chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ccm ni chama au ni jeshi la kicomunist.

    Kusema kuna democracy hapa tukatae. Hivi ushaona duniani kuna vyama vina vaa sale na kuweka vyeo vya mfano wa kijeshi.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hili la Makamu wa Rais ni michezo tu ya serikali na chama tawala

    Kumbe kinachoitwa Mwanasiasa usije ukaja kumuamini hata siku Moja. Mwanasiasa alikwambia Sasa hivi ni Saa 7 Mchana inabidi utoke nje iangalie kama kweli ni Mchana unaweza Kuta alimaanisha saa 7 Usiku. Naona leo wananchi wanamsifia Sana VP kwa hotuba yake, lakini ukweli ni Kwamba hiyo ni...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua Watanganyika ni wepesi mno kudanganyika na Chama kile wameshawajua walivyo wasahalifu na kuwachezea tuendelee kusukuma gari tukiwa ndani

    Mtu Yuko ndani ya gari anakuambia tuendelee kusukuma tukiwa ndani litasogea TU . Tunashangilia tuanaacha kuliondoa gari bovu tuingiingize gari jipya lenye uwezo wa kutuvusha hapa . Tunaamini divai mpya kwenye kiriba kile kile Cha zamani italeta mabadiliko yoyote Gari ilipopata ajali huyu...
  4. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Viongozi watatu wa CHADEMA kutoka mikoa ya Morogoro na Tanga wamewasilisha malalamiko rasmi kwa Msajili wa Vyama vya siasa

    Viongozi watatu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kutoka mikoa ya Morogoro na Tanga wamewasilisha malalamiko rasmi kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, wakipinga hatua zilizochukuliwa dhidi yao walipopaza sauti kuhusiana na tuhuma za ubadhirifu wa pesa za michango ya wadau kwa chama hicho...
  5. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Changiene baraza kuu,changieni chama cha ukombozi.TAL leo Mahakamani.

    TUENDELEE KUCHANGIA M-Pesa Namba: 0744446969 Jina: CHADEMA HQ NMB Bank Namba ya Akaunti: 22606600140 Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
  6. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Chama tawala, chama pinzani, maana yake nini?

    Katika siasa za kidunia haya maneno ni kawaida kuyasikia,hata hapa kwetu ambako uwezo wa watu waliopo kwenye nafasi za kuongoza ni mdogo kuliko wanaotakiwa kuongozwa,kifupi wanaoongoza hawawezi kuongoza na wasio ongoza wana uwezo wa kuongoza. Unamuona msomi tena wa Sayansi ya siasa ama sheria...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ashura Masoud: Tuhuma za Heche kula pesa hazina ukweli, hahusiki na fedha za CHADEMA

    Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kati, Ashura Masoud, amesema kuwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha zinazomkabili Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche, hazina ukweli wowote kwani kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, kiongozi huyo hahusiki na usimamizi wa masuala ya fedha za chama. Masoud amefafanua...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Rais Samia Suluhu

    Akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alisema: “Tutasaidiwa kuiharibu nchi yetu, lakini hatutasaidiwa kuijenga tena. Tanzania ni yetu sote na tunapaswa kuilinda.”
  9. Troll JF

    JamiiForums Tanzania UFISADI: Mwenyekiti wa Baraza la Wazee CHADEMA kanda ya Kati Amshauri Mnyika kuunda Tume kumchunguza Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho

    John Wegese Heche akiwa bado ananuka Ufisadi wa pesa za Tone kwa Tone uliofanywa akiwa makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CHADEMA Kanda ya Kati, Aquilin Claud ameshauri Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika aunde tume ya kumchunguza Makamu Mwenyekiti wa chama...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Aibu wameona wao, mabosi wanaochangia tone kwa tone wana imani kubwa sana na Heche, wamuomba Heche atoe account binafsi nje ya shughuli za chama

    Baada ya Heche kutengenezewa script na watu wanaodhani anawachelewesha "kulamba asali," wakaibuka na propaganda ya kumchafua wakidai kuwa anakula michango. Kilichotokea ni tofauti kabisa. Maboss wa Tone kwa Tone, ambao ndio wachangiaji wakuu, hawakutikiswa hata kidogo na hizo script. Badala...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Tayari tulikuwa na taarifa mpango wa viongozi kulipwa kuzungumza na waandishi wa habari kuichafua chama

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 10, 2026 wakati akiwasilisha maadhimio ya Kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Katibu Mkuu wa Chama, John Mnyika, ametoa ufafanuzi kuhusiana na baadhi ya viongozi wa chama hicho ikiwemo katibu wa CHADEMA Mkoa Morogoro kusimamishwa kazi...
  12. instinct desire

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mtimueni John Heche labda mseme hakuna accountability ndani ya chama

    Kuna shutuma za rushwa na matumizi mabaya ya resources ndani ya chadema, viongozi wa juu wanashutumiwa kujineemesha na misaada kutoka kwa mabeberu na zile donation za mitaani. Heche anashutumiwa kwa ubadhirifu wa Hela za chama lakini bado tupo ofisini mpaka muda huu....hii ndo maana halisi ya...
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hizi tetesi kuwa wajumbe wa Kamati kuu Chadema wamehongwa ili kukisariti chama na kumeuka Heche na Lissu zina ukweli?

    Tetesi zimezagaa mitaani kuwa wapo wajumbe wa kamati kuu ya Cdm wamekula mlungula ili kumsaliti Lissu na Heche. Hii yote wanatala Chadema imeguke na msimamo wa Lissu na Heche uyeyuke Kama.ni kweli hatufiki mbali.
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Waliopokea pesa za moto CHADEMA waanza kuliwa vichwa

    Hongera Chadema safisha uchafu, msicheke na kima yeyote mtavuna mabua. Chama ni kikubwa kuliko mwanachama, walikuwepo kina Zitto, Mkumbo, akaondoka Mbowe na G55 yake bado chama kinasonga, sembuse hawa vidagaa tena vibichi.
  15. britanicca

    JamiiForums Tanzania Yawezekana CHADEMA hawajaelewa nguvu waliyo nayo! Waache kusikiliza kila mwanaharakati, Chama makini mambo yao uamriwa ndani wala si watu wa nje,

    Kuna haka ka Tabia ka kubeza nguvu na sacrifice za watu! Hasa jasho kwenye vyama! Naona CHADEMA mmeanza kujisahau kisa tu mtu mmoja ambaye anataka ambition zake zitimie Mimi ni CCM mfu niwe wazi, ila Ninapenda kuona CHADEMA ikiendelea kuimarika zaidi na zaidi kwa kuwa ndo chama mbadala, achana...
  16. Pakome

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamrudishie Mbowe Chama chake

    Viongozi wa CHADEMA wamrudishie Mbowe Chama chake Mbowe hakuokota CHADEMA bali aliijenga kwa jasho la damu Yeye ndiye anafahamu namna ya kustawisha CHADEMA Viongozi wa sasa wa CHADEMA ni makinda bado hawajakomaa vizuri wanastahili kufundishwa na baba yao Mbowe Enzi za Mbowe CHADEMA ilikuwa...
  17. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Natamani wananchi wote turudishe kadi za vyama vya siasa. Kusiwe na chama

    Wakuu Sina uwezo mkubwa kujenga hoja Bali hapa nitajaribu. Ni suala la vyama vya siasa, hapa nikiweke pembeni CCM na chadema. Kuna zaidi ya vyama 10 na nakumbuka vilishiriki uchaguzi wa 2025 oct. Vyama hivi zaidi ya Kumi ukitoa CCM na chadema ni vikundi vya wahuni. Ni afadhari hawa wawili...
  18. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Dkt. Lugomela: Niliwapatia fedha za posho baadhi ya madiwani kwenye mchakato wa kura za maoni za CCM mwaka 2025 hawakutekeleza makubaliano

    Mbunge wa Maswa Mashariki, Dkt. George Venance Lugomela, amesema aliwapatia baadhi ya madiwani fedha alizozitaja kuwa ni posho wakati wa mchakato wa kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka 2025, akidai baadhi yao hawakutekeleza makubaliano waliyokuwa nayo. Akizungumza katika kikao cha...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema atakapobanduliwa chadema unadhani anaweza kujiunga na chama gani cha siasa nchini?

    Maana kuna viashiria vya wazi kabisa na tuhuma za usaliti zinamzonga na kumuandama mwanasiasa huyu wa chadema kutoka kanda ya kaskazini ya chama hicho cha upinzani. Endapo hilo litatokea, na akabanduliwa uongozi na uanachama wa chadema, Kwa haraka haraka na kwa mtazamo wako, unadhani Godbless...
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kwanini JWTZ imeanza kutumia Salamu za Chama cha Mapinduzi (KAZI NA UTU)?

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania nini kimewasibu? Wanatumia salaam za Chama cha Mapinduzi za Kazi na Utu. Halafu wanalazimisha baadhi ya vyombo vya habari vikate hicho kipande cha Salaam za CCM. Nimeshangaa sana. Pili Maandamano wanaita Vurugu. Je, wanalinda katiba ya Nchi gani...
Back
Top Bottom