Edina Chaula (23), mkazi wa Mtaa wa Kihesa, Halmashauri ya Mji wa Njombe, amekutwa amefariki dunia ndani ya chumba chake baada ya kudaiwa kukosa hewa kutokana na kupaliwa na chakula.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Kamishna Msaidizi Mahamoud Banga, amesema tukio hilo liligundulika Agosti 23...