Wazee wafurahia huduma ya chakula mjini Hefei, China

ldleo

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
1,010
1,036
VCG111405259176.jpg

Kampeni ya kutoa huduma ya chakula kwa wazee wanaokumbwa na tatizo la maisha imefanyika katika eneo la Luyang mjini Hefei, China. Migahawa 36 imefunguliwa katika eneo hilo, na kila mzee anaweza kupata ruzuku yuan 100 hadi 200 (sawa na dola 14 hadi 28 za kimarekani) kwa mwezi kulingana na hali halisi ya maisha yake.

Wazee hao wanaweza kufurahia huduma ya chakula kwenye migahawa hiyo, na gharama ya kila mlo inaweza kupunguzwa kwa yuan 4 hadi 5 (sawa na dola 0.6 hadi 0.7 za kimarekani).

VCG111405259175.jpg
 
Hivi hii nchi ipo dunia ya tatu au ya kwanza?!!!
Mbona mipango yao naona kama imenyooka hiviiiii....
 
Ruzuku ya Dola 14 mpaka 28 mmmmh, Sasa hii pesa Haina tofauti na pesa za tasaf maana ni pesa kiduchu mnoo. Kwa pesa ya madafu ni kati ya Tsh 26000 mpaka Tsh 64000 Sasa China ije iwe super power labda miaka 100000000; ijayo
 
Yani unajadili jambo kubwa la kiuchumi kwa hoja nyepesi namna hiyo?

Nenda kaangalie idadi ya homeless people huko marekani pamoja na maisha wanayoishi alafu urudi hapa!
 
So homeless people hapo Marekani ni wengi kuliko masikini wa bara la Afrika?
 
Yani unajadili jambo kubwa la kiuchumi kwa hoja nyepesi namna hiyo?

Nenda kaangalie idadi ya homeless people huko marekani pamoja na maisha wanayoishi alafu urudi hapa!
Tatizo ni kuwa watu Wana comment Kwa mihemko bila kufanya tafiti ajiulize Kwa nn hata sreikali hushindwa kuongeza hata ongezeko la mishahara Zaid ya laki china homeless ni wengi sana kulingana na population yao hivo ni jambo la kuigwa
 
Hivi hii nchi ipo dunia ya tatu au ya kwanza?!!!
Mbona mipango yao naona kama imenyooka hiviiiii....
USD 14 (TZS 35,000) kwa mwezi? Mbona hata TASAF inatoa ruzuku ya maana by far kwa wazee walio kwenye hali ngumu; Tz ni dunia ya ngapi kwani?
 
Ruzuku ya Dola 14 mpaka 28 mmmmh, Sasa hii pesa Haina tofauti na pesa za tasaf maana ni pesa kiduchu mnoo. Kwa pesa ya madafu ni kati ya Tsh 26000 mpaka Tsh 64000 Sasa China ije iwe super power labda miaka 100000000; ijayo
Makomunisti wa kwa Mpalange sijui kama watakuelewa ndugu! China bado sana.
 
Yani unajadili jambo kubwa la kiuchumi kwa hoja nyepesi namna hiyo?

Nenda kaangalie idadi ya homeless people huko marekani pamoja na maisha wanayoishi alafu urudi hapa!
Homeless wa kichina ndio wako jehanum kabisa!
 
Back
Top Bottom