changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Changamoto ya N-CARD kwa wakazi wa Kigamboni

    Wakazi wa kigamboni tuna changa moto juu ya card za N-CARD, card hizo tumekua tukiweka hela na kuisha tofauti na kiasi ulichoweka, pesa inaenda wapi ? Na kwanini ukiacha Card kwa muda ukija kutumia inasema haina salio hata kama uliacha salio,nani anayetumia hizo pesa? Kwani ni card hizo...
  2. A

    KERO Wahitimu wa Chuo cha Taifa cha Utalii tunapata changamoto ya upataji wa Ajira kupitia Ajira Portal, hautambui kozi zetu

    Nilikuwa napenda kuwasilisha changamoto yangu kubwa ni upande wa chuo ambacho nimesoma "Chuo cha Taifa cha Utalii/ National College of Tourism- NCT), tumekuwa na changamoto kubwa ya upataji wa Ajira Serikali kupitia Mfumo wa Ajira Portal ya Serikali, kutotambua Course ambazo tumezisoma katika...
  3. A

    KERO Changamoto ya Maji - Mtaa wa Kanisa la Hija, Pugu

    Mamlaka husika ishughulikie maana bili ya maji inakuja tunalipa lakini huduma ya maji ni ya kuvizia. Maji yanatoka dakika kumi mpaka tano yanakata. Na mamlaka husika zinalijua hili, tunaomba DAWASA walifanyie kazi tumechoka.
  4. A

    KERO Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) imetutelekeza Vijana wa JKT 2024 baada ya awali kutuahidi ajira

    Kero yangu ni walichotufanyia Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (Tanzania Airports Authority – TAA) vijana 40 kutoka JKT 2024 OP Mabeyo, walituchukua tukiwa vikosini wakatupeleka kama Maafisa Usalama wa Viwanja vya Ndege, Airport Security Officer (AVSEC) bila kuomba nafasi hiyo, wakatushawishi kuwa...
  5. A

    KERO Course ya Ordinary Diploma in Heavy Duty Equipment Engineering kutokuwepo kwenye mfumo inatukosesha kazi

    Kuna changamoto katika waombaji wa kazi katika mfumo wa ajira.go.tz kutokubaliwa na mfumo na ikitokea ukiitwa interview wakaguzi hawaturuhusu kufanya usaili. Tulivyouliza shida ni nini jibu toka utumishi ni kuwa chuo kitume maombi ya kutambulisha course kwenda utumishi na jambo hilo...
  6. A

    KERO Tuliosoma Chuo cha Taifa cha Utalii tuna changamoto ya upataji wa Ajira Serikalini kupitia Mfumo wa Ajira Portal

    Nilikuwa napenda kuwasilisha changamoto yangu kubwa ni upande wa chuo ambacho nimesoma "Chuo cha Taifa cha Utalii/ National College of Tourism- NCT), tumekuwa na changamoto kubwa ya upataji wa Ajira Serikali kupitia Mfumo wa Ajira Portal ya Serikali, kutotambua Course ambazo tumezisome katika...
  7. A

    KERO Wananchi Korogwe Mjini tuna Changamoto ya Maji

    Sisi wakazi wa Bagamoyo na Kilole, Wilaya ya Korogwe Mjini, tunalalamikia changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji safi na salama katika maeneo yetu. Kwa muda mrefu sasa kumekuwa hakuna ratiba maalumu ya mgao wa maji hali inayotusababishia usumbufu mkubwa katika maisha ya kila siku. Cha...
  8. V

    Nahitaji mwenza

    Mambo vipi wakuu, hivi hii changamoto kuna wengine wanapitia kama mimi, iko hivi ... Kipindi uko na umri mdogo, yaani early &/ mid 20's unakua hujihusishi sana na mapenzi ukitegemea kujitafuta. Ila mwisho wa siku unafika early 30's kama mimi unakuta kupata mwenza wa sifa zako ni ngumu mno...
  9. Topintz

    KERO Responded Working permit zaidi ya wiki sasa mtandao unasumbua haufunguki, nini shida?

    Kwa zaidi ya wiki sasa mtandao wa vibali vya kazi Kazi | ePermit unaosimamiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano haufanyi kazi. Kabla ya kwenda chini kabisa, website ilikua slow vibaya mno, ila sasa ni zaidi ya wiki website haipatikani kabisa.. ukiwapigia wanasema wanafanya...
  10. A

    KERO NMB, kwanini mtumie saa 24 kushughulikia muamala ambao HAUJAKAMILIKA?

    Nilikuwa natoa hela bila card (PESA FASTA) kwenye ATM ya NMB DODOMA leo, baada ya kumaliza kutoa kwenye simu nikawa nasubiria meseji ya namba ya siri ili iniwezeshe kutoa kwa kwenye ATM lakini nilisubiria kwa zaidi ya dakika 15 lakini sikupata Meseji. Nikawapigia huduma kwa wateja wakaniambia...
  11. Yoyo Zhou

    Vita iliyoanzishwa na Marekani dhidi ya Iran yaleta changamoto kubwa kwa Afrika

    Marekani na Israeli zimeanzisha vita dhidi ya Iran zikipuuza sheria za kimataifa. Ingawa bara la Afrika liko mbali na uwanja wa vita katika Ghuba ya Uajemi, lakini kutokana na utandawazi wa uchumi duniani, umbali si dhamana ya usalama. Bara la Afrika lina wasiwasi mkubwa: ingawa halitahusika...
  12. Mwezeshaji1

    Changamoto ya kupost mara 8 (minimum) kwa siku 5 za wiki - JIUNGE!

    Hii ni kwa wajasiriamali vichwa moto, na wenye kutaka kukuza biashara zao mwaka huu. Lengo: kufikia watu wengi zaidi na kuuza bidhaa/huduma (hakuna ada ya ushiriki -(labda mbeleni), hivyo wewe tu na JITIHADA zako) Utaratibu: 1. Anza kwa kuandaa vifaa (simu yenye camera yenye mwanga, hata...
  13. A

    KERO Changamoto ya Kufungiwa Akaunti – Ajira Portal

    Napenda kuwasilisha malalamiko yangu hadharani kuhusu kufungiwa kwa akaunti yangu katika mfumo wa Mamlaka ya Ajira Tanzania (Ajira Portal) tangu mwezi Septemba 2025, bila kupatiwa maelezo ya kina wala taarifa rasmi inayoeleza sababu za hatua hiyo. Tangu kufungiwa kwa akaunti hiyo, nimefika...
  14. Roving Journalist

    Waziri Shemdoe: Marufuku kuhamisha Watumishi wenye changamoto za nidhamu, washughulikwe kinidhamu

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe, amewaelekeza Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi wa Halmashauri kutowahamisha au kuwaombea uhamisho watumishi wanaobainika kuwa na changamoto za kinidhamu katika Mamlaka za Mikoa na Serikali za Mitaa, na badala yake...
  15. A

    KERO Changamoto zinazowakabili Wanafunzi SUA kipindi hiki cha Mitihani

    Katika kipindi hiki muhimu cha mitihani, wanafunzi wengi wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) wanakumbana na changamoto kadhaa za kiutendaji zinazohitaji uangalizi wa haraka. Kwanza, kumekuwepo na malalamiko mengi kuhusu kutotoka kwa Examination Tickets kwa wakati. Wanafunzi wengi bado...
  16. ubongokid

    Uzi maalum wa Maoni, Marekebisho na Changamoto kwenye Mfumo mpya wa IDRAS

    Habari za wakati huu; TRA Tanzania Jana niliweka uzi hapa kuhusu changamoto ya IP blocking katika Mfumo mpya wa IDRAS https://www.jamiiforums.com/threads/tangu-mfumo-mpya-wa-tra-kuanza-kuna-changamoto-ya-ip-kuwa-blocked-mnakwama-wapi.2421098/ Nawapongeza kwa kufanya marekebisho na sasa naona...
  17. T

    Je una changamoto ya AJIRA portal

    Tusaidiane kupitia 0623446608
  18. Roving Journalist

    Kayombo: Changamoto ya Mfumo wa Usimamizi Kodi wa IDRAS wa TRA imetatuliwa, tunaomba radhi kwa walipakodi waliopatwa na adha

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa ufafanuzi kuhusu mfumo wa ulipaji kodi kwa kueleza kuwa kwa sasa changamoto iliyokuwepo imefanyiwa kazi na kila kitu kimekaa sawa. Awali, Mdau wa JamiiForums.com alieleza kuwa mfumo mpya wa TRA, wa ulipaji kodi (Tax Payers Portal) una changamoto ya 'IP'...
  19. A

    Ndoa za kikristo ziruhusu talaka kwa watu walioshindwana kama zilivyo ndoa za Kiislam

    Nina myaka 10 kwenye ndoa iliojaa visa, vipigo na kunyan’ganywa umiliki wa mali, Nilipofikia sasa naogopa hadi kununua kijiko kwan ndugu zake wakija ubeba vitu bila kuomba. Mwaka 2018 vilitangazwa viwanja kigamboni nikamshirikisha mwenzangu kununua akasema ni mbali, nikajipinda nikanunua ila...
  20. Pascal Mayalla

    Live from Nairobi: Africa Editors Congress, Wahariri wa Africa Kujadili Changamoto za Media, Deo Balile wa TEF na Mkuu Max wa JF Ndani ya Nyumba!.

    Wanabodi, Niko hapa ukumbi wa Aga Khan University, kuwaripotia live, kinachoendelea kwenye huu mkutano ambapo Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile, atawasilisha mada ya Media Sustainability amid Digital Era. Miongoni maw watu muhimu nimewaona hapa, ni Boss wa JF, Mkuu...
Back
Top Bottom