sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,704
- 9,922
Tupe maoni yako nani anaenda kumfunika mwenzeke?
Chaumma nyomi kama lote kila kona wanayokanyaga.
Chadema nao wanajitahidi.
Hii vita bado mbichi.
Pale Chaumma inaonekana kumejaa team inayojua kufanya siasa za field. Wanawapelekea moto sana Chadema.chauma ni motooooooo, hawana papara, ni watu wa kujielewa, wanajua uongoz, sio leo tuchagua katibu mkuu mara kesho unasikia huyu anakaimu tuu.
Chaumaccm a k a chauma ubwabwa ni ibirisi kama ccm wote hutumia pesa za walipa kodi kusomba watu kuwapa mafuta bodaboda kuwaletea watu kwa njia haramu za kishetani, ni Tofauti na chadema ambayo hujaza watu kwa hiali yao pasipo kulazimishwa na mtuView attachment 3365370View attachment 3365368
Tupe maoni yako nani anaenda kumfunika mwenzeke?
Chaumma nyomi kama lote kila kona wanayokanyaga.
Chadema nao wanajitahidi.
Hii vita bado mbichi.
Kwa nini haiwezi?Chadema hauwezi kuiweka kwenye mizani sawa na Chauma, utaonekana hamnazo.
CHAUMMA level yao ni wanaojua kusoma na kuandika wa CCMView attachment 3365370View attachment 3365368
Tupe maoni yako nani anaenda kumfunika mwenzeke?
Chaumma nyomi kama lote kila kona wanayokanyaga.
Chadema nao wanajitahidi.
Hii vita bado mbichi.
Siyo kweli chauma ubwabwa hawana uwezo wa kushindana na chadema kwani chauma inagharamiwa kila kitu na ibirisi wa ccm ikiwemo kusomba watu kuwaketa kwenye mikutanoPale Chaumma inaonekana kumejaa team inayojua kufanya siasa za field. Wanawapelekea moto sana Chadema.
Niwekee video kuthibitisha haya maumivu yako.Chaumaccm a k a chauma ubwabwa ni ibirisi kama ccm wote hutumia pesa za walipa kodi kusomba watu kuwapa mafuta bodaboda kuwaletea watu kwa njia haramu za kishetani, ni Tofauti na chadema ambayo hujaza watu kwa hiali yao pasipo kulazimishwa na mtu
Kufaulu kupi? Weka uwanja sawa uone acha kuwaonea chadema acha kuwabambikia kesi acha kuwapora luzuku acha kuwafungia mikutano yao uone kama ibirisi chauma tawi la ibirisi ccm wanaweza kuwashinda chademaKwa nini haiwezi?
Wananchi wa Tanzania wanaangalia upepo unapovuma, Chaumma wakifaulu vizuri chadema hawana chao.
CHADEMA na CHAUMA?Utakuwa haupo sawa kichwani.View attachment 3365370View attachment 3365368
Tupe maoni yako nani anaenda kumfunika mwenzeke?
Chaumma nyomi kama lote kila kona wanayokanyaga.
Chadema nao wanajitahidi.
Hii vita bado mbichi.
Kwani Tanzania kuna chama cha Siasa za Kweli zaidi ya Chadema?Pale Chaumma inaonekana kumejaa team inayojua kufanya siasa za field. Wanawapelekea moto sana Chadema.
Kwani kuna mwenye akili CCM? We angalia mada wanazoleta tu humu ndani utaelewa hawa jamaa hamnazo.CHADEMA na CHAUMA?Utakuwa haupo sawa kichwani.
Haya subiri uwanja uwekwe sawa, chaumma wanazidi kuteka mioyo ya watanzania.Kufaulu kupi? Weka uwanja sawa uone acha kuwaonea chadema acha kuwabambikia kesi acha kuwapora luzuku acha kuwafungia mikutano yao uone kama ibirisi chauma tawi la ibirisi ccm wanaweza kuwashinda chadema
Chopa ndio iliijenga chadema field.Watu wamegeukia chopa hawana habari na kinachozungumzwa, watoto ndio wengi zaidi.