Baada ya siku ya leo, nadhani kesho shuhuli zitaendelea kama kawaida, Sasa najiuliza Kwa wale walio nunua vyakula vingi na kuweka ndani, vinywaji na huduma nyinginezo je watajutia maamuzi yao au watakomaa na Michele yao?
Mimi nilichukua michupa yangu ya mvinjo kadhaa, nikidhani tutakaa ndani...