chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hashim Rungwe: Ni haki ya kila chama dunia nzima kufanya maandamano wakiona kuna mambo hawaridhiki nayo

    Hashimu Rungwe atoa maoni yake kuhusu maandamano ya CHADEMA, asema ni haki ya dunia nzima kufanya maandamano ikiwa kuna mambo wanaona hayaendi sawa. Katiba ya nchi inaviwezesha vyama dunia nzima kufanya maandamano pale ambapo kukiwa na mambo ambayo hawaridhiki nayo. Kama wao wamesema kuhusu...
  2. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu Nchimbi, zuia walioanza kampeni mapema ndani ya chama chako kabla ya muda

    Salaam, Shalom!! Hongera kwa kuaminiwa na chama chako kwa nafasi ya Katibu Mkuu. Kuna vurugu na wimbi linaendelea la watu ndani ya chama chako kuanza compaign mapema Kwa GIA ya kuchangishana na kuwachukulia fomu wagombea wa nafasi mbalimbali, Hasa ubunge na Ile ya juu zaidi ilhali muda Bado...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa kuwa CHADEMA ndio chama kikuu, nashauri kampeni zake ziwe kama za Kiinjilisiti

    Mimi nikiwa namba moja wa kujitolea kufanya kampeni hizo za kiinjilisiti, ambapo zitakuwa za nyumba hadi nyumba, mtu hadi mtu Kampeni aina hiii huvuna wanachama kwa wingi, na uhakika wa kuwafikia wananchi wengi na kwa haraka zaidi, CCM anachapika vizuri mno na chepesi zaidi, ukweli ni kwamba...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa sasa chama cha siasa ambacho kimepoteza mvuto kabisa ni CHADEMA, haipo tena kwenye mioyo ya watu

    Ni ukweli mchungu najua wafia chama watapingana na huu ukweli lakini hii ndio fact yenyewe kabisa! Chadema kwa sasa imebaki ndani ya mioyo ya wanufaika wa ruzuku tu! Ndio unawaona wanatoa povu la kupigania kipande cha mkate. Kwa Watanzania wa sasa. Hata kama chadema itatoa pesa za kuwalipa watu...
  5. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Abdul Mluya: Sisi tulishapigwa, kama CHADEMA wanataka maandamano wajipange na familia zao mbele wapate ladha yake

    Mwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa ni Katibu Mkuu wa Chama Cha DP, Abdul Mluya amasema wao wanayafahamu maandamano kwani wao walishapigwa ila kama CHADEMA wanataka maandamano basi wajipange na familia zao mbele, pamoja na wake zao, watoto, wajomba, shangazi waingie barabarani wapate...
  6. JamiiForums Tanzania Kadi ya chama cha siasa haiwezi kutumika nje ya mipaka ya chama hicho

    Kadi ya chama cha siasa, ni nyaraka anayopewa mtu aliyejiunga na chama fulani cha siasa kuthibisha kuwa yeye ni mwanachama halali au hai wa chama hicho. Wapo watu wengi wamekuwa hawatambui kazi ya kadi ya vyama vya kiasa na hudhani au huaminishwa na aidha wanaowashawishi kujiunga na vyama au...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chama changu pendwa CCM ni kweli mnataka mdahalo na CHADEMA?

    Kiongozi wa mwisho aliyefanya mdahalo kwa kujiamini bila woga alikuwa ni hayati Benjamini Mkapa baada ya hapo waliofuatia wote waliingia mitini na sababu mbali mbali. Imenikumbusha aibu ya mdahalo wa mchakato majimboni mpaka kupelekea mkurugenzi wa TBC komredi Tido kuvurumishwa na kupewa kesi...
  8. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenye kumbukumbu ya Makonda akishirikishwa kwenye mdahalo hata ndani ya chama chake atuwekea hapa tuone capacity yake

    Sijawahi kumwona Makonda akifanya mjadala wala mdahalo wowote wenye tija na usio na tija kuhusu chama chake na nchi kwa ujumla. Leo anapoomba mdahalo anataka kutuambia ametambua umuhimu wa majadiliano ya hoja? Toka lini akawa na kifua au nafsi yamajadiliano? Je, katika majadiliano hayo...
  9. JamiiForums Tanzania Kutawaliwa na Chama kimoja toka Uhuru ni udikteta, lakini tumejifanya hatuoni

    Toka uhuru mpaka sasa tumetawaliwa na mfumo wa chama kimoja, na bado watu wanaita ni Nchi ya Demokrasia. Uchaguzi unaofanyika Nchini ni kama bosheni tu, na uchaguzi halali ni ule unaofanyika katika kamati kuu ya chama tawala kumpitisha mgombea. Mgombea akishapitishwa na chama tawala tayari huyo...
  10. JamiiForums Tanzania Nimeoteshwa kuwa hii ndo inaweza kuwa kauli ya mwenyekiti wa chama katika ofisi yao mpya huko Mikocheni

    Ndugu wananchi, waandishi wa habari, wanachama wenzangu na watanzania kwa ujumla Asalam aleikum...., bwana Yesu asifiwe...., tumsifu Yesu Kristo. Ndugu zangu waandishi wabari leo nimewaita hapa kwa lengo la kuweka mambo sawa kuhusu mustakabali wangu na wa chama changu. Mtakumbuka miaka kadhaa...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 TEC ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi?

    Nafungua maswali na uzi wangu kwa nukuu hii" KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA". Hivi hili Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi? Kwa nini mijadala mingi na mambo mengi ya kisiasa wanakuwa nayo kimbelembele kuyazungumzia na...
  12. JamiiForums Tanzania Nadhani kama Mbatia ,Mnyika na Lissu wataunda Chama basi hiki ndicho kitakuwa Chama halisi cha Upinzani

    Kiuhalisia ukitoa wana harakati kama kina Mdude ,Mwabugusi na wengine wachache nchi inabaki na watu wachache sana ambao ambao wazalendo wa kweli na mioyo yao kila siku hunena mema kuhusu Tanzania . Lisu , Mbatia na Mnyika ni moja ya watu makini sana na wazalendo Tatizo hawana nguvu za kichama ...
  13. JamiiForums Tanzania Mikakati itakayofanya CHADEMA yetu iwe chama cha umma cha ukombozi

    Mbowe kuondolewa madarakani kwa nguvu. Matumizi ya pesa za umma kuwekwa wazi. Na pesa kutumiwa kwa nia thabiti ya kuig'oa CCM madarakani. Chawa Mbowe akina T. Mwaipwaya na yule dogo wa Mwanza Pambalu wag'olewe. Wapo kujaza matumbo tu. Lissu awe katibu mkuu.
  14. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa ACT: Zitto hajang'atuka kwenye Chama, ameheshimu Katiba ya ACT

    Ado Shaibu ambaye ni Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo amefanya mahojiano na Jambo TV Ofisini kwake Alhamisi Desemba 28, 2023. "Zitto hajang'atuka kwenye Chama, Zitto bado ni Kiongozi kijana na ana nafasi katika Siasa za Tanzania, Zitto ametangaza kuiheshimu Katiba ya ACT Wazalendo kwahiyo ni imani...
  15. JamiiForums Tanzania Kipigo Cha goli 5 kinaitesa Simba, Clatous Chama anaishi maisha yake.

    Kuna mtu anajifariji kwa kusema Simba ni kubwa kuliko Chama, ni sawa lakini Chama ni Bora kuliko Wachezaji wote wa Simba, Tanzania na Afrika. Chama alishaondoka Simba kwenda Uarabuni Simba ikakosa ubingwa kwa misimu 2 hadi wakaenda kumtafuta kwa hali na mali kwa udi na uvumba arudi kikosini...
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya chama anafata Phiri

    Walai naapa baada ya chama anaenda kumwagwa Phiri kwa karanga za kuonjeshwa za Onana. Naaapa mkimaliza kuwafukuza timu inaenda kufikinika. Fitna hazijengi na Uongozi unaenda kufikinika. Nawaombea mkimaliza fitna na msivuke makundi kabisa.
  17. JamiiForums Tanzania Chama hajagombana na kocha bali viongozi. Ata kama mmemchoka mmuache kwa heshima sio mizengwe ameifanyia makubwa klabu pia

    Baada ya kuja kocha Cadena Chama na Phiri waliwekwa kwenye presha kubwa sana. Lengo wateswe kisaikolojia watoke mchezoni. Kweli bana fitina zikakuzwa kwa kocha Chama akaanza kutemwa mara Benchika alipokuja. Mechi nne zimetumika kumwaga chama. Na wanavumisha kagombana na kocha sio kweli bali...
  18. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu; Chama Jr akija Yanga, Benchi litamuhusu sana. Nashauri aende Azam

    Kwa kiwango alichonacho kwasasa sio rahisi aanze kwenye 1st eleven ya Gamondi. Na siku zote Chama hajawahi kuwa mzuri akitokea Benchi. Atapata nafasi Azam FC. Kuliko Yanga! Yanga wakimsajili ni kwa ajili yakupeleka makasiriko Msimbazi na si vinginevyo.
  19. JamiiForums Tanzania Chama na Kapama wasimamishwa Simba

    Nyota wa Simba, Clatous Chota Chama na mwenzake, Nassor Kapama wamesimamishwa kuitumikia Klabu hiyo kwa kile kilichoelezwa ni vitendo vya utovu wa nidhamu. Taarifa ya Simba imeeleza Wachezaji hao watapelekwa katika Kamati ya Nidhamu kwa hatua zaidi za kinidhamu. Taarifa hiyo imewakumbusha...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia Afanya Mazungumzo na Chama cha Wabunifu Wachanga "Tanzania Startup Association"

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Tanzania Startup Association (TSA) ikiongozwa na Mwenyekiti wao Ndugu Paul Makanza pamoja na Wajumbe aliofuatana nao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Desemba, 2023.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…