Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameendelea na mikutano ya hadhara jimboni humo, akihutubia wananchi wa Kijiji cha Mwabusalu, Juni 13, 2025.
Katika mkutano huo, wanachama na Viongozi wa vyama vya upinzani, akiwemo Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Kisesa, Tekla James, na mwanachama wa...
Mama Yetu Samia, Leo umefanya Jambo kubwa sana, kwakuwa uliona kuna mgogoro na malalmiko kati ya Simba na Yanga, Sisi wananchi tunaamini Rais Ndo Kila kitu , ukiamua nchi itulie inatulia, leo Bodi ya Ligi imejiuzulu, mgogoro wa Yanga, Simba TFF umeumaliza kwanini usilirefushe hili jambo mpaka...
Kampeni ya No Reforms No Elections (No-No Campaign) imeanza kupamba moto. Maneno yake yanasikika vizuri masikioni mwa Watanzania na Watanzania wengi hasa mitandaoni wamekuwa wakirudia kauli hii kuonesha kuunga kwao mkono harakati za mabadiliko nchini.
Kauli hii si ngeni katika eneo letu la...
kumekuwa na chapisho linalo sambaa kwenye mitandao ya kijamii likionesha ukurasa wa joseph mbilinyi umeweka chapisho la kutokuwa na imani dhidi ya uongozi uliopo madarakani "Nukuu ya chapisho hil o inadai kuwa nimekuwa nikihisi haklli ya kutengwa mara baada ya kuhusishwa kujiunga na chama cha CHAUMA
Wasalaam.
Mahakama tukufu ilisimamisha shughuli zote za kisiasa na kiutendaji za chama cha democrasia na maendeleo chadema, lakini wabunge wanaotambulika kama wa chadema yaani covid 19 bado wanahudhuria bunge la bajeti linaloendelea dodoma.
Ni kwamba hii amri ya mahakama haiwahusu au ndo...
Kwenye ukweli huu wanaweza kuja hapa na kujipiga kifua na kujimwambafai kwamba hawajaamua tu, lakini ukweli upo wazi tu. Hivi hata ukiwataza kwa sura tu walivyo, kama mdau wa maana sana wa jukwaa hili la wazi na la heshima sana la siasa, wanaweza kweli kuruka na chopa hao wangwana waliopoteza...
Dhoruba iliyotokea sisi wengine tukasema hapana. Tukasema hapana kwasababu tunazizuia akili zetu zisitawaliwe na mihemko, tunazizuia akili zetu zijawe na sifa za kuja mbele za watu na kupigiwa makofi huku tukijua hatuna namna yoyote ya kuwasaidia watanzania, tukakataa, ndio sababu tukasema...
Wakuu hapa tulipofika mbona kama pabaya. Kuna haja gani ya kumtishia kisa tu ameisapoti No reforms, mbona hao chawa wao wanasapoti Oktoba wanatiki na hakuna aliyewatishia?
Hakuna haja ya kutishiana wakuu.
===
"Lulu Mapunda kupitia ukurasa wake wa Instagram anaandika
Ndugu @saidi8310 umekuja...
Kuna watu wenye Nia ovu wanataka kuingiza Cdm kwenye Utanganyika na Uzanzibar
Wengine wakitaka kuingiza uislamu na ukristo NDANI ya Cdm
Hao wote ni watu wabaya Sana Kwa Chadema.
Chadema ni ya waislamu na wakristo na wasio na dini
Chadema ni ya wazanzibar na watanganyika
Hao wajinga...
Mawakili wa waleta maombi katika kesi ya CHADEMA na wanachama watatu wa chama hicho waliofungua kesi dhidi ya chama hicho wakilalamikia mgawanyo wa mali wamedai upo upotoshaji kuhusu kesi hiyo kwamba zuio ni la siku 14 kitu ambacho wamekipinga.
Akizumgumza na waandishi wa habari mapema...
Ndugu zangu Watanzania,
Ni swali ambalo ningependa tujadili kwa pamoja hapa jukwaani. Ni jambo ambalo nimekuwa nikiliona na kulishuhudia mara nyingi sana huku mitaani na vilingeni. ambapo vijana na Wafuasi wa CHADEMA vijana wameonyesha kuwa na uwezo mdogo Sanaa katika kujenga hoja na kushawishi...
Hawa jamaa wabishi kinyama. Yaani wanapelekewa moto kila upande ila wenyewe wapo tu. Hata kama niko CCM ila nina macho ya kuona na kusikia. Heche na wenzake ni balaa. Hawapoi kabisa. Yaani wana amsha amsha balaa.
Wakati CHADEMA wakichanja mbuga kisiasa anajitokeza ponjoro la Kinondoni na...
"Jaji Hamidu Mwanga ni Jaji wa Samia, na kwasababu hiyo ni Jaji wa CCM na anafanya kazi ya CCM.
Jaji Mwanga alikuwa kwenye Tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) ya Jecha Salimu Jecha ambayo ilifuta uchaguzi wa Zanzibar wa 2015. Jaji wa namna hii tutatarajia aipende CHADEMA inayosema No reforms No...
Katika maisha yangu yote ya kusoma sayansi ya biologia, hakuna topic ambayao mpaka sasa nimeshindwa kuielewa kama EVOLUTION. Hii ndio topic inayojaribu kuaminisha watu kuwa ulimwengu na viumbe vyote vilitokea tu spontaneously na vimekuwa vikibadilikabadilika kuwa vilivyosasa. Huu upuuzi...
Ukifuatilia mikutano yote cha huyu Amosi Makalla, utujua kuwa huyu jamaa, anaipenda sana chadema, akilala, uck ,akila chakula, anaoga mda wote ana tamka chadema, chadema, hii inathibithibisha kwenye mikutano yake kila akisimama anasema sera za chadema.
Huu ndo ukweli mchungu CCM wote kama...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida amezungumza kuhusu vuguvugu la vyama vinavyofungiwa na kuzuiwa kutokana na siasa zao, akisisitiza kuwa Chama Cha Mapinduzi hakihusiki na zuio hilo bali kimejipanga kuhakikisha kinashinda katika Uchaguzi Mkuu wa...
Mimi nimetafakari na kujiuliza, je, tatizo la CHADEMA ni chama na sera zake au pengine ni uwepo wa Tundu Lissu kwenye chama hicho na misimamo yake?
Hili linahitaji mjadala mpana sana kwa sababu CHADEMA ni taasisi inayoishi—Lissu atakuwemo na kutoka; pengine ataenda DP, au ataacha siasa, au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.