikabili, kusifia sana kunadumaza akili.

Kwa namna Gambo alivyoongea na jinsi alivyoshangiliwa na wananchi wengi kwa sauti kubwa hivyo, naamini huu ni wakati mzuri kwa Samia kujiuliza kama kweli anaona Makamba bado anafaa kwenye hiyo wizara.
 
Makini sana
 
Kuna wanafunzi hawakuwa na sifa ya kufaulu lakini walisaidiwa ili wafaulu na waliendelea kusadiwa kufaulu ktk ngazi zote za elimu hadi kufikia kudhaniwa ni wasomi, wakapewa ofisi nyeti kama hizi. Outcomes za utendaji wao kwny hizo ofisi zinajieleza.
Chanzo kikuu cha hawa watu kufika walipo ni wananchi wasio na elimu + siasa iliyovamia kwenye idara hii nyeti ya elimu.
 
Tunasubiri vijana wa UVCCM watakavyomshukia huyu RC kama walivyomshukia Bashiru. Na Bajaji lazima atatoa neno.
 
Back
Top Bottom