Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,714
Juzi kati nilikuwa nyumbani Missenyi, Kagera nikaenda shambani na kuibuka na hiki kiazi. Kwa Dar sijawahi bahatika kuviona, ila kwetu vipo sana na vilikuwa chakula changu pendwa. Ilibidi nikisafirishe sasa hivi najimegemea kipande kidogo kidogo nakula kwa samaki kibambala.
Kwa nyumbani tunaika e'kira.
Kwa nyumbani tunaika e'kira.