chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mwanachama wa UWABATA akitekeleza Ilani ya Chama

    Nimefurahi sana kuona mwanachama mwenza wa UWABATA akipangua Ombi kutoka kwa Mrembo. UWABATA IDUMU! Umoja wa Wanaume Bahiri Tanzania (UWABATA).
  2. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: Naagiza ngazi zote za chama ziandae wagombea wa kushinda Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025

    Akihutubia kwenye mkutano wa BAWACHA, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe emetoa agizo kwa Katibu Mkuu wa chama hicho John Mnyika kuhakikisha ngazi zote za chama nchi zima zinaandaa viongozi wa kugombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 na uchaguzi mkuu mwaka 2025. Viongozi hawa wawe na...
  3. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Hii CCM inayofanya maongezi na balozi wa marekani bado ni Chama cha Mapinduzi?

    Kwa kawaida mabalozi hawaingilii mambo ya ndani ya nchi wanapowakilisha. Bila shaka ndio taratibu. Mambo ya vyama vya siasa ni mambo ya ndani ya nchi husika. Lakinini utasikia balozi wa marekani kukutana na kiongozi wa upinzani kwenye nchi anawakilisha hasa hizi za kiafrika zenye msimamo wa...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe alikuwa na nafasi gani ndani ya ACT Wazalendo?

    Haya wajuba wazee wa siasa za Bongo muje munieleze vizuri. Zitto Kabwe alikuwa na nyadhifa gani ACT Wazalendo? Wanahabari wetu wanaishia tu kutuambia kuwa alikuwa kiongozi wa chama.
  5. demigod

    JamiiForums Tanzania Bila Kutumia Uchawi Chama Hawezi Kucheza Vizuri Kwenye Mechi Ngumu.

    Kuna ule msemo kuwa Chama ni mchezaji wa mechi ndogo, leo umeanza kuniingia kichwani. Inafika kipindi unawaza, hivi huenda labda kwenye mechi hizi za Ligi huwa hawatumii Uchawi ndio maana Chama anaonekana wa kawaida. Kwenye mechi kama hizi mchezaji tegemeo wa timu ndipo unapaswa kutokea na...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Chama cha soka Misri chavutana na Liverpool kuhusu afya ya Salah

    Suala la afya ya Mohamed Salah limesababisha mvutano baina ya Chama cha Soka cha Misri (EFA) dhidi ya Klabu ya mchezaji huyo, Liverpool ambapo kila upande unavuta upande wake ukiona una haki ya kumtumia na kujua maendeleo ya majeraha yake. Liverpool imedai afya ya mchezaji haijakaa sawa tangu...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kumpigia kura mgombea wa chama kingine aliye na uwezo na sera bora kuliko Mgombea wa Chama chako?

    Niaje Wadau, Uchaguzi umetaradadi, Majimboni kunazidi kuwaka moto. Wanasiasa wanaonekana saana. Kumekuwa na tamaduni za watu wengi kwenye jamii yetu kuwalinda na kuwaunga mkono wagombea wa vyama vyao hata kama hawana uwezo na sera zenye tija. Baadhi ya watu wanalazimika kutetea hata mabaya na...
  8. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Wilson Oruma: Viongozi Simba wafanye maamuzi magumu kwa Chama

    Mchambuzi wa soka Wilson John Oruma amesema umefika wakati wa Simba SC kuachana na kiungo wao mshambuliaji, Clotous Chama kwani hakuna cha ziada atakachowapa. Oruma amezungumza hayo ikiwa ni siku chache baada ya Chama kuubeba mchezo wao dhidi ya Jwaneng Galaxy na kuibuka na ushindi wa 6-0...
  9. vvvv

    JamiiForums Tanzania Piga kura tumalize utata, Chama na Pacome yupi bora zaidi

    Kutokana na ubishi mwingi kuhusu hawa viungo tupige kura kati Chama na Pacome nani bora zaidi. Mwenye kura nyingi ndo chaguo la wengi tumalize ubishi humu JF
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha chama kimerudi juu kwasababu ya Pacome

    Ni ukweli usiopingika kuwa kwa miaka mingi ya hivi karibuni katika ligi yetu hapa Tz ukizungumzia kiungo bora na wa kiwango cha juu lazima umtaje chama, amekuwa kwenye ubora kwa muda mrefu japo kuna kipindi ameonekana kushuka viwango hasa baada ya kurejea Simba kwa mara ya pili, vilevile...
  11. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo imepenyeza watu CCM au CCM imejitengenezea chama B ndani ya ACT Wazalendo?

    Zitto Kabwe amedai wamepenyeza watu ndani ya CCM sijui lengo la hao watu ni nini ila ninachofahamu mimi chama chake kimekuwa CCM B kwa muda sasa. ACT Wazalendo iliundwa baada ya Zito na Kitila Mkumbo kubainika kwamba wametumwa na CCM kwa ajili ya kuivuruga Chadema. Zitto ni mwanasiasa pekee...
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwasababu ya umadhubuti na uimara wa misingi yake, Chama kitatawala karne nyingi zijazo

    Kuanzia muundo wa msingi wake, hadi mfumo wa kiutendaji, imejengwa imara sana kitaasisi na hivyo ni ngumu sana kutikiswa wala kuyumbishwa na dhoruba au tetemeko lolote la kisiasa la kutoka ndani au nje ya chama. Msingi wake una mizizi ya kitaifa na kimataifa. Imejengwa kukabiliana, kudhibiti na...
  13. Dong Jin

    JamiiForums Tanzania Mzizi wa fitna: Pacome vs Chama, nani zaidi?

    ... 🔖 𝙉𝘼𝙉𝙄 𝙕𝘼𝙄𝘿𝙄 ? Baada ya ushindi wa Simba (6-0) dhidi ya Jwaneng nimeona mijadala mitandaoni watu wakibishana nani zaidi kati ya Chama na Pacome ?! Nami nimeona nisipitwe na mjadala huu. Kama kawaida yangu huwa naongea na takwimu kisha nawaachia mchambue wenyewe kama hivi ; 𝘾𝙃𝘼𝙈𝘼...
  14. Rico redi

    JamiiForums Tanzania Chama undisputed

    Mpira siku zote ni mchezo wa wazi tulishasema toka siku nyingi kipindi simba iko kwenye peak ilijengwa kumzunguka chama chama ndo alikua anaamua Simba icheze vipi alipoondoka ndo anguko la simba lilianzia pale Chama ni mmoja kati ya wachezaji ambao wanafanya kwa usahihi na ufasaha majukumu yao...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga na ulofa kuwashindanisha Chama na Pacome

    Naona leo baada ya mnyama kushinda na Chama kuonyesha kiwango cha hali ya juu, mitandao ya kijamii imekuwa ikihoji nani mkali baina ya Chama vs Pacome. Hii inanikumbusha miaka ile ya 1990 ambapo mashabiki wa Simba na Yanga walikuwa wanabishana nani mkali kati ya Athuman Abdallah China wa Yanga...
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Clatous Chama ni mchezaji mzuri. Mimi sipendi aendelee kuwa Simba

    Huyu jamaa, Natamani aondoke Simba. Simpendi kwa kuwa ni mchezaji mzuri. Akiamua huwa anafanya mambo ambayo ni ngumu kuelezea. Ninamwangalia hapa sijui tungempata Yanga huyu ingekuwa moto zaidi. Ni bonge la mchezaji.
  17. Z

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi maendeleo huwa yanaletwa na Chama /Serikali?

    Mimi nafikiri maendeleo hayaletwi na chama au serikali bali na wananchi wenyewe kwa kufanya kazi kwa bidii na kwa kulipa kodi na kwa kuchagua viongozi sahihi ambao siyo mafisadi bali wacha mungu ambao watawaongoza wananchi kupata maendeleo yao na kwa kusimamia kikamilifu rasilimali za nchi...
  18. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania 10 bora ya WanaCCM wanaokifanyia chama kazi kubwa hapa JF

    Wafuatao wanastahili maua yao kwa kazi kubwa ya kukipigania CCM hapa JF. Hawa ni legends wa Chama kilichobeba matumaini ya watamzania wote yaani CCM. Wamefanya kazi kubwa ya kukieneza chama JF kwenye upinzani mkali. 1. Lizaboni 2. Bia yetu 4. Lucas mwashambwa 3. MamaSamia2025 4. USSR 5. Etwege...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Dawa ni kuendelea kuwaunga mkono CHADEMA hii italeta heshima na adabu kwa chama tawala

    Kwanini viongozi wa nchi yetu wanakuwa na dharau kwa wananchi wakati mwingine? Ni kwasababu wanajua hata kama hawafanyi vizuri majukumu yao wataendelea kuwa madarakani tu. Kwa wenzetu wa nchi zilizoendelea ni nadra kwa chama kukaa madarakani kwa zaidi ya vipindi viwili. Hata chama kikiongoza...
  20. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, kauli ya Lema kuhusu Uislamu ni msimamo wa chama?

    Friends and Our Enemies, Niliposikia kauli ya Shangazi Fatma Karume aliposema ya kwamba Chadema waache chuki dhidi ya waislam na uislam nikatanabahi kuwa kumbe siyo Mimi pekeyangu ambae nimeliona jambo Hilo. Siyo mara ya kwanza Kwa chadema kama Taasisi au kama viongozi wake kuingia kwenye...
Back
Top Bottom